Je, wakati umefika wa Misikiti kugeuzwa Sunday-school na Gwajima?

Na yule Gwajima aliyekuwa anachochea ukabila na kuwataka Wasukuma kuanzisha vikundi ni Gwajima wa kipindi kipi?!
 
mwenye ile clip pendwa ya Gwajiboy aitupie

hata picha tu
 
Shetani hajawahi kubadilika tangu alaaniwe na Allah pale alipokataa kumsujudia Adam. Gwajima atabaki shetani tu. Na ukweli Waislamu wa Kawe jitambue. Huyo ni Shetani kweli
 
Wote nyie ni wale wale! Mnataka kura za Waislam kwa maslahi yenu. Waislam sio kondoo wanajitambua!
Baadhi hawajitambui kama wale bakwata waliounga juhudi juzi badala ya kuwapigania mashehe waliyowekwa ndani Wenda weka sifa za kijinga zisizo symtahiki
 
Shetani hajawahi kubadilika tangu alaaniwe na Allah pale alipokataa kumsujudia Adam. Gwajima atabaki shetani tu. Na ukweli Waislamu wa Kawe jitambue. Huyo ni Shetani kweli
Mkuu, siku ukimwona shetani utabaki mzima kweli 😄

Najua unahasira naye Gwaji, lakini si Kwa kiwango cha kumwita yeye ati ni shetani, hembu fikiria kidogo

Atokee tu mtu akuite wewe ni shetani kisa tu ulianguka kwenye dhambi ya kuchepuka, japo kuchepuka Kwa misingi ya mafundisho ya dini ni dhambi, lakini sio kigezo cha mtu akuite wewe ni shetani

Kwanza hutomwelewa, amekusema Sana ataishia kusema, shetani alikutumia ufanye vilivyo kinyume na Mungu

Kwa hiyo, GWAJIMA na yeyote mtenda dhambi sio shetani buana, ila shetani ndio anawatumia
 
Mmeanza kumchapa mwanaccm mwenzenu. Sijui kama atachomoka.
 
Mchungaji wa Mungu hawezi kuunga mkono ufisadi na hasidi za CCM. Never. Tutawapima kwa matendo na tabia zao. Mchungaji yeyote mtumishi wa Mungu kamwe hawezi kuwa upande wa watesaji na wauaji.
 
Mimi nafikiria wewe unasukumwa zaidi na hofu ya kupoteza maslahi yako binafsi. Iwe kwa chama chako cha siasa au famlia yako au za marafiki zako.

Nimesoma Madai yako, nasikitika kukuambia wazi madai yako hayana msingi wowote. Hata ukitumia Common sense, Gwajiboy anawezaje kugeuza misikiti kua sunday school? Utaona unachofikiri ni kitu hakina mashiko.

Swali la pili lililo nje ya haya. Tangu umemfahamu Gwajima, ni kauli ngapi za Gwajima amewahi kutamka akazisimamia kwa uaminifu wake?.

Udini umetumika tu hapa kama pretext lakini Wewe unasababu zako nyingine za kumkataa Gwajima ambazo haujaziweka hapa. Umeona ukiziweka hapa hazitapata mashiko, ukaona labda hizi za udini zitasaidia kumchafua. Nice try.

Na nikuthibitishie wako waislamu watakaosoma ulichoandika hapa na bado wakampigia Kura, kwasababu hoja zako hazina akili.
Usije ukajidanganya kua kila mtu anawaza UDini tu kila wakati. Na hili limekua tatizo nyie watu wa Dini mnataka kumuaminisha kila mtu. Na huku mkijiona ndio wenye Nguvu ya kufanya maamuzi.
 
Gwajima akimalizana na Masheikh aende kwa Wakatoliki, aeleze kwanini alimsema Kadinali Pengo amekula maharage? hii kauli ilikuwa ya kumdhalilisha mtu binafsi, na taasisi anayoiongoza.
Kuhusu kumshambulia Kardinali pale Gwajina nampa bigup Pengo ni mtu wa hovyo sana.
 
Gwaji boy, sasa kanisa lake itakuaje kama akiingia mjengoni?
 
Gwajima hachomoki pale.
 
Usiwe mpumbavu kama wapumbavu wenzako. Nani anaruhusu kutukanwa katika dini yake. Huyu shetani Gwajima alishatamka wazi atageuza madrasa na misikiti kuwa sunday schools kwa ajili ya watoto wa Kikristo. Are you stupid are you dull are you nincompoop?? Let Gwajima stand before Muslims to refute what he wa advocating. Otherwise Muslims should vote him out
 
Mimi ni CCM lakini kwa kauli hii ya gwajima ni ya kuwagawa watu kwa misingi ya dini.
 
Huyo Askofu tapeli mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
CCM Wamempora tiketi kijana aliyeshinda kihalali wamempa mtumishi mwenye makando kando.
Tanzania ya leo haitaki mwanasiasa anayewabagua watanzania kidini, kabila na kikanda.
Kauli alizotoa Gwajima mwaka 2015 ni nzito, wana Kawe msikubali kuongozwa na mtu mdini na mkabila
 
Wote nyie ni wale wale! Mnataka kura za Waislam kwa maslahi yenu. Waislam sio kondoo wanajitambua!
Kwani nani amesema Waislam hawajitambui? Kilichoelezwa hapa ni nia ovu ya Gwajima kwa Uislam na Waislam na si zaidi ya hapo. Wewe ni mccm na chama lenu ndiyo linawachukulia Waislam poa kwa kuitumia Bakwata.
 
wewe ndugu ni mpumbavu tu kama walivyo wapumbavu wengine jana lilipotajwa jina la gwajima tu ukaandika unafanya kampeni mtu kwa mtu ili tu asipite kisa mkristo sasa amini usiamini huyo ndiyo mbunge wenu
Sasa mkuu unaposema kisa mkristo, Je halima ni Muislam?. Nikujuze pia halima nimkristo pia lkn wanakawe hatuko tayari kuongozwa na mbaguzi wa dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…