Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Kuanzisha kitu sio shida, ila saiv wengi wenu kichwa kweupe, watu wabara walikuwa (past) ila sasa wapo vipi
So mavi ya kale hanuki bwana, ila scate lala sasa ni balaa na nusu, kabla hujasema na kuandika tafakali 2 times
 
Ni ukweli kabisa, mimi nimezaliwa mikoa yenye Bahari always wale wanaotoka BARA huonekana washamba na kwa kweli majority ni washamba wa mambo mengi hadi unashangaa.
 
Nimecheka kifala sana. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mmeshaanza upwani na ubara, mtakuja uislam na ukristo, urefu na unene.

Sisi sote ni watanzania, Haijalishi upo Pwani au Bara...Washamba na wajanja wanapatikana sehemu yoyte ile..Unaweza kujiona mjanja ukaenda Kigoma ukaingizwa mjini
Best comment of the "filthy" thread.
 
Mwaka 2100 mji wa Dar es Salaam utakuwa na wakaazi 74,000,000 je ni nini kinawafanya wabara kumiminika miji ya pwani ?

 
Mwaka 2100 mji wa Dar es Salaam utakuwa na wakaazi 74,000,000 je ni nini kinawafanya wabara kumiminika miji ya pwani ?

Wanahamia kwakuwa Yote Ni Tanzania au??
Kwahyo unadhani Hakuna wapwani wanaohamia Bara??
Yani saivi watu wa pwani mmeanza tabia Za wazanzibari?
 
Unaposema kuendelea unamaanisha nn?? Miji ya pwani yote iliendelea muda mrefu kuliko huko kwenu mpitimbi,kama majengo ya kisasa yaliyokiwa pwan miaka ya 1910 huwez kufananisha na ya huko bara kwa mwaka 1980, hata elimu pia,kutokuendelea na kustaaribika ni kielelezo cha kutokiwa na elimu! Watu wa pwani walisomesha watoto kwa mifumo ya elimu iliyokuwepo shida mmekremu elimu ya mzungu!! Kabla ya uhuru elimu iligawanywa kimatabaka,mfumo wa kiarabu na mfumo wa kizungu kila kundi lilivutia kwake na sharti la kusoma dini yake, watu wa pwani wengi waliopt mfumo wa kiarabu ambao ulikuja kukosa direction baada ya serikali kuopt kutumia mfumo wa kizungu,ila still bado wapo watu wanasoma mfumo wa madrasa mpaka degree nenda markaz utawakuta!
 
Mtu wa pwan anatumia akili siyo mvivu,hafanyi kazi za manamba,ninyi watu wa bara ni manamba mlikiwa mnatumikishwa kwenye mkonge kwa malipo ya ugali sasa ulitaka mtu wa pwan afanye hizo kazi sheikh??
 
Ustaarabu, maendeleo na hata kuvaa nguo tuu kulianzia pwani.
Swali siku hizi wabara wamesoma zaidi ya wapwani sasa huko ni kustaarabika zaidi?
NB; Kustaarabika asili yake ni "kuwa kama Muarabu."
Kusoma maana yake nini?? Huo ndo ushamba wenyewe kujisifia kukaa darasani,kusoma ni option kuna wanaoamua kusoma na wasiotaka kusoma,kusoma si ujanja mpaka umuone asiyesoma ni mjinga!! Kusoma mnarudia madarasa wnyeww mnaita kukariri miaka chungu mzima mpate dv 3 ndo kusoma??[emoji1787]
 
Ni kweli kabisa watu wa pwani wanatuona washamba, ni sawa na sisi wa bara tunaona watu wa pwani kwenye picha hizi, ukisikia mtu wa pwani akilini unaona mtu flani legelege, mtu flani wa hovyo hivi, mvivu, muongomuongo, maskini , so hizi ni mentality tu ,
 
Nadhan hili hawaelewi,kwan tunapowauzia maeneo mnapoita mjini kwa pesa ambayo sisi theluthi yake naenda kinunua kijiji kizima kwenu nani mjanja sasa hapo??nakuuzia nyumba kariakoo ambapo umepathaminisha kwa bilion halafu kwa hiyo hela nikiamua kwenda mkoani kwako kwa umasikini wake kwa robo yake naweza kununua kijiji kizima nani mjanja?? Ss tunaweza kuwauzia mnapopaita mjini kwa kuwalangua halafu tukaenda kutengeneza mjo mwingine ambao mwanamgu atakuja kuwauzia tena kwa hela ndefu[emoji3][emoji3]
 
Kwa tafsiri ya haraka haraka,Ushamba ni kushangaa jambo ambalo wenzako wanaliona ni la kawaida,ila ukisha lijua jambo hilo na kuliona ni la kawaida basi ushamba wako unakua umeishia hapo,
Ushamba na ustaarabu ni vitu viwili tofauti,

Kila jamii ina ustaarabu wake na kila jamii huona ustaarabu wao ni bora kuliko ustaarabu wa jamii zingine,

Mleta mada wewe thd yako imekuja kwa tafsiri ipi kuhusu neno Mshamba na Ustaarabu?
 
Watu wa pwani wameregea wapi...

Vifaru na magari ya kivita.. ..wapambanaji wanaletwa kwa meli maalum..kisa
uchaguzi ..

Jasho linawatoka mpaka kukubali umoja wa kitaifa... Na hapo mna silaha zote.

Nyie wa mrima..kelele mingi tu na wizi ...lakini mijoga mfano hakuna..

Ndio maana hakueleweki.. ..


Ushamba kweli bara upo ..maana huyo mzungu hakukaa bara yote.. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…