min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Loh sina dini kabisaWewe ni dhehebu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loh sina dini kabisaWewe ni dhehebu gani?
Kristo Yesu na ukristo asili yake sio wazungu Wala Afrika,Illusion tu, amka ndugu, wazugu waliwaletea ustaarabu wao mkaiga leo mnajifanya mnaujua kuliko wazungu wenyewe! Na walishaacha hili somo. Eti we unamjua Yesu kuliko waliounda habari hiyo, amka hujachelewa toka kwenye hypnosis mzee
Unajitoa ufahamu Kwa Maslahi ya nani?Nimekuuliza swali jepesi kuhusu Isaya 8:8 nayo imetaja kuhusu Immanuel umeshindwa kulijibu...
Hakuna sehemu malaika Gabriel ametaja jina la Immanuel...
Malaika Gabriel ametaja jina La Yesu peke yake..
Mkuu hii ni comment ya Mwisho kwako unaonyesha you have biblical Incompetent...Rudi darasani au jichimbie Soma ..
Vinginevyo usikariri unachoambiwa kwenye Sunday school kuja kukileta mbele za watu...
Bado huelewi,
Kwa kuwa Baba wa KIMWILI wa Yesu Si Yusuph, ndipo UKWELI unasimama kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja katika mwili.
Got it?
Na yeyote anayepinga hili, ni anaongozwa na Roho ya mpinga kristo.
Ungekuwa mwema kama ningeona umetoa hoja kulingana na hoja yangu niliyokupa rather than lamenting here!Unajitoa ufahamu Kwa Maslahi ya nani?
Nani unayemtumikia?
Nimekuwekea maandiko yaonyeshayo Baba wa Yesu KIMWILI Si Yusuphu, kwanini unakwepa UKWELI wa Mungu?
Kwanini unachagua kuwa mpinga kristo?
Soma vizuri Hilo Fungu acha kupotosha watu(WARUMI 9:5 ) “Na katika hao alitoka KRISTO KWA NJIA YA MWILI,NDIYE ALIYE JUU YA MAMBO YOTE,MUNGU,MWENYE KUHIMIDIWA MILELE. AMINA..Mhalifu msalabani alimwita YESU Mungu na kumuomba YESU atakapokuwa katika ufalme wake amkumbuke mharifu huyo”.
Unaongozwa na Roho ya mpinga kristo sababu,Waliomo humu ndani wanapotosha sana maandiko na ukiwapa Maandiko watafsiri wanakwepa na hawatoi chochote...
I AM OUT
Nimeona umesema Muhalifu msalabani alimwits Yesu Mungu!..Tafadhalii! Nimeonyesha andiko kwani nimesema chochote? Tokea lini mtu mzima akapotoshwa labda kama hajielewi
Unaongozwa na Roho ya mpinga kristo,Nimeona umesema Muhalifu msalabani alimwits Yesu Mungu!..
Na kingine Fungu ulilotoa Unajua maana ya hizo Comma!
Na unajua maana yake hata ukiacha tafsiri uliyopewa ya kiswahili..
"ambao mababu ni wao, na katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili. Ndiye aliye juu ya mambo yote, Mungu, mwenye kuhimidiwa milele. Amina."...
NARUDIA TENA SHIDA KUBWA YA WAKRISTO WALIO WENGI NI ELIMU JUU YA BIBLIA HAWANA KABISA...
Sasa nifatilize hapa fungu hilo Rome 9:5 (warumi 9:5)
Lugha yake Asili huandikwa hivi..(Kiyunani)
"...ὧν οἱ πατέρες, καὶ ἐξ ὧν ὁ Χριστὸς τὸ κατὰ σάρκα, ὁ ὢν ἐπὶ πάντων, θεὸς εὐλογητὸς εἰς τοὺς αἰῶνας, ἀμήν."
inatamkwa hivi...
"...hōn hoi pateres, kai ex hōn ho Christos to kata sarka, ho ōn epi pantōn, theos eulogētos eis tous aiōnas, amēn."
na Inatafsiriwa Hivi kwa Lugha ya Malkia..
"...of whom the fathers, and from whom is the Christ according to the flesh, who is over all, God blessed forever. Amen."
Sasa nakuomba kasome tafsiri ya kingereza ili unielewe vizuri..
Neno "θεὸς εὐλογητὸς εἰς τοὺς αἰῶνας" (theos eulogētos eis tous aiōnas " au kwa kingereza "God Blessed forever" unajua maana yake...
Ngoja nikusaidie Mbarikiwa wa Mungu Daima (Milele)...
Sasa usipotoshe kitu kama huna Elimu nacho Kila siku nasisitiza hilo..
