Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Nipe siri ya mafanikio yakuwa young forever madam.

Vipi nae bibie manengelo ni forever young au forever old...[emoji1787][emoji23][emoji23]?


Mie ukinikuta maeneo ya chuo chcht huwa wanajua mie dent...niweke club nafit..niweke beach nafit.....niweke kwa madada wa mujini nafit...niweke as a modern woman nafit...!niweke km hustla wa mwendo kasi nafit💃💃💃!
 
Mie ukinikuta maeneo ya chuo chcht huwa wanajua mie dent...niweke club nafit..niweke beach nafit.....niweke kwa madada wa mujini nafit...niweke as a modern woman nafit...!niweke km hustla wa mwendo kasi nafit[emoji126][emoji126][emoji126]!
Aiseee popote uwekwapo basi naaaam!!!!!

Hongera sana madam.

Kwani wewe wa kwenye picha hapo.?
 
Je wajua kuna wimbo wa taifa la chattle unatungwa?!
 
Back
Top Bottom