Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 1,915
- 5,750
Exactly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaalam wa mb. O. O-Bernacle(mdudu wa baharini) ndio kiumbe mwenye mbo.o ndefu kuliko wote duniani. Ana dudu la yuyu lenye urefu karibu mara 40 ya urefu wake....kwa binadamu cjui sie wenye urefu futi6 kasoro tungekua tunavuta mzigo wa futi240( mita 70+) kwenye toroli teh teh
Zamaaaani[emoji23][emoji23][emoji23]Je wajua, nyuki dume akifika kileleni tu na map*mbu hupasuka paaah.
Km ingekua kwa binadamu basi zero IQ tungesha mzika.
majaruba ya mpunga yanajazwa maji sio kwa sababu mpunga unayahitaji bali kwa sababu ya kuua magugu. Kwa mfumo wa kisasa wa kuweka maji na kuyatoa '' system of rice intensification) mazao huwa mengi kuliko hiyo ya kuloweka miche
Masika ya mwakani, Jupiter patanifaa sanaJe wajua? Sayari ya Jupiter msimu wa mvua hunyesha almasi? Sio maji km Dunia
At least maswala Kama haya na sio wajinga wengine kila uzi wanaleta siasa,acheni uchoko wengine hawapendi siasa izoJe wajua kuna kimondo kinaitwa Psyche, ambacho kimeundwa kwa madini ya dhahabu, chuma, nikeli na platinum... Kinakadiriwa kuwa na thamani ya $700 quantillion! Ambapo kikiletwa duniani na kugawanywa kwa idadi ya watu wote takribani billion 7, kila mtu anakuwa billionea! Kipo kati ya Mars na Jupiter na wanasayansi wanategemea kupeleka satelaiti ifikapo 2022 na kuwasili 2026. Mpaka sasa hakuna project ya kuchimba vimondo ila inatarajiwa kufika 2030 kutakuwa na kampuni ya kufanya kazi hiyo (Asteroid mining company)...
manengelo
Bonobo ndo kiumbe ganiNi viumbe watatu tu Duniani wanaofanya sex kwa ajili ya starehe... Binadamu, Bonobo, na Dolphin.
Wanyama wengine wote wanafanya mapenzi kwa ajili ya kuzaliana tu.
Hawa hapaBonobo ndo kiumbe gani
AaaaaaaaaahJe! Wajua kama mwanamke angekuwa hazai kwa uchungu (kubeba mimba) angekuwa na roho mbaya zaidi na asingeweza kuishi na kiumbe yoyote!?