Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Uzuri wa watu wa Pwani hawana makuu...

Mwalimu Nyerere alipokewa na wazee wa town akina Sykes wakampa good time na kumpeleka mpaka UN kudai Uhuru na kisha wakamuacha awe Rais bila kinyongo..

Hata hapo Dar watu wengi wa bara wamepewa maeneo bure kabisa na wenyeweji japo leo wao wanayauza kwa mamilioni ya hela na kujiona wajaanja ilihali ukienda huko kwao hata eneo la kaburi ni dili...

Mpaka leo hii huko Kilwa, na baadhi ya vijiji vya mkoa wa Pwani Wasukuma wanapewa maeneo bure walime...

Kilwa iliwahi kuwa na maghorofa na mji ulioendelea zama hizo kabla hata ya mkoloni..

Bagamoyo na Mzizima zenyewe zilikuwa town toka zama hizo kipindi wanyamwezi na wasukuma wanajificha mapolini huko..
Hata nguo na hivi vyoo vya kujisaidia vilianzia Pwani wakati wengine wakivaa majani..

Vingine ngoja niache
Kuanzisha kitu sio shida, ila saiv wengi wenu kichwa kweupe, watu wabara walikuwa (past) ila sasa wapo vipi
So mavi ya kale hanuki bwana, ila scate lala sasa ni balaa na nusu, kabla hujasema na kuandika tafakali 2 times
 
Ni ukweli kabisa, mimi nimezaliwa mikoa yenye Bahari always wale wanaotoka BARA huonekana washamba na kwa kweli majority ni washamba wa mambo mengi hadi unashangaa.
 
Ukweli ni huo Mkuu,

Bara ni shamba na dunia ilianza kuchangamka maeneo ya pwani tokea kitambo.

Wakati watu wa pwani wanajenga miji yao na kuishi pamoja kule sigimbi ndio kwanza watu walikuwa wanagombea mapango na mawe yaliyolainika Kwa ajili ya makazi.

Wengi wao wakiishi katika koo zao pasi na kuchanganyika na watu wengine.

Unakuta Kila ukoo na chaka lake,ustaarabu utatokea wapi. Unakuta binadamu anatoa harufu Kali ya beberu,mwili wake umefunikwa Kwa vipande vya ngozi (lubega) huyo ndo mtawala wao na wale watawaliwa wameficha pale mbele kwenye kiwanda Cha kuchakata watoto Kwa kipande Cha ngozi huku makalio yakiendelea kufurahia mandhari.

Huwezi kumfananisha mtu wa pwani ambaye anaujua ustaarabu tokea zamani na mtu ambaye akiamka asubuhi anasafisha uso wake Kwa mkojo wa punda hata siku moja.

Watu wa pwani wazee wa vibarakashia wanywa kahawa huku wakishushia na kashata nyakati za jioni wamejivalia misuli huku wakibalizi Kwa mbaali wavuvi wanatoka baharini na samaki walionona. Wakati huo ukipita mitaani unakutana na mpishano mkali wa harufu ya chakula kinachoandaliwa Kwa ustadi wa hali juu.

Kadiri usogeavyo unapata kusikia sauti za pe pe pe pe ni wale wanaopepeta mchele,na zile za kro kro kro za wale wanaokuna Nazi. Si mtu wa pwani yule asiyeijua ladha halisi ya wali nazi.

Wakati huo kule bara ni muda wa kula mihogo na viazi Ile iliyochomwa kwenye jivu la moto. Vitoto vyao vikifukuzana na kuparamia mtu huu na ule. Na wale vijana ndo muda wao wa kurudi kuokota mabungo na wengine wakiburuza minofu ya nyumbu kutoka mawindoni.

Ama Kwa hakika watu wa pwani duniani kote ndio kielelezo cha kustaarabika.
Nimecheka kifala sana. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mmeshaanza upwani na ubara, mtakuja uislam na ukristo, urefu na unene.

Sisi sote ni watanzania, Haijalishi upo Pwani au Bara...Washamba na wajanja wanapatikana sehemu yoyte ile..Unaweza kujiona mjanja ukaenda Kigoma ukaingizwa mjini
Best comment of the "filthy" thread.
 
Mwaka 2100 mji wa Dar es Salaam utakuwa na wakaazi 74,000,000 je ni nini kinawafanya wabara kumiminika miji ya pwani ?

 
Mwaka 2100 mji wa Dar es Salaam utakuwa na wakaazi 74,000,000 je ni nini kinawafanya wabara kumiminika miji ya pwani ?


Wanahamia kwakuwa Yote Ni Tanzania au??
Kwahyo unadhani Hakuna wapwani wanaohamia Bara??
Yani saivi watu wa pwani mmeanza tabia Za wazanzibari?
 
watu wa pwani wamestaarabika kwasababu mzungu na mwarabu alikuwa lazima akanyage aridhi ya pwani kabla ajafika maeneo mengine, n
bahari ndio ilikuwa the main and only entrance ya walioleta ustaarabu pwani (mzungu & mwarabu)

tukitaja sehemu za pwani zote kuanzia dar,bagamoyo, zanzibar,tanga, kilwa... pote uko kulichamka kwasababu wazungu walikuwa lazima wafike hapo kabla ya kusambaa sehemu nyingine

lakini pamoja na ustaarabu wote wa watu wa pwani na pamoja privilage yote waliyopata kutoka kwa wazungu na warabu, watu wa pwani walishindwa kujiheshimisha kwenye nyanja nyingi kama vile elimu na maendeleo. Mwisho wa siku walishindwa hata kuendeleza miji yao mpaka alipokuja mtu wa bara kumpa changamoto

