Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ndio niliwahi kumuona Mikocheni kwa macheniUlishawai muona live anapigana
Mwambieni rais wenu avae barakoaNaskia na uyo komandoo nae kadepa so hawawezi kuhamia anaitwa somebody KALOLIView attachment 1729572
Nakubari maana kule tweeter yule mlinzi wa The late anaitwa kaloli kumbe ni komandoo yule black iviAcha Uwongo hakuna Mtu wa PSU ambaye hakutokea JWTZ. au hujui kuwa PSU na TISS yao wapo chini ya JWTZ Kiutendaji na Kiitifaki?
Siku Nne ( 4 ) tu zilizopita Mtu Mmoja wa Kitengo alinidokeza kuwa huyu Alifariki ( Amefariki ) Corona tena akiwa Nairobi nchini Kenya nikawa bado mgumu Kuamini ila muda si mrefu nimehakiki mahala na Kuamini kuwa huyu Frank ( Pichani ) hatunaye tena duniani na kwamba alishazikwa Siku nyingi Kwao Mkoani Rukwa ( kama sijakosea )
Kamanda usibishe 78 Asilimia ya PSU ni komandooUsiwadanganye watu,PSU na JWTZ wapi na wapi? Waambie kuwa trainers wao wengine wanatoka JWTZ
Kwaiyo Mkuu wa majeshi ni TISSWanao wachukuwa JWTZ ni wale wenye mafunzo ya kikomando na walengaji ni kama pia wanaochukuliwa kutoka idara mbalimbali. TISS ndo baba wa kila kitu hata viongozi hiyo JWTZ na vyombo vingine lazima wawe wana TISS.
Mkuu brigedia gen si ndio anaongoza brigade?
Hivi tuna brigade ngap?
Yale maugoro? Yanakalishwa vizuri tu. Acheni kutisha watu nyie. Acheni kuwapa sifa ambazo hawana. Wale wanachezea vizuri tu. Bora uongee wale wanajeshi. Wale ndio hasa walinzi. Hao psu matinginya. Koma kutisha watu.
Kuna Mmoja najua anavyopenda kula na kufakamia hovyo Mivyakula hadi Kunenepeana kama SIMTANK nitakutana nae tu Viwanja vyake Victoria, Mikocheni A na baa jirani na Beach Kidimbwi Mbezi Beach.
Walinzi wa Rais ni walewale. Wanafundishwa TISS.na wengi wao ni mafisadi wa JWTZ.Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao.
Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao anayepanda Ngazi nao Kunenepeana kwa kula Kuku na Mibufee ya maana tu.
Binafsi nitammisi sana tu