Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Ahsante Kwa kunijuza maanake awaonekani kabisa, kama mmoja alikuwa na kikwete bonge hivi sijawahi kumuona tena, ina maana ni sheria waingie chimbo ama.
anaitwa balozi maharage yupo alikua mtu wa protocol
 
Hapa ndipo wengi tunapafurahia, "wengine waje huku mtaani tujumuike kwenye kujiajiri"

Tunatamani wengine waumie ili tufurahi, dude fanya kazi...
Kujiajiri ni kuumia?
 
Acha Uwongo Ndugu Mama ambaye Kimaadili sitomtaja Jina lake japo initials zake ni LM ( unayemzungumzia hapa ) hakuwa Commando ( Kikosi Maalum ) kama ujuavyo au mjuavyo ila alikuwa ameiva tu Mafunzo ya VIP Protection chini cha PSU ndani ya TISS.

Sina ubishi inaelekea unajua zaidi; huyo mama mpelekeni kwa mama Samia, ITAPENDEZA!
 
TISS jeshini wanafanyaje ? Jeshini wana MI .
 
Reactions: 7ve
Kwa taarufa yako Jeshi lina jitosheleza kila idara. Veting tiss hufanya kwenye mambo ya kiraia na sio jeshini. Jeshi lina mfumo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…