Polisi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,082
- 642
Sawa mkuu. Tuishie hapa, maana mimi nasoma tu kwenye vitabu. Asante kwa ufafanuziMkuu siwezi endelea bishana na ww, taarifa fupi nikupe wildlife nikazi inayonipatia mkate wangu wa siku kwa siku, sisomi kwenye vitabu wala siangali docomentary kwenye tv, nimefanya kazi kwenye mradi wa simba in selous kwa miaka 2 na nina uzoefu wa kufanya kazi ya wildlife for 15 years now...kwa zaidi ya miaka15 naishi nikitegemea wildlife, ungeuliza swali ningeweza kukujibu lakin kwa stail ya kubishana siwezi samahani sana