Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli binadamu huutumia ubongo wake kwa 100%.Je wajua binadamu hutumia only 2% ya brain
Binadamu huutumia ubongo wake kwa asilimia isiyozidi moja (1%).Si kweli binadamu huutumia ubongo wake kwa 100%.
Lete ushahidi wa kisayansi kuthibitisha hili.Binadamu huutumia ubongo wake kwa asilimia isiyozidi moja (1%).
Hii kitu nimesikia sana, ingawa ningefurahi mtu anaefahamu anifafanulie vizuri.Je wajua kiafya ni bora kunywa cocacola ya kawaida kuluko coke zero
Coke zero wanatumia artificial sweeteners ili kupunguza matumizi ya sukari ya kawaida... but madhara ya kutumia artficial sweetners ni makubwa kuliko madhara yaletwayo na sukari ya kawaida..wanatumia aspartame na zinginezo (maana artificial sweetners zipo za aida nyingi kulingana na aina ya kinywaji) ambayo kati ya athari zake ni pamoja na kuwa associated na kuleta kansa n.k (pita hapa ujifungue zaidi>>>Aspartame). So unaweza ukanywa coke zero kupunguza energy intake lakini ukapata madhara mengine kiafya...😉😉Hii kitu nimesikia sana, ingawa ningefurahi mtu anaefahamu anifafanulie vizuri.
Hukunielewa ngoja nikusaidie.bendera ya Tanzania ina rangi ngapi?mbona mpangilio wako hauko sahihi?
cheki wangu
1.kijani
2.njano
3.nyeusi
4.njano
5.bluu
hapo anzia kokote uko sahihi
Je, tatizo la kuvimba miguu linasababishwa na nn? Na tiba yake ni nin?Limao ni kiungo chenye ladha nzuri na chenye kuleta hamu ya kula, vile vile limao ni tiba au dawa rahisi na yenye matokeo ya haraka kwa wale wenye matatizo ya kunuka miguu hasa hasa kwa wanaume na hata kwa wale wenye kutoka jasho la mwili lenye kutoa harufu nzito yaani isiyopendeza
usiogope tafuta malimao sokoni kisha usiku wakati wa kulala osha vizuri miguu yako kisha iache ikauke. vyema anza kupakaa sehemu zote za unyao wa mguu na sehemu yote ya mguu acha hayo maji ya malimao yakaukie hapo hapo. mpaka asubuhi ndipo uioshe na sabuni
na kwa mwili oga kwanza kwa sabuni na kausha mwili ndipo ujipake maji ya malimao kwa siku tatu au nne hivi.
harufu yote itakatika. limao ni sh 100 tu sokoni. kama una tatizo hilo binafsi nimelifanya zoezi hili na sasa nakaa raha bila hofu ya kunuka miguu
pia kwa wale wenye kujua tiba rahisi tafadhali tupia hapa ili iwe msaada kwa wenye matatizo.
Yaani kama unanisema mimi nina fungus za miguuuni kuna saa zinatoa harufu . Asahivi nina malimao yangu mawili naenda kupakaa! Hope najua ntapona ntaleta feedback hapa!Limao ni kiungo chenye ladha nzuri na chenye kuleta hamu ya kula, vile vile limao ni tiba au dawa rahisi na yenye matokeo ya haraka kwa wale wenye matatizo ya kunuka miguu hasa hasa kwa wanaume na hata kwa wale wenye kutoka jasho la mwili lenye kutoa harufu nzito yaani isiyopendeza
usiogope tafuta malimao sokoni kisha usiku wakati wa kulala osha vizuri miguu yako kisha iache ikauke. vyema anza kupakaa sehemu zote za unyao wa mguu na sehemu yote ya mguu acha hayo maji ya malimao yakaukie hapo hapo. mpaka asubuhi ndipo uioshe na sabuni
na kwa mwili oga kwanza kwa sabuni na kausha mwili ndipo ujipake maji ya malimao kwa siku tatu au nne hivi.
harufu yote itakatika. limao ni sh 100 tu sokoni. kama una tatizo hilo binafsi nimelifanya zoezi hili na sasa nakaa raha bila hofu ya kunuka miguu
pia kwa wale wenye kujua tiba rahisi tafadhali tupia hapa ili iwe msaada kwa wenye matatizo.
kiasi najua ni miguu isiyokuwa na vidonda. harufu ninayoizungumzia ni ile inayosababishwa na kuvaa viatu muda mrefu bila ya kuvivua au kutokufua soksi kila mara.... na mara nyingine ni kuvaa viatu vya mtu mwenye matatizo hayo ..Yaani kama unanisema mimi nina fungus za miguuuni kuna saa zinatoa harufu . Asahivi nina malimao yangu mawili naenda kupakaa! Hope najua ntapona ntaleta feedback hapa!
Kiasi nini mkuu? Ndio haina vidonda!kiasi najua ni miguu isiyokuwa na vidonda. harufu ninayoizungumzia ni ile inayosababishwa na kuvaa viatu muda mrefu bila ya kuvivua au kutokufua soksi kila mara.... na mara nyingine ni kuvaa viatu vya mtu mwenye matatizo hayo ..