NA NDO MAANA NIKASEMA KASOMENI KWANZA
Roho ya Mpinga Kristo kwa Mujibu wa Biblia 1 Yohana 4...Unaongozwa na Roho ya mpinga kristo sababu,
1. Huamini kuwa Yesu alifufuka,
2. Unaamini Baba wa Yesu KIMWILI ni Yusufu.
3. Huamini kuwa Yesu ndiye AKETIYE KATIKA KITI Cha enzi na ndiye ajaye kuuhukumu Ulimwengu juu ya dhambi.
Hivyo u mbwa mwigu katika ngozi ya Kondoo.
Jifunze kuhusu Nani ni Mpinga Kristo na ipi roho ya Mpinga Kristo inaonekana Eneo hili linakupa Tabu sana..Unaongozwa na Roho ya mpinga kristo,
Sababu huamini Uungu wa Yesu,
Huamini kuwa Mungu ndiye aliyekuja katika mwili wa Yesu Kristo,
Hata uje na tafsiri ya BIBLIA Elfu Elfu, wewe unamtumikia shetani,
Ingekuwa kheri kwako kama ungekubali kufundishwa na Roho mtakatifu.
Amen
Ikiwa unaquote BIBLIA na unatumia Elimu ya theology kupinga kitabu Cha Ufunuo wa Yohana, unaongozwa na Spirit o anti Christ.Roho ya Mpinga Kristo kwa Mujibu wa Biblia 1 Yohana 4...
Asiyeamini kuwa Yesu kristo Alikuwa Mtu (Alikuja katika Mwili...
Anayeamini Vinginevyo kuhus hapo juu...
Huyo ndo mpinga kristo...
Na naomba sana usiniingizie maneno mahali popote ...
Sijawahi kusema mahali popote pale kuwa Yesu baba yake nani..
Sijawahi kusema popote pale wala kuzungumzia Kuhusu ufufuko wa Yesu ( huku sipagusi kwa leo wala siku zzoye nawaacha kwanza mkomae kielimu)
Miongoni mwa Vitabu vilivyopingwa na wana theolojia ni Ufunuo...Japo sijawahi kuzungumza chochite kuhusu kiti cha enzi maana hata watakatifu wengine wite watakalia nao pia watahukumu kama Yesu..
Wewe u mpinga kristo, sababu huamini juu ya Ufunuo wa Yohana.Jifunze kuhusu Nani ni Mpinga Kristo na ipi roho ya Mpinga Kristo inaonekana Eneo hili linakupa Tabu sana..
Nenda kajikite kwnye kusoma kwNza kabla ya kuanzisha mijadala na hoja
NENDA KASOME KWANZA MKUU...Ikiwa unaquote BIBLIA na unatumia Elimu ya theology kupinga kitabu Cha Ufunuo wa Yohana, unaongozwa na Spirit o anti Christ.
Uko KIMWILI, na utaenda Jehanum usipotubu na kumkubali Roho mtakatifu.
Amen
🤣🤣🤣 Now you Sound Ridiculous 🤣🤣Wewe u mpinga kristo, sababu huamini juu ya Ufunuo wa Yohana.
Mimi ninafundishwa na Roho mtakatifu.NENDA KASOME KWANZA MKUU...
KITU UNACHOTAKA KUKIZUNGUMZIA KIKUBWA KULIKO ELIMU YAKO
Sema neno la Mungu kwa imani yako. Sio wote ni wakristo.KATIBA kuu kuliko Katiba zote ni Neno la Mungu.
Inasema NDOA ni ya mke na mume mmoja.
Ikiwa hutaki Kuoa, ussizini Wala kununua MAKAHABA, Wala usijichue.
Amen
Kazi kweli, yaani kuelewa biblia ni mpaka uwe na roho mtajatifu, acha kudanyanya watu.Mimi ninafundishwa na Roho mtakatifu.
Theology imepotosha wengi, sababu wengi hutumia akili zao kutafsiri neno la Mungu,
Yesu hakusoma theology, Petro na wanafunzi wa Yesu hawakusoma theology,
Walifundishwa na YESU na KUONGOZWA na ROHO MTAKATIFU.
Mimi ninafundishwa na mwalimu wa walimu aitwaye Roho MTAKATIFU, huyo ni ROHO wa YESU kristo.
Napokea matusi Yote,🤣🤣🤣 Now you Sound Ridiculous 🤣🤣
Seriouisly You made my day kwakweli maana nimejikuta nacheka sana..
Wapi imeandikwa asiye amini Ufunuo wa Yohana ni Mpings Kristo?
Unajua Ufunuo wa Yohana imeandikwa Lini?
Unajua kuwa kabla ya kuandikwa Wale wote ambao hawakuiona ni wapinga Kristo?
Biblia imekusanywa na kuwekwa pamoja miaka ya 340-350 Kabla ya hapo ambao hawakuwa na Gombo la Ufunuo wa Yohana walikuwa wapinga kristo...?
🤣🤣
Now YOU SOUND STUPID (Am sorry to say that but really you are!)
GO AND READ MEHHN (UNAJIABISHA)