Je, wakati (time) una mwisho au ulianza lini?

Mi naona Muda ulikuwepo tu hauna mwanzo na utakuwepo tu hauna mwisho maana kama kuna mwanzo wa muda kuna kipindi hakukua na muda wala space na sidhani kama inawezekana kuwepo bila space, hivyo muda kuanzia kwenye big bang itakuwa kwenye ulimwengu wetu na naamini ulimwengu zipo nyingi mno
 
Ukiona kitu kinakosa maelezo jua kuna kitu kimemiss!, there's some kinds of laws we don't know.. especially in how universe operates!. Kuna logics zinakuwa zinadunda kutupa majibu maana kuna vitu hatuvijui bado!. We are so primitive..😅

Ulichokiandika tukikipima tutabanana mlangoni kama mi nyumbu iliyoghafirika!.. i hope kuna kanuni za ulimwengu ambazo bado hatujazijua na usikute tunaishi nazo yani zipo dhahiri ila ufahamu wetu ni kama haujazitambua bado!, kwani ufahamu wetu mara nyingi unaongozwa na yale tunayoyajua kuliko kutoka na majibu tusiyoyajua!..

Mfano unaweza kukuta swali la "kwanini..?" Kwenye ulimwengu tunakosea kujiuliza ama ni logic isiyonakazi kwenye kila kitu isipokuwa baadhi ya vitu tu!. Nini kama kuuliza "kwanini kuna muda.?" Kwenye ulimwengu sio swali sahihi..?...😅
 
Hakika, concept kama za time, gravity au energy huenda kuna level zinakuwa ni kitu cha kawaida tu, ni kama vile kwenye Quantum level laws tunazozijua zinaanza kufanya kazi tofauti inakuwa kama vile miujiza vitu super position, entanglment ni kama vile vinakuwa tofauti na reality tuliyoizoea
 
Kwamba bila muda/time maisha hayana maana? refer old stone age..how it's possible?
Jaribu kufikiri ingewezekana vipi kuelezea miaka ya watu!? Mfano mimi nikuambie nilizaliwa wakati wa ile tsunami, na mwingine akuambie la kwake,...

Jaribu kufikiri kesho tutakuwa na mkutano na nataka saa sita kamili mkutano uanze, watu wangewezaje kukutana muda huo bila kupishana.!!? Mwingine anaweza sema tungetumia Jua kupima muda, je ingejuwa vipi kipindi cha mvua au mawingu yanayozuia kuona movement ya jua!?
 
“Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.” — Mwanzo 1:1
  • Mwanzo — Muda (Time)
  • Mbingu — Nafasi (Space)
  • Nchi — Maada (Matter)
Kwa maneno machache, mstari huu unaonyesha mwanzo wa vipengele vitatu vya msingi vya ulimwengu: muda, nafasi na maada. Vipengele hivi vinategemeana; maada haiwezi kuwepo bila nafasi, na matukio katika ulimwengu hayawezi kueleweka bila muda.

Kwa hiyo, Muumba wa muda, nafasi na maada hawezi kuwa amefungwa ndani ya vitu alivyoviumba. Ni lazima awe nje ya muda, asiyewekewa mipaka na nafasi, na asiyeumbwa kwa maada.

Hapo ndipo tunapomwona Mungu kama Muumba wa vyote, lakini Yeye mwenyewe hakuumbwa (Uncreated creator, uncaused Causer etc).
Nilijaribu kuwaza Mungu alianzaje au kabla yake kulikuwa na nini, Aisee karibu niingie uchizi. Kweli kabisa usijaribu kumchunguza Mungu. Utapasuka kichwa.
 
Umejuaje Mungu yupo
 
Back
Top Bottom