Je, wajua? - Special Thread

Je wajua ukijumlisha mshahara wa Obama na Putin haufikii mshahara anaochukua Mayor wa London
 
Je wajua kuwa waislamu wanapoingia chooni hutanguliza mkuu wakusho?
 
Binadamu huutumia ubongo wake kwa asilimia isiyozidi moja (1%).
Lete ushahidi wa kisayansi kuthibitisha hili.

unaujua ubongo mwanadamu na kazi unazofanya?.

unaposema anatumia kwa asilimia isiyozidi moja, anatumia kwenye nini?.

kwa mujibu wako 99% ya ubongo haitumiki je ni sehemu gani isiyotumika?.
 
Hii kitu nimesikia sana, ingawa ningefurahi mtu anaefahamu anifafanulie vizuri.
Coke zero wanatumia artificial sweeteners ili kupunguza matumizi ya sukari ya kawaida... but madhara ya kutumia artficial sweetners ni makubwa kuliko madhara yaletwayo na sukari ya kawaida..wanatumia aspartame na zinginezo (maana artificial sweetners zipo za aida nyingi kulingana na aina ya kinywaji) ambayo kati ya athari zake ni pamoja na kuwa associated na kuleta kansa n.k (pita hapa ujifungue zaidi>>>Aspartame). So unaweza ukanywa coke zero kupunguza energy intake lakini ukapata madhara mengine kiafya...😉😉
 
bendera ya Tanzania ina rangi ngapi?mbona mpangilio wako hauko sahihi?
cheki wangu
1.kijani
2.njano
3.nyeusi
4.njano
5.bluu

hapo anzia kokote uko sahihi
Hukunielewa ngoja nikusaidie.

Bendera yetu ina Rangi nne tu, ambazo ni KIJANI, NJANO, NYEUSI na BULUU.

Na lengo langu lilikuwa kuwajulisha wale ambao wengi wao utakuta wanaiweka Bendera yetu juu chini, si kama ipasavyo, yaani wanaigeuza.

Unakuta badala ya kuanza Rangi ya kijani, wakiigeuza kwa kushuka chini, inaanza Rangi ya Buluu, inafuata Njano, Nyeusi kisha Kijani.

Wakati kimpangilio inatakiwa iwe hivi:-

KIJANI.

NJANO.

NYEUSI.

BULUU.

Kwahiyo Bendera ya Tanzania ina Rangi nne tu ambazo kimpangilio inatakiwa iwe kama nilivyopanga mimi.

Upo?
 
Limao ni kiungo chenye ladha nzuri na chenye kuleta hamu ya kula, vile vile limao ni tiba au dawa rahisi na yenye matokeo ya haraka kwa wale wenye matatizo ya kunuka miguu hasa hasa kwa wanaume na hata kwa wale wenye kutoka jasho la mwili lenye kutoa harufu nzito yaani isiyopendeza

usiogope tafuta malimao sokoni kisha usiku wakati wa kulala osha vizuri miguu yako kisha iache ikauke. vyema anza kupakaa sehemu zote za unyao wa mguu na sehemu yote ya mguu acha hayo maji ya malimao yakaukie hapo hapo. mpaka asubuhi ndipo uioshe na sabuni

na kwa mwili oga kwanza kwa sabuni na kausha mwili ndipo ujipake maji ya malimao kwa siku tatu au nne hivi.

harufu yote itakatika. limao ni sh 100 tu sokoni. kama una tatizo hilo binafsi nimelifanya zoezi hili na sasa nakaa raha bila hofu ya kunuka miguu

pia kwa wale wenye kujua tiba rahisi tafadhali tupia hapa ili iwe msaada kwa wenye matatizo.
 
Je, tatizo la kuvimba miguu linasababishwa na nn? Na tiba yake ni nin?
 
Yaani kama unanisema mimi nina fungus za miguuuni kuna saa zinatoa harufu . Asahivi nina malimao yangu mawili naenda kupakaa! Hope najua ntapona ntaleta feedback hapa!
 
Yaani kama unanisema mimi nina fungus za miguuuni kuna saa zinatoa harufu . Asahivi nina malimao yangu mawili naenda kupakaa! Hope najua ntapona ntaleta feedback hapa!
kiasi najua ni miguu isiyokuwa na vidonda. harufu ninayoizungumzia ni ile inayosababishwa na kuvaa viatu muda mrefu bila ya kuvivua au kutokufua soksi kila mara.... na mara nyingine ni kuvaa viatu vya mtu mwenye matatizo hayo ..
 
kiasi najua ni miguu isiyokuwa na vidonda. harufu ninayoizungumzia ni ile inayosababishwa na kuvaa viatu muda mrefu bila ya kuvivua au kutokufua soksi kila mara.... na mara nyingine ni kuvaa viatu vya mtu mwenye matatizo hayo ..
Kiasi nini mkuu? Ndio haina vidonda!
 
JE WAJUA
Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa (anus) ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia?


nawaona mnavojaribu...
 
Jaman nimegundua dunian kuna facts and Myth nyingi ambazo zilitokea ama
kusemekana kutokea dunian ambazo mtu akizijua zinaweza kumjenga kwa namna moja ama nyingine kama sio kumburudisha...

naomna kupitia uzi huu we tupia fact ama myth au fiction ambayo unaijua iwe kwenye maswala ya afya. siasa. uchumi. mapenz. na mengineyo

shart ni kuwa ukiweka tukio ama habar yoyote iwekew na tag kama ni fact, fiction ama myth.

mi naanza ma hz hapa chini

Je wajua kuwa katika miaka ile ya 1800 wakat marekan ikiwa kwenye the great depression kulikuwa
na ukata ambao haukuwah kutokea kias kuwa kuna familia
zilidiriki kuwapiga bei watoto wao walau
apate pesa ya kula kama huyo
mama alieweka
bango la kuuza watoto wake akitoa pia na mbwa kama nyongeza


hii ni fact watu waliweza kukaa hata zaid ya mwez bila kushika note ya dola moja yaan mtu anachezea kwenye coins za sumni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…