Ukiona kitu kinakosa maelezo jua kuna kitu kimemiss!, there's some kinds of laws we don't know.. especially in how universe operates!. Kuna logics zinakuwa zinadunda kutupa majibu maana kuna vitu hatuvijui bado!. We are so primitive..😅Mi naona Muda ulikuwepo tu hauna mwanzo na utakuwepo tu hauna mwisho maana kama kuna mwanzo wa muda kuna kipindi hakukua na muda wala space na sidhani kama inawezekana kuwepo bila space, hivyo muda kuanzia kwenye big bang itakuwa kwenye ulimwengu wetu na naamini ulimwengu zipo nyingi mno
Hakika, concept kama za time, gravity au energy huenda kuna level zinakuwa ni kitu cha kawaida tu, ni kama vile kwenye Quantum level laws tunazozijua zinaanza kufanya kazi tofauti inakuwa kama vile miujiza vitu super position, entanglment ni kama vile vinakuwa tofauti na reality tuliyoizoeaUkiona kitu kinakosa maelezo jua kuna kitu kimemiss!, there's some kinds of laws we don't know.. especially in how universe operates!. Kuna logics zinakuwa zinadunda kutupa majibu maana kuna vitu hatuvijui bado!. We are so primitive..😅
Ulichokiandika tukikipima tutabanana mlangoni kama mi nyumbu iliyoghafirika!.. i hope kuna kanuni za ulimwengu ambazo bado hatujazijua na usikute tunaishi nazo yani zipo dhahiri ila ufahamu wetu ni kama haujazitambua bado!, kwani ufahamu wetu mara nyingi unaongozwa na yale tunayoyajua kuliko kutoka na majibu tusiyoyajua!..
Mfano unaweza kukuta swali la "kwanini..?" Kwenye ulimwengu tunakosea kujiuliza ama ni logic isiyonakazi kwenye kila kitu isipokuwa baadhi ya vitu tu!. Nini kama kuuliza "kwanini kuna muda.?" Kwenye ulimwengu sio swali sahihi..?...😅
Hakuna jibuSeen
Jaribu kufikiri ingewezekana vipi kuelezea miaka ya watu!? Mfano mimi nikuambie nilizaliwa wakati wa ile tsunami, na mwingine akuambie la kwake,...Kwamba bila muda/time maisha hayana maana? refer old stone age..how it's possible?
Nilijaribu kuwaza Mungu alianzaje au kabla yake kulikuwa na nini, Aisee karibu niingie uchizi. Kweli kabisa usijaribu kumchunguza Mungu. Utapasuka kichwa.“Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.” — Mwanzo 1:1
Kwa maneno machache, mstari huu unaonyesha mwanzo wa vipengele vitatu vya msingi vya ulimwengu: muda, nafasi na maada. Vipengele hivi vinategemeana; maada haiwezi kuwepo bila nafasi, na matukio katika ulimwengu hayawezi kueleweka bila muda.
- Mwanzo — Muda (Time)
- Mbingu — Nafasi (Space)
- Nchi — Maada (Matter)
Kwa hiyo, Muumba wa muda, nafasi na maada hawezi kuwa amefungwa ndani ya vitu alivyoviumba. Ni lazima awe nje ya muda, asiyewekewa mipaka na nafasi, na asiyeumbwa kwa maada.
Hapo ndipo tunapomwona Mungu kama Muumba wa vyote, lakini Yeye mwenyewe hakuumbwa (Uncreated creator, uncaused Causer etc).
Umejuaje Mungu yupoNilijaribu kuwaza Mungu alianzaje au kabla yake kulikuwa na nini, Aisee karibu niingie uchizi. Kweli kabisa usijaribu kumchunguza Mungu. Utapasuka kichwa.
Tusilazimishane kufanana, au sio!?Kila mtu aishi kivyake
Nimeaminishwa kuwa yupo na nikaamini. Wewe unaamini uwepo wake!?Umejuaje Mungu yupo
SeenNimeaminishwa kuwa yupo na nikaamini. Wewe unaamini uwepo wake!?
😅 🔥Enjoy kila moment kwenye haya maisha, usiteseke kufikiria vitu ambavyo hako kakichwa chako chenye KB 2 katafuka moshi
Mifano mizuri ni:Naona Wakati upo ( time) upo tu akilini mwetu wanadamu, tukifutika na hiyo dhana itatoweka
Yeah mno mzuri sanaMifano mizuri ni:
1) Ukilala usingizi mzito usio na njozi, hata kama siku mbili, unapoamka unahisi muda haujapita.
2) Unaweza kulala nusu saa tu na ukaota njozi inayobeba miaka!
hapo kulazimisha tufanane wote ndo tunafeliTusilazimishane kufanana, au sio!?