Je, wajua? - Special Thread

Mtaalam wa mb. O. O
 
Je wajua kwamba Tanzania [emoji1241] ina misitu na misitu mataji wazi ina ukubwa wa hekta milioni 48, ambapo ikigawanywa kila mtu anaweza kupata hekta moja???
 
Ni viumbe watatu tu Duniani wanaofanya sex kwa ajili ya starehe... Binadamu, Bonobo, na Dolphin.
Wanyama wengine wote wanafanya mapenzi kwa ajili ya kuzaliana tu.
 
Je unajua binadamu ndie kiumbe pekee anaeishi rohoni na mwilini. Viumbe wengine kama majini na malaika wanaishi rohoni pekee.
 
At least maswala Kama haya na sio wajinga wengine kila uzi wanaleta siasa,acheni uchoko wengine hawapendi siasa izo
 
Ni viumbe watatu tu Duniani wanaofanya sex kwa ajili ya starehe... Binadamu, Bonobo, na Dolphin.
Wanyama wengine wote wanafanya mapenzi kwa ajili ya kuzaliana tu.
Bonobo ndo kiumbe gani
 
Unajua kwamba nusu ya binadamu wote waliokufa Duniani wamekufa kwa maralia.
 
Je wajua wote walioandika humu yasiyojulikana nao pia hawakuwa wakijua, na walichokiandika nao wamesimuliwa.,?
 
Je wajua!!? Tanzania ndio nchi pekee duniani iliobarikiwa kuwa na team mbovu ya mpira wa miguu kuliko nchi yeyote ile ulimwenguni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…