Huyo sijui mchungaji aliyekumezesha huo upuuzi alikuweza yaani hapo ulipo hata gegedu yaani dume la Bata linakuzidi akili na ikitokea myahudi akakuomba USHUZI nadhani utamwachia kama wote
Huyo sijui mchungaji aliyekumezesha huo upuuzi alikuweza yaani hapo ulipo hata gegedu yaani dume la Bata linakuzidi akili na ikitokea myahudi akakuomba USHUZI nadhani utamwachia kama wote
Huu uzi nimechelewa kuuona. Labda kwa kiwango changu duni cha kujua mambo ya middle east ningepinga hoja yake.
Lkn mwisho wa siku mleta mada amekuwa sahihi kwa 100%.
Swali langu kwako konyola...
Kwanini unamshambulia mtoa mada, badala ya kuishambulia hoja!?
Mbona kila kitu alichoongea kimetokea kamilifu, tena zaidi ya 100%!?