- Thread starter
- #261
Wakristo ni akina nani, na Wana sifa Gani?Sema neno la Mungu kwa imani yako. Sio wote ni wakristo.
Tuanzie hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakristo ni akina nani, na Wana sifa Gani?Sema neno la Mungu kwa imani yako. Sio wote ni wakristo.
Una uhakika kuwa Yesu hakusoma Theology?Mimi ninafundishwa na Roho mtakatifu.
Theology imepotosha wengi, sababu wengi hutumia akili zao kutafsiri neno la Mungu,
Yesu hakusoma theology, Petro na wanafunzi wa Yesu hawakusoma theology,
Walifundishwa na YESU na KUONGOZWA na ROHO MTAKATIFU.
Mimi ninafundishwa na mwalimu wa walimu aitwaye Roho MTAKATIFU, huyo ni ROHO wa YESU kristo.
Hakuna tusi hata moja hapoNapokea matusi Yote,
Lakini jambo moja nimethibitisha kwako, unaongozwa na shetani, kamwe huwezi kumpendeza Mungu Kwa kuamini baadhi ya andiko na huamini kitabu Cha ufunuo wa Yohana.
Roho ya mpinga kristo IPO kazini, nawe unaitimikiia.
BIBLIA kamwe huwezi kuielewa usipofundishwa na kufunuliwa na mwalimu wa walimu aitwaye Roho MTAKATIFU.Kazi kweli, yaani kuelewa biblia ni mpaka uwe na roho mtajatifu, acha kudanyanya watu.
Hili la kuoa mke mmoja limetokea wapi ilihali wengi ambao wanaongelewa kwenye biblia walikuwa na wake wengi.Joseph alikua ni mume Wa wake zaidí ya mmoja Kwa mujibu Wa historia ya vitabu Vya kale na masimulizi.
Hivyo Yesu alikua na ndugu upande Wa baba. Ila Kwa Mariam alikua peke yake .
Na hakuwahi kuingiliwa na mwanadamu MAISHA yake yote.
Ni mtakatifu sana . Wabadai mpaka vyakula alivyokua anakula vilikua vinaletwa na Malaika.
Joseph alikua ni mume mlezi tuu. Na alikua na wake wengine kama Mila Zao na Ilikua ni halali kuoa wake wengi
Yesu alisoma wapi theology?Una uhakika kuwa Yesu hakusoma Theology?
Unajua kuwa Yesu alikuwa anasimama Madhabahuni na kusoma Vyuo vyenye Herufi za Kiebrania?
Unajua Chuo cha Isaya kilikuwa kikifundishwa wapi?
Kwa Taarifa yako ni kwamba Yesu Alikuwa Mwalimu (Rabbon) au Rabbi wa kiyahudi..
Unajua hicho cheo hupatikana Vipi kwa roho mtkatifu au kwa kusoma Theology.. (Nenda kaulize wayahudi)
Unafikir angekuwa hajasoma Mafarisayo wangejisumbua kwenda kuongea naye?
Au kumuuliza maswali ...
Yesu kama wayahudi wengine alipitia mila zote za kiyahud ikiwemo Bar Mitzvah
Ndo MAAANA NAKWAMBIA FICHA AIBU YAKO
Ikiwa una wake wengi na unaamini u mkristo unajidanganya, wewe ni mzinzi.Hili la kuoa mke mmoja limetokea wapi ilihali wengi ambao wanaongelewa kwenye biblia walikuwa na wake wengi.
Wazungu wenyewe wamebadilika wameruhusu kuoa au kuolewa na jinsi moja. Yaani mzungu ni bora aruhusu ushoga au usagaji lakini sio mitala. Za kuambiwa changanya na zakoUtaratibu wa kuoa mke mmoja ni utamaduni wakizungu tu , africa ,mashariki ya kati na uchina huu Utaratibu haukuwepo.
Kazi kweli. Ndio maana mtu ana mke mmoja na Michepuko kibao.Ikiwa una wake wengi na unaamini u mkristo unajidanganya, wewe ni mzinzi.
Yesu alikwisha Sema NDOA ni mke mmoja na mume mmoja, nje ya hapo u mzinifu wewe,
Waafrika tulipoacha mila na desturi zetu ndio tulibugi kabisa.Mara sijui kuhun musa ,mara nipo kiroho , mara usipeleke fungu la kumi kwa yatima , mara divai sio pombe,sijui wanatuona haya maandiko hatuyasomi
Wazungu Si wakristo ni wapagani tu kama waafrika na mataifa mengi.Wazungu wenyewe wamebadilika wameruhusu kuoa au kuolewa na jinsi moja. Yaani mzungu ni bora aruhusu ushoga au usagaji lakini sio mitala. Za kuambiwa changanya na zako
Kazi kweli. Tuvuliliane tu kwenye dini.Ndio, aliitoa Roho yake ndani ya MWILI na kuirudisha tena siku ya tatu,
Kisha akapaa Mbinguni, na hata sasa ameketi katika KITI Cha enzi.
Hao ni wazinzi.Kazi kweli. Ndio maana mtu ana mke mmoja na Michepuko kibao.
Unaweza na wewe wakakuona mpagani kwa kuwa unaamini Yesu ni Mungu.Wazungu Si wakristo ni wapagani tu kama waafrika na mataifa mengi.
Ukristo ni maisha ya utakatifu, Ukristo ni maisha ya kukataa dhambi na kutii maagizo ya Mungu kupitia neno lake.
Nitajuaje ,kwani niko ndani ya moyo wako. Mungu wako ndio anakujua vizuri.Hao ni wazinzi.
WATAKATIFU hawana michepuko, Mimi ni MMOJA wao,
Sina mchepuko, ni a mke mmoja basi.
Watu wa Dini Si wakristo.Kazi kweli. Tuvuliliane tu kwenye dini.
Ndomana lazima uwepo mstari wa kumtenganisha Waliookoka, WATAKATIFU na watu wa Dini au wapagani.Unaweza na wewe wakakuona mpagani kwa kuwa unaamini Yesu ni Mungu.
Ndo maana nimekuambia SOMA UWE HURU NDUGU YANGUYesu alisoma wapi theology?
Wazazi wake walezi walipokwenda naye hekaluni waliporudi nyumbani, hawakujua kuwa alibaki hekaluni,na alikuwa mtoto.
Waliporudi, walimkuta akiwafundisha wazee na viongozi wa Dini ya kiyahudi hekaluni.
Yesu NDIYE NENO la Mungu, iweje afundishwe theology na WANADAMU?
Tangu mwanzo Hadi ufunuo anaongelewa Yesu.
Narudia tena, una Elimu ya uongo ya mpinga kristo, wewe ni adui wa INJILI ya Utakatifu.
Kusoma theology kunawafanya watu wawe wajinga.Ndo maana nimekuambia SOMA UWE HURU NDUGU YANGU
Mchungaji wako Kasoma Theology!Kusoma theology kunawafanya watu wawe wajinga.
Mimi ninafundishwa na Roho mtakatifu, huyo ndiye ROHO wa YESU anayeishi ndani ya Kila aliyeokoka,
Mimi ni Raia wa Mbinguni, ninasoma chuo Cha Mbinguni Si Cha WANADAMU.
Kamwe sitafundishwa na wanadamu, nafundisho ya mashetani.