Je, wajuwa Iran pamoja na vitisho vyote hawezi kuigusa Israel na kama akiwagusa huwo ndiyo mwisho wao

Je, wajuwa Iran pamoja na vitisho vyote hawezi kuigusa Israel na kama akiwagusa huwo ndiyo mwisho wao

Watu mnajua hadi idadi ya vichwa vya nukes ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ wakati huohuo hujui jeshi lako lina manuwari ngapi za kivita ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Wazee wa "SI RUHUSA KUPIGA PICHA HAPA" unadhani watakuonesha idadi ya Manuwari?
 
Iran bado ni Kitisho kwa Israel! Unasema ikiigusa Israel inaisha?
Wakati Iran inafadhiri vikundi kama vya Hezibollah kuipiga kila siku?
 
Huyo sijui mchungaji aliyekumezesha huo upuuzi alikuweza yaani hapo ulipo hata gegedu yaani dume la Bata linakuzidi akili na ikitokea myahudi akakuomba USHUZI nadhani utamwachia kama wote
 
Huyo sijui mchungaji aliyekumezesha huo upuuzi alikuweza yaani hapo ulipo hata gegedu yaani dume la Bata linakuzidi akili na ikitokea myahudi akakuomba USHUZI nadhani utamwachia kama wote
Huu uzi nimechelewa kuuona. Labda kwa kiwango changu duni cha kujua mambo ya middle east ningepinga hoja yake.
Lkn mwisho wa siku mleta mada amekuwa sahihi kwa 100%.
Swali langu kwako konyola...
Kwanini unamshambulia mtoa mada, badala ya kuishambulia hoja!?
Mbona kila kitu alichoongea kimetokea kamilifu, tena zaidi ya 100%!?
 
Back
Top Bottom