[emoji259][emoji259][emoji259][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji254][emoji254][emoji254]Naomba maua yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji259][emoji259][emoji259][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji254][emoji254][emoji254]Naomba maua yangu
Watu mnajua hadi idadi ya vichwa vya nukes 😁😁😁 wakati huohuo hujui jeshi lako lina manuwari ngapi za kivita 😁😁
Iko hivi ktk maswala ya kivita sio ukubwa wa nchi au wingi wa watu ulio nao ila niuwezo wa kivita pamoja na ujasusi.
Ktk kile kilicho onekana sio kitu cha kawaida Israel walishambulia sehem ya ubalozi wa Iran ktk Nchi ya Syrian. Naomba niwakumbushe ni sehem ya ubalozi sio ubalozi wote na jinsi Mazayuni yalivyo na uwezo ambao hata Mrusi anajiuliza waliwezaje jamaa walikula vichwa muhimu sana vya mageneral ambao wanawasumbua hapo mid East na kwa Taarifa za kijasusi haya majamaa yalikuwa kwenye moja ya watu walifanikisha lile shambulio baya sana lililo fanywa na Hamasi.
Mossad baada ya kuperuzi data wakagundua hawa jamaa ndio haswa pasipo shaka walikuwa wapamgaji waleta Silaha na kuwafanyisha mafunzo vijana walio husika na ule ukatili mwaka jana kwenye Taifa la Israel. Taarifa hizi ziliwafikia wanausalama wa Israel nakithibitisha ndipo wakaamua fanya shambulizi baya kabisa kwenye ubalozi wa Iran kule Syria na kuacha Shimo kubwa na hao makomando wa Iran wakafa kifo cha maumivu makali.
Je unadhani Israel wamekurupuka lahasha hawakukurupuka na kwa ufupi wamejiandaa kwa shambulio Hilo na mengine mengi makubwa kuliko hili kiufupi hakuna alie shiriki kwenye mauwaji ya Waisrael mwaka jana atakuwa hai kwa maneno yake mwenyewe Waziri Mkuu wa Israel Mh Benjamin Netanyahu alisema "Wale walioshiriki au kupanga au kusupport mauwaji ya Waisrael mwaka jana ni marehem wanao tembea" mwisho wakunukuu.
Iran hawakujuwa au kutegemea mauwaji ya wa Israel mwaka jana yangeleta maafa makubwa kwa Taifa lao hata kupelekea kuangamia kwa Taifa lao.
Je wajuwa Nini Israel wanakijuwa na wamekipanga kwa Iran?
Israel wanasubiri shambulizi la Iran either ktk balozi zake au Taifa lake na wamesema pasipo kificho Iran ikiwagusa wao watamalizia je wajuwa watamalizaje?
Kiufupi IRAN IPO uchi mbele ya macho yawana usalama wa Israel namanisha Mossad. Kwa wale wanajuwa mambo ya usalama wanasema huwezi mgusa mwenzako jicho kama hujuwi amejipangaje... Israel wanajuwa mahali oakumfanya Iran arudi kwenye zero na wamejianda kwa Hilo kiufupi Israel wanataka kuifanya Iran kurudi nyuma kwa miaka +100. Usiniulize itakuwaje ila subiri uwone mwenyewe ndipo utakumbuka huu Uzi.
Iran hana uwezo wakuigusa Israel pamoja na msaada anapata kwa Warusi this time ameshikwa pabaya Israel wanasema Iran ni kama pweza Hamasi na Hezbollah ni mikia tu kichwa kipo Iran hivyo wanataka kichwa je ni kwa jinsi gani na namna gani basi nakushauri mwambie Iran amguse Israel ndipo mtanikubali kuwa Israel sio watu wa kiwango cha sasa ni akili kubwa sana kwenye ujasusi na vita. Tukutane Shinbet💀

Vita sio kabisa lo
Hii takataka umeikota wapi ndugu!?
una maana Mossad wamehusika kwenye ajali ya Helicopta ?Naomba maua yangu
Vipi wamekujengea hata nyumba la tembe? Hizi sifa si bora ungezielekezea kwa Rais wako!
Kiongozi amekimbia Uzi Wake.....
Israeli inataka kulipa kisasi cha kihistoria.
Maana Iran, ni kati ya mataifa yaliyolitesa sana Taifa teule.
"Wale walioshiriki au kupanga au kusupport mauwaji ya Waisrael mwaka jana ni marehem wanao tembea"