Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona haina uhusiano na uzi
anaitwa balozi maharage yupo alikua mtu wa protocolAhsante Kwa kunijuza maanake awaonekani kabisa, kama mmoja alikuwa na kikwete bonge hivi sijawahi kumuona tena, ina maana ni sheria waingie chimbo ama.
Kujiajiri ni kuumia?Hapa ndipo wengi tunapafurahia, "wengine waje huku mtaani tujumuike kwenye kujiajiri"
Tunatamani wengine waumie ili tufurahi, dude fanya kazi...
Makini sana✊anaitwa balozi maharage yupo alikua mtu wa protocol
Mkuu brigedia gen si ndio anaongoza brigade?Alivyotoka kukagua gwaride akatoka na ADC mpya nyuma yake ni kanali wanawake mpka brigedia gen wapo
Nn maana ya PSU mkuuKweli kuna mijitu mipuuzi sana, hivi mnadhani PSU ni kikos cha mabaunsa wa Buguruni au Mtogole waliokuja from no where?
Si ndie waziri wa afya sasa hivi
Acha Uwongo Ndugu Mama ambaye Kimaadili sitomtaja Jina lake japo initials zake ni LM ( unayemzungumzia hapa ) hakuwa Commando ( Kikosi Maalum ) kama ujuavyo au mjuavyo ila alikuwa ameiva tu Mafunzo ya VIP Protection chini cha PSU ndani ya TISS.
Huyo PSU na ndio alikwa head wa Security Detail...Hapo hakuna mlinzi. Ni mpambe na PA
Mke wake mzuri, namuelewa kishenzi 😋Mke wake ni Mkuu wa Wilaya kigamboni, hawawezi kufa njaa hata akiludishwa PSU
Mtu yeyote anaweza kuwa TISS ila sio kila mtu anaweza kuwa mjeshi ( JWtz)Wanao wachukuwa JWTZ ni wale wenye mafunzo ya kikomando na walengaji ni kama pia wanaochukuliwa kutoka idara mbalimbali. TISS ndo baba wa kila kitu hata viongozi hiyo JWTZ na vyombo vingine lazima wawe wana TISS.
Jamaa chenga kweli 😀😀KWA HIYO JWTZ IPO CHINI YA TISS 😳😳😳😳😳😳😳 NGOJA NIISHIE HAPA
TISS jeshini wanafanyaje ? Jeshini wana MI .Inawezekana ikawa kweli na naweza nikakubaliana na wewe, TISS ni kila kitu na hawa wanajua vini kuliko wengine, mana kila kona wapo jeshini, polisi, manesi, madaktari, madereva daladala, wauza kahawa nk, ivo kuna vitu TISS wanajua kabla hata ya jeshi. Sijui ni fikira zangu tu na maono yangu, naweza kosorolewa ama rekebishwa nilipokosea
Kwa taarufa yako Jeshi lina jitosheleza kila idara. Veting tiss hufanya kwenye mambo ya kiraia na sio jeshini. Jeshi lina mfumo wakeNadhani hivi viteng vinategemeana kabisa ktk utendaji, TISS ina idara kama sikosei linapokuja swala la ugonjwa lzm kuna idara ya wabobezi ambao ndo madaktari, swala ua ulinzi na kadharika lzm JWTZ, Polisi, Magereza, Uhamiaji nk wahusishwe, kuna mainforma hapa sasa ndo kuna kina kadharika, madereva, bodaboda, wavuta bangi, walevi nk. TISS wapo mpaka jeshini bila wao kujua sasa sijui mkbwa nani naomba kujuzwa hapo tafadhali
Mabeyo hajawahi kuwq TISS. Jeshini alishawahi kuwa mkuu wa MI. Inshort hawezi toka mtu TISS akawe CDF, ila inawezena Brigedia General kwenda kuwa DIG TISS ndio utaelewa nani babaMkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ni mmoja tu kama sikosei mkuu.
Huyo PSU na ndio alikwa head wa Security Detail...
Kangalie Kwa jirani nako umeme umekatika😂😂😂😂 Watanzania tunapenda wote tuwe tunateseka kwa style moja inayofanana