Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

KAMPUNI 7 KUBWA DUNIANI AMBAZO ZINA MAJINA HALISI YA WAANZILISHI WAKE.

1JBL.-ni kampuni ya kimarekani inayojihusisha na utengenezaji wa audio speakers na loud speakers.Kampuni hii ilianzishwa mnamo miaka ya 1946 miaka 76 iliyopita chini ya muanzilishi bwana "James Bullough Lansing huko Los Angeles USA.

2.Mercedes-Benz -jina Mercedes Benz lilitokea mnamo mwaka 1926 kutoka kwa Daimler Benz.Mercedes Benz ni gari la kwanza la petroli lililotengenezwa na Karl Benz benz patent motorwagen, kutokana na ufadhili wa berths benz na kupewa hatimilikiJanuari 1886. Gari hili liliuzwa kwa mara ya kwanza mwaka wa 1901 na kampuni ya Daimler.Makao makuu ya kampuni yanapatikana stuttgart Baden wurttemberg German.

3.Ford -wengi tunaifahamu kampuni hii kwa umahili wa utengenezaji magari kama aina ya ford ranger, na mengineyo sasa huyu hapa mwanzilishi ni-:Henry Fordalizaliwa julai 30,1863.Alikuwa muhandisi na mfanyabiashara nchini marekani Alianza kutengeneza magari mwaka 1896 akaunda kampuni ya Ford motor Company mjini Detroit.Gari la kwanza lililotengenezwa kwa idadi kubwa ilikuwa modeli ya Ford T akajenga milioni 15 Ford T.

4.Lamborghini-hii nadhani wengi wetu tunaijua Automobile Lamborghini ni kiwanda cha italia ambacho ni watengenezaji wa magari ya kifahari, magari ya michezo, na SUVs, kinachopatikana Sant'Agata Bolognese, Italia.Mwanzilishi na mmiliki wa hii kampuni anaitwa bwana Ferruccio Lamborghini alizaliwa munamo 28 April 1916.

5.Suzuki - hili jina pia najua si geni machoni na maskioni mwako.Mwanzilishi wa hii kampuni ni Michio Suzuki.ilianzishwa mnamo mwaka 1909 huko Hamamatsu, Shizuoka Japan kampuni hii pia ipo dunia nzima yani worldwide.


6.Siemens - hakuna asiejua kampuni hii kwa ubora na umahiri wake juu ya utengenezaji wake wa simu za mkoni kwanzia miaka hiyoo hadi sasa.ilianzishwa 1 October 1847 huko Munich na Berlin Germany.chini ya muasisi wake bwana:FounderWerner von Siemens kampuni hii ipo worldwide kila mahali.

7.Honda - kama hujawahi kuendesha magari yake basi naimani piki piki zake umeendesha ilianzishwa mwaka 1948 mwanzilishi chini ya muasisi wake mzee; Soichiro Honda.Alizaliwa 17 novemba 1902 huko Hamamatsu, Shizuoka, Japan.

Zipo nyingi zaidi sitoweza kuziolodhesha zote kama unazifahamu zaidi ongezea kwa faida ya wengi.
1656946655936.jpg
1656946611958.jpg
1656946566743.jpg
1656946505261.jpg
photo-1563694983011-6f4d90358083.jpg
241417927_1666251090235547_8439542788676309468_n.jpg
Success-Story-of-Henry-Ford-Founder-of-Ford-Motor.jpg
1656946554653.jpg
2552px-Honda_Logo.svg.jpg
2560px-Honda.svg.jpg
 

Attachments

  • 2560px-Honda.svg.jpg
    2560px-Honda.svg.jpg
    24.2 KB · Views: 23
Je, wajua kutafuna vitu kama Pipi, Jojo, sweet gum, na vitu vifananavyo na hivyo husaidia kuongeza umakini na kupunguza kiwango kidogo cha ukimya na mawazo?

Fanya utafiti binafsi kisha njoo na majibu. Ukweli ni kwamba unapotafuna kitu unaupa ubongo wako mgawanyiko wa kiutendaji kazi.

Hivyo kupunguza kiwango cha kufikiri kwa kina kuhusu jambo fulani.
 
Je wajua vitu vifuatavyo haujavichagua katika maisha yako:-

1. Wazazi wako,
2. Jinsia yako,
3. Jina ulilopewa na wazizi wako,
4. Race yako (Yaani kua Mhindi, Mzungu, Mwarabu au Muafrika),
5. Bara, Nchi , Mji au Hospitali au Sehemu Uliozaliwa,
6. Siku ya Kufa.
7. Mtoto utakae Mzaa,
8. Umbile lako, yaani Urefu au Ufupi,
9. Umri utakao ishi Duniani na
10. Maadui zako.
Namba sita na kumi naweza kuchagua kwa kujicomit suicude
 
Je unajua binadamu ndie kiumbe pekee anaeishi rohoni na mwilini. Viumbe wengine kama majini na malaika wanaishi rohoni pekee.
Hao wengine ni imaginary creature ,they doesnt exist
 
Je unajua binadamu ndie kiumbe pekee anaeishi rohoni na mwilini. Viumbe wengine kama majini na malaika wanaishi rohoni pekee.
Hao wengine ni imaginary creatures ,they doesnt exist
 
Mwanamke anapokuwa anajifungua maumivu yake ni sawa na kuvunjika mifupa 20 kwa wakati mmoja.

Women are champions. Then bado tunafikiri wanaume ni imara.
Wanawake binadamu au viumbe wote wa jinsia ya kike
 
Je wajua kuroan ndicho kitabu pekee cha dini kinachozungumzia kwa ufasaha yaliyopita yaliopo na yajayo?
mf;kuruhusu ndoa ya wake 4,iliona wanawake watajakuwa wengi baadae,ilihali wakati ikiyaruhusu hayo wanawake hawakuwa wengi kiasi hicho..!na mengine mengi mnooo..
Wanawake ndio wengi tangu mamilioni ya miaka kabla mtume hajazaliwa hiyo ni kisayansi/ biology.
Someni elimu zote msijibane upande wa kubazi tu
 
Je wajua kuwa:

Hakuna eneo lililowahi kuitwa NAZALETI katika dunia ya uhlisia tofauti na kwenye Biblia??

Hi ni kutoka kwa mtunza maktaba mkuu wa VATICAN
Kwa maana hiyo leo ukienda israel hutaikuta hiyo sehemu
 
Back
Top Bottom