MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
Hapana mkuu, kwa upande wa majirani zetu pande zote wote wametupiga bao ila kwa kuwa tuko usingizini na tumefumba macho hatuwezi ona jamaa wakivyotuzidi. Ukweli tuko nyuma sanaexaggeration! tunapofanya vibaya tunasema na tulipo vzr tujivunie jamani! wapo wanaotuzidi lakini sio majirani zetu.
mkuu toa hoja na mifano. unamaanisha hata Burundi, Malawi wametuzidi? kwa lipi na kivipi?Hapana mkuu, kwa upande wa majirani zetu pande zote wote wametupiga bao ila kwa kuwa tuko usingizini na tumefumba macho hatuwezi ona jamaa wakivyotuzidi. Ukweli tuko nyuma sana
siyo ngonjera ni ukweli usiopingika! Meanza na Amboni bado tunakuzoom ila sifa ya JWTZ ijulikane jamani!Mkuu MTV MBONGO, acha kupiga mayowe .....akili yetu yote sasa tumeielekeza Amboni na kiasi fulani Mwanza, tukimaliza huko ndipo utuletee hizi ngonjera!
itategemea pia. kama wakiungana wote dhidi yetu labda watashinda, lakini wakija mmojammoja wameisha. waweza kutoa pia hoja au vigezo kwanini hatuwazidi wengine kijeshi!Ngoja itokee vita ya africa mashariki na kati ndipo tutajua
Malawi imetupiga bao ila Burundi ndo level yetu japokuwa nae keshaanza kuomba njia apite sema tu mbele kuna kontena "DANGER-WIDE ABNORMAL LOAD" (mapigana ya wenyewe kwa wenyewe) angewa keshatupita tayari.mkuu toa hoja na mifano. unamaanisha hata Burundi, Malawi wametuzidi? kwa lipi na kivipi?
Hahahaa acha masikhara mzee, yaani tumpige kenya yumemaliza wiki hiyo hiyo aje Uganda! Sisi tumekuwa Russia!?itategemea pia. kama wakiungana wote dhidi yetu labda watashinda, lakini wakija mmojammoja wameisha. waweza kutoa pia hoja au vigezo kwanini hatuwazidi wengine kijeshi!
vigezo vyako ni vipi?Malawi imetupiga bao ila Burundi ndo level yetu japokuwa nae keshaanza kuomba njia apite sema tu mbele kuna kontena "DANGER-WIDE ABNORMAL LOAD" (mapigana ya wenyewe kwa wenyewe) angewa keshatupita tayari.
Rwanda wametupita kwa speed ya light na kumpungia mkono dereva wetu byeeeeee, jamaa kabaki anatabasamu!
NO! namaanisha yeyote atakayeanza nasi tutamshinda. ila tukifululiza kupigana huenda tukashindwa kwani pigano la kwanza litatufanya tudhoofike kwa adui wa piliHahahaa acha masikhara mzee, yaani tumpige kenya yumemaliza wiki hiyo hiyo aje Uganda! Sisi tumekuwa Russia!?
vigezo vyako ni vipi?
1.Malawi walishawahi kutukimbia ktk vita baada ya kuona vifaa vyetu vya hatari. yaani military intelligence yao ilikuwa dhaifu haikuona uwezo wetu mapema.
2. hao majirani tunawafundisha ujeshi nchini hasa MONDULI.
3. fuatilia ziara za majeshi ya nje kutembelea JWTZ kujifunza
kweli usiri mkubwa wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini unasababisha watu wengi kutokujua uwezo wetu. ila ni vzr kwani majirani wanatujua ndiyo maana hawatuanzi, aliyejaribu alikiona IDD AMIN DADA
Ndio ujue kuwa hizo data ni za uongo, jiulize kila mwaka helicopter ni mbili tu, Halafu elewa kuwa jeshi la Tanzania lina Siri sana kiasi kwamba kuanika mambo yao hadharani ni mwiko, unaweza ukahisi kuwa hakuna siraha za maana lakini ni kinyume chake.gazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.
wapo! ukifuatilia vizuri utaona wamejitokeza na kueleza wazihivi humu kati ya wachangiaji kuna MWANAJESHI????
Global Firepower 2016 wao wametoa data kwenye hiyo site. ila wenye site wamesema some ni estimates.Kumbe gazeti la the East African,wewe kwani hujui kama linatumiwa na nchi x kutoa propaganda. Ebu ww tumia common sense tu,Tz kunakambi ngapi za kijeshi za ardhi na mizinga alafu eti use me kunavifaru 30.Labda data zao za 1970's zitakua
Mkuu hiyo namba moja ni stori iliyokuzwa sana na waliojifanya wasemaji wa ile kitu iliyokuwa inapita juu km 200 kutoka kambi moja ya j**** na ft 8000 juu yake.vigezo vyako ni vipi?
1.Malawi walishawahi kutukimbia ktk vita baada ya kuona vifaa vyetu vya hatari. yaani military intelligence yao ilikuwa dhaifu haikuona uwezo wetu mapema.
2. hao majirani tunawafundisha ujeshi nchini hasa MONDULI.
3. fuatilia ziara za majeshi ya nje kutembelea JWTZ kujifunza
kweli usiri mkubwa wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini unasababisha watu wengi kutokujua uwezo wetu. ila ni vzr kwani majirani wanatujua ndiyo maana hawatuanzi, aliyejaribu alikiona IDD AMIN DADA
Wewe ndiye uliyelala kuna wanaume huko hawajaupata usingizi wiki ya 6 hii acha mbwembwe masuala ya jeshi wanaoyajua ni wachache sanaHapana mkuu, kwa upande wa majirani zetu pande zote wote wametupiga bao ila kwa kuwa tuko usingizini na tumefumba macho hatuwezi ona jamaa wakivyotuzidi. Ukweli tuko nyuma sana
Mkuu huwezi kushindana,na waimba taarabu we fanya yako kuna watu wanahamishia ubishi wa kisiasa kwenye mambo ya jeshivigezo vyako ni vipi?