Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Ahsante Kwa kunijuza maanake awaonekani kabisa, kama mmoja alikuwa na kikwete bonge hivi sijawahi kumuona tena, ina maana ni sheria waingie chimbo ama.
anaitwa balozi maharage yupo alikua mtu wa protocol
 
Hapa ndipo wengi tunapafurahia, "wengine waje huku mtaani tujumuike kwenye kujiajiri"

Tunatamani wengine waumie ili tufurahi, dude fanya kazi...
Kujiajiri ni kuumia?
 
Acha Uwongo Ndugu Mama ambaye Kimaadili sitomtaja Jina lake japo initials zake ni LM ( unayemzungumzia hapa ) hakuwa Commando ( Kikosi Maalum ) kama ujuavyo au mjuavyo ila alikuwa ameiva tu Mafunzo ya VIP Protection chini cha PSU ndani ya TISS.

Sina ubishi inaelekea unajua zaidi; huyo mama mpelekeni kwa mama Samia, ITAPENDEZA!
 
Inawezekana ikawa kweli na naweza nikakubaliana na wewe, TISS ni kila kitu na hawa wanajua vini kuliko wengine, mana kila kona wapo jeshini, polisi, manesi, madaktari, madereva daladala, wauza kahawa nk, ivo kuna vitu TISS wanajua kabla hata ya jeshi. Sijui ni fikira zangu tu na maono yangu, naweza kosorolewa ama rekebishwa nilipokosea
TISS jeshini wanafanyaje ? Jeshini wana MI .
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Nadhani hivi viteng vinategemeana kabisa ktk utendaji, TISS ina idara kama sikosei linapokuja swala la ugonjwa lzm kuna idara ya wabobezi ambao ndo madaktari, swala ua ulinzi na kadharika lzm JWTZ, Polisi, Magereza, Uhamiaji nk wahusishwe, kuna mainforma hapa sasa ndo kuna kina kadharika, madereva, bodaboda, wavuta bangi, walevi nk. TISS wapo mpaka jeshini bila wao kujua sasa sijui mkbwa nani naomba kujuzwa hapo tafadhali
Kwa taarufa yako Jeshi lina jitosheleza kila idara. Veting tiss hufanya kwenye mambo ya kiraia na sio jeshini. Jeshi lina mfumo wake
 
Back
Top Bottom