kwasababu wa pwani wengi wanajua ustaarabu tu lakini elimu na maendeleo yao ni zero basi wanabaki kuwa machawa na wataalamu wa kusagiana kunguni, yani maneno mengiiii lakini vitendo sifuri

watu wa pwani mlikuwa mna kila resources za kuwafanya ma giant kwenye nchi hii, lakini mlishindwa kuzoyumia hizo resources kwasababu ya umwinyi na uvivu wenu na watu wabara walovyotia maguu kuanzaa kutumia hizo resource mnaanza kujimwambafai nyie ndo wajanja na mna ustaarabu!
endelee kujimwambafai uku maeneo yenu yanachukuliwa na watu wa bara
Unaposema kuendelea unamaanisha nn?? Miji ya pwani yote iliendelea muda mrefu kuliko huko kwenu mpitimbi,kama majengo ya kisasa yaliyokiwa pwan miaka ya 1910 huwez kufananisha na ya huko bara kwa mwaka 1980, hata elimu pia,kutokuendelea na kustaaribika ni kielelezo cha kutokiwa na elimu! Watu wa pwani walisomesha watoto kwa mifumo ya elimu iliyokuwepo shida mmekremu elimu ya mzungu!! Kabla ya uhuru elimu iligawanywa kimatabaka,mfumo wa kiarabu na mfumo wa kizungu kila kundi lilivutia kwake na sharti la kusoma dini yake, watu wa pwani wengi waliopt mfumo wa kiarabu ambao ulikuja kukosa direction baada ya serikali kuopt kutumia mfumo wa kizungu,ila still bado wapo watu wanasoma mfumo wa madrasa mpaka degree nenda markaz utawakuta!
 
hawa watu wa pwani ni watu wa hovyo na umbea wake kwa waume uvivu tu umewajaa waoga sana vita hawaziwezi wao kusemana tu

ndio maana mababu zao waliliwa sana na wale jamaa kwa kisingizio tulikuwa tunakunywa gahawa na zawadi za misuli na sahani za udongo
Mtu wa pwan anatumia akili siyo mvivu,hafanyi kazi za manamba,ninyi watu wa bara ni manamba mlikiwa mnatumikishwa kwenye mkonge kwa malipo ya ugali sasa ulitaka mtu wa pwan afanye hizo kazi sheikh??
 
Ustaarabu, maendeleo na hata kuvaa nguo tuu kulianzia pwani.
Swali siku hizi wabara wamesoma zaidi ya wapwani sasa huko ni kustaarabika zaidi?
NB; Kustaarabika asili yake ni "kuwa kama Muarabu."
Kusoma maana yake nini?? Huo ndo ushamba wenyewe kujisifia kukaa darasani,kusoma ni option kuna wanaoamua kusoma na wasiotaka kusoma,kusoma si ujanja mpaka umuone asiyesoma ni mjinga!! Kusoma mnarudia madarasa wnyeww mnaita kukariri miaka chungu mzima mpate dv 3 ndo kusoma??[emoji1787]
 
Ni kweli kabisa watu wa pwani wanatuona washamba, ni sawa na sisi wa bara tunaona watu wa pwani kwenye picha hizi, ukisikia mtu wa pwani akilini unaona mtu flani legelege, mtu flani wa hovyo hivi, mvivu, muongomuongo, maskini , so hizi ni mentality tu ,
 
Mkuu hivi unafahamu Tanzania ni free country na wananchi wote wanaweza kwenda popote ndani ya nchi na kufanya chochote?
Means hata mimi naweza kwenda kununua eneo bara ila sema bara ni.......... well you know!
Na watu wanaoununua maeneo ambayo unaita shamba sasa hivi baadae yatakuwa na thamani kubwa zaidi sababu hata kariakoo ilikuwa shamba! je unadhani nani mshamba hapo?

Nilikuwa nataka kusema "this is a nonsense ideology" lakini kwakuwa mimi ni gentleman na mstaarabu basi sitosema hivyo.
Nadhan hili hawaelewi,kwan tunapowauzia maeneo mnapoita mjini kwa pesa ambayo sisi theluthi yake naenda kinunua kijiji kizima kwenu nani mjanja sasa hapo??nakuuzia nyumba kariakoo ambapo umepathaminisha kwa bilion halafu kwa hiyo hela nikiamua kwenda mkoani kwako kwa umasikini wake kwa robo yake naweza kununua kijiji kizima nani mjanja?? Ss tunaweza kuwauzia mnapopaita mjini kwa kuwalangua halafu tukaenda kutengeneza mjo mwingine ambao mwanamgu atakuja kuwauzia tena kwa hela ndefu[emoji3][emoji3]
 
Kwa tafsiri ya haraka haraka,Ushamba ni kushangaa jambo ambalo wenzako wanaliona ni la kawaida,ila ukisha lijua jambo hilo na kuliona ni la kawaida basi ushamba wako unakua umeishia hapo,
Ushamba na ustaarabu ni vitu viwili tofauti,

Kila jamii ina ustaarabu wake na kila jamii huona ustaarabu wao ni bora kuliko ustaarabu wa jamii zingine,

Mleta mada wewe thd yako imekuja kwa tafsiri ipi kuhusu neno Mshamba na Ustaarabu?
 
Watu wa pwani wameregea wapi...

Vifaru na magari ya kivita.. ..wapambanaji wanaletwa kwa meli maalum..kisa
uchaguzi ..

Jasho linawatoka mpaka kukubali umoja wa kitaifa... Na hapo mna silaha zote.

Nyie wa mrima..kelele mingi tu na wizi ...lakini mijoga mfano hakuna..

Ndio maana hakueleweki.. ..


Ushamba kweli bara upo ..maana huyo mzungu hakukaa bara yote.. ..
 
Back
Top Bottom