Je, wajua? - Special Thread

Sawa mkuu. Tuishie hapa, maana mimi nasoma tu kwenye vitabu. Asante kwa ufafanuzi
 
Chui hafurukuti anatafunwa vizuri tu mchana kweupe na Simba mmoja tu
 

Kweli mkuu!
 
Polisi nimekuwa much interested na jibu lako, naweza kujua ni kwanini Hawa Mikia wa Msimbazi hawafukuti kwa Mbwa Mwitu?

Kwasababu walishatia heshima msituni kwa ile tabia yao ya kutembea kundi, jwahyo wakikutana na mmoja wanakuwa na mashaka kuwa huenda wenzake wapo maeneo hayohayo.
 
Last edited by a moderator:
Sawa mkuu. Tuishie hapa, maana mimi nasoma tu kwenye vitabu. Asante kwa ufafanuzi

Asante... tafuta kitabu sha Richard Estes ndicho kimeandika vizuri kuhisu tabia za wanyama na utapata mwanga mzuri, note hautaweza jua tabia za wanyama kwakusoma vitabu itakusaidia tu kupata mwanga kwakua wanyama kama ilivyo binadamu wanadevelope tabia zao kilasiku kulingana na changamoto wanazokabiliana nazo kwenye mazingira wanayoishi, Asante
 

Bongo zaidi ya uijuavyo kiongozi...mtu anadadavua point ilihali moyo wake unajua kabisa hajui hiyo ishu, na anahitimisha kua ni kweli kabisa..lol tubadilike jamani kitu kama haujui nivyema kuuliza ujuzwe
 

Punguza mashauzi basi, hata wewe hujui vyote.
 
Kadanganyaje wakati kasema " inasemekana"
na " mwenye ujuzi zaidi atujuze"
Unapenda sana sifa na kuzodoa,akili ya kitoto.
 
Reactions: me1
Ila fisi komesha, hakuna mzoga ambao hali yani hadi kivuli chake ye anabwenga tu.

Jf sometimes inanifanya wife anione chizi naana nacheka hadi basi...anyway inasaidia kuondoa stress za kijinga...anakula kivuli? lol
 
Hta mi nina Mashaka maana nawaonaga kila siku hao nyati wakikimbizwa na simba na kisha kuliwa yaani hata ubavu wa kupambana na simba hawana,hii huwa inaoneshwa sn kene animal documentaries

Kuna nyati na nyumbu kumbuka.
 

Mkuu hizo sifa unazompa chui/leopard nadhani unamfananisha na duma/cheeter, chui hukamatwa kwa urahisi sana hata na mbwa wa kufugwa, 2011 kuna chui alijilengesha hapa kwenye mifugo yangu ndan ya fence usiku, aliuawa kirahisi tena na mbwa mmoja. Mbugani pia chui akihisi makazi yake yapo karibu na pride ya simba anahama, hana uwezo kabisa hata wa kupambana na ndama la simba Au Simba Mgonjwa.
 
Hapo kwenye nyati..... Nina mashaka...
Pengine anazungumzia aina ya nyati wa afrika mashariki ambao huonewa sana na simba.Nyati
wa afrika kusini ni hatari kwa simba. Cheki hii kitu HAPA
 

Huyo chui alikuwa mzee/mgonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…