Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

Mimi ninafundishwa na Roho mtakatifu.

Theology imepotosha wengi, sababu wengi hutumia akili zao kutafsiri neno la Mungu,

Yesu hakusoma theology, Petro na wanafunzi wa Yesu hawakusoma theology,

Walifundishwa na YESU na KUONGOZWA na ROHO MTAKATIFU.

Mimi ninafundishwa na mwalimu wa walimu aitwaye Roho MTAKATIFU, huyo ni ROHO wa YESU kristo.
Una uhakika kuwa Yesu hakusoma Theology?
Unajua kuwa Yesu alikuwa anasimama Madhabahuni na kusoma Vyuo vyenye Herufi za Kiebrania?
Unajua Chuo cha Isaya kilikuwa kikifundishwa wapi?

Kwa Taarifa yako ni kwamba Yesu Alikuwa Mwalimu (Rabbon) au Rabbi wa kiyahudi..

Unajua hicho cheo hupatikana Vipi kwa roho mtkatifu au kwa kusoma Theology.. (Nenda kaulize wayahudi)

Unafikir angekuwa hajasoma Mafarisayo wangejisumbua kwenda kuongea naye?
Au kumuuliza maswali ...
Yesu kama wayahudi wengine alipitia mila zote za kiyahud ikiwemo Bar Mitzvah

Ndo MAAANA NAKWAMBIA FICHA AIBU YAKO
 
Napokea matusi Yote,

Lakini jambo moja nimethibitisha kwako, unaongozwa na shetani, kamwe huwezi kumpendeza Mungu Kwa kuamini baadhi ya andiko na huamini kitabu Cha ufunuo wa Yohana.

Roho ya mpinga kristo IPO kazini, nawe unaitimikiia.
Hakuna tusi hata moja hapo
 
Kazi kweli, yaani kuelewa biblia ni mpaka uwe na roho mtajatifu, acha kudanyanya watu.
BIBLIA kamwe huwezi kuielewa usipofundishwa na kufunuliwa na mwalimu wa walimu aitwaye Roho MTAKATIFU.
 
Joseph alikua ni mume Wa wake zaidí ya mmoja Kwa mujibu Wa historia ya vitabu Vya kale na masimulizi.
Hivyo Yesu alikua na ndugu upande Wa baba. Ila Kwa Mariam alikua peke yake .
Na hakuwahi kuingiliwa na mwanadamu MAISHA yake yote.
Ni mtakatifu sana . Wabadai mpaka vyakula alivyokua anakula vilikua vinaletwa na Malaika.
Joseph alikua ni mume mlezi tuu. Na alikua na wake wengine kama Mila Zao na Ilikua ni halali kuoa wake wengi
Hili la kuoa mke mmoja limetokea wapi ilihali wengi ambao wanaongelewa kwenye biblia walikuwa na wake wengi.
 
Una uhakika kuwa Yesu hakusoma Theology?
Unajua kuwa Yesu alikuwa anasimama Madhabahuni na kusoma Vyuo vyenye Herufi za Kiebrania?
Unajua Chuo cha Isaya kilikuwa kikifundishwa wapi?

Kwa Taarifa yako ni kwamba Yesu Alikuwa Mwalimu (Rabbon) au Rabbi wa kiyahudi..

Unajua hicho cheo hupatikana Vipi kwa roho mtkatifu au kwa kusoma Theology.. (Nenda kaulize wayahudi)

Unafikir angekuwa hajasoma Mafarisayo wangejisumbua kwenda kuongea naye?
Au kumuuliza maswali ...
Yesu kama wayahudi wengine alipitia mila zote za kiyahud ikiwemo Bar Mitzvah

Ndo MAAANA NAKWAMBIA FICHA AIBU YAKO
Yesu alisoma wapi theology?

Wazazi wake walezi walipokwenda naye hekaluni waliporudi nyumbani, hawakujua kuwa alibaki hekaluni,na alikuwa mtoto.

Waliporudi, walimkuta akiwafundisha wazee na viongozi wa Dini ya kiyahudi hekaluni.

Yesu NDIYE NENO la Mungu, iweje afundishwe theology na WANADAMU?

Tangu mwanzo Hadi ufunuo anaongelewa Yesu.

Narudia tena, una Elimu ya uongo ya mpinga kristo, wewe ni adui wa INJILI ya Utakatifu.
 
Hili la kuoa mke mmoja limetokea wapi ilihali wengi ambao wanaongelewa kwenye biblia walikuwa na wake wengi.
Ikiwa una wake wengi na unaamini u mkristo unajidanganya, wewe ni mzinzi.

Yesu alikwisha Sema NDOA ni mke mmoja na mume mmoja, nje ya hapo u mzinifu wewe,
 
Utaratibu wa kuoa mke mmoja ni utamaduni wakizungu tu , africa ,mashariki ya kati na uchina huu Utaratibu haukuwepo.
Wazungu wenyewe wamebadilika wameruhusu kuoa au kuolewa na jinsi moja. Yaani mzungu ni bora aruhusu ushoga au usagaji lakini sio mitala. Za kuambiwa changanya na zako
 
Ikiwa una wake wengi na unaamini u mkristo unajidanganya, wewe ni mzinzi.

Yesu alikwisha Sema NDOA ni mke mmoja na mume mmoja, nje ya hapo u mzinifu wewe,
Kazi kweli. Ndio maana mtu ana mke mmoja na Michepuko kibao.
 
Mara sijui kuhun musa ,mara nipo kiroho , mara usipeleke fungu la kumi kwa yatima , mara divai sio pombe,sijui wanatuona haya maandiko hatuyasomi
Waafrika tulipoacha mila na desturi zetu ndio tulibugi kabisa.
 
Wazungu wenyewe wamebadilika wameruhusu kuoa au kuolewa na jinsi moja. Yaani mzungu ni bora aruhusu ushoga au usagaji lakini sio mitala. Za kuambiwa changanya na zako
Wazungu Si wakristo ni wapagani tu kama waafrika na mataifa mengi.

Ukristo ni maisha ya utakatifu, Ukristo ni maisha ya kukataa dhambi na kutii maagizo ya Mungu kupitia neno lake.
 
Wazungu Si wakristo ni wapagani tu kama waafrika na mataifa mengi.

Ukristo ni maisha ya utakatifu, Ukristo ni maisha ya kukataa dhambi na kutii maagizo ya Mungu kupitia neno lake.
Unaweza na wewe wakakuona mpagani kwa kuwa unaamini Yesu ni Mungu.
 
Kazi kweli. Tuvuliliane tu kwenye dini.
Watu wa Dini Si wakristo.

Ukristo ni maisha ya utakatifu Si Utaratibu wa Dini,

Mtu wa Dini ni mnafiki, ndomana utakuta anahubiri mke mmoja pembeni ana michepuko.

Watu wa Dini ndio mafarisayo wale waliomwua Yesu.
 
Unaweza na wewe wakakuona mpagani kwa kuwa unaamini Yesu ni Mungu.
Ndomana lazima uwepo mstari wa kumtenganisha Waliookoka, WATAKATIFU na watu wa Dini au wapagani.

Yesu ni Mungu katika mwonekano wa mwanadamu.

Ikiwa huamini Hilo, u mpinga kristo.

Amen
 
Yesu alisoma wapi theology?

Wazazi wake walezi walipokwenda naye hekaluni waliporudi nyumbani, hawakujua kuwa alibaki hekaluni,na alikuwa mtoto.

Waliporudi, walimkuta akiwafundisha wazee na viongozi wa Dini ya kiyahudi hekaluni.

Yesu NDIYE NENO la Mungu, iweje afundishwe theology na WANADAMU?

Tangu mwanzo Hadi ufunuo anaongelewa Yesu.

Narudia tena, una Elimu ya uongo ya mpinga kristo, wewe ni adui wa INJILI ya Utakatifu.
Ndo maana nimekuambia SOMA UWE HURU NDUGU YANGU
 
Ndo maana nimekuambia SOMA UWE HURU NDUGU YANGU
Kusoma theology kunawafanya watu wawe wajinga.

Mimi ninafundishwa na Roho mtakatifu, huyo ndiye ROHO wa YESU anayeishi ndani ya Kila aliyeokoka,

Mimi ni Raia wa Mbinguni, ninasoma chuo Cha Mbinguni Si Cha WANADAMU.

Kamwe sitafundishwa na wanadamu, wafundisgao mafundisho ya mashetani.
 
Kusoma theology kunawafanya watu wawe wajinga.

Mimi ninafundishwa na Roho mtakatifu, huyo ndiye ROHO wa YESU anayeishi ndani ya Kila aliyeokoka,

Mimi ni Raia wa Mbinguni, ninasoma chuo Cha Mbinguni Si Cha WANADAMU.

Kamwe sitafundishwa na wanadamu, nafundisho ya mashetani.
Mchungaji wako Kasoma Theology!
Na yeye ndo kiongozi wako Je unaongozwa na mtu mwenye Mafundisho ya Mashetani
 
Back
Top Bottom