Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

Kweli kuwa Mtanzania sio kazi, Kazi kuwa mzalendo.

Kuona waTz wenzangu wanaliponda Jeshi letu ni aibu kubwa sana hasa mitandaoni ambapo aweza ingia mtu yoyote kutoka nchi yoyote akajionea aibu yetu hii. Very diaspointed[emoji19]
 
Karne hii unasema jeshi la ardhi technology iliyokua hivi jeshi la Ardhi teh teh [emoji23][emoji23][emoji23]
 
check na hii: chuo cha kijeshi cha MONDULI ni cha kimataifa hadi SOUTH AFRICA inaleta wanafunzi pale. majirani ndo kabisa, karibu kila mwaka tunapokea madent wao wa kijeshi.
Kibiti vip si wanajeshi wapo kibao mbona watu wanauwawa kila kukicha
 
Nikisema sijui nitakua nimekubali kwamba tunanguvu, ila nasema hamna na tena haitatokea kwasababu sisi ni vimbelembele kwenda kuuliwa huko.
Pia sisi hutumika km chambo tu ndio maana wengi wakienda huko hurudi mizoga
Vile vile tunaweza kuzuia marumbano sio vita kwa mifano hai Marumbano ya Mbeya vikosi na midege ya kivita ilipiga kambu mienzi 3, Mtwata jeshi lilipiga kambi miaka 3.
Kwaujulma tunaweza na tunayo makambi ya kucheza bao na Drafti tu.
Kibiti sijaona wakionesha uwezo wao. Nawaza kwa maandishi mjue
 
Ile vita ya kagera tulisaidwa na majeshi mbalimbali wakiwemo waganda wenyewe, sisi peke yetu hatujawahi kupigana peke yetu
Acha Ubishi....hata US anakua na washirika wake katika vita....kama ambavyo kenya ana washirika huko Somalia lakini hamna lolote. TPDF tupo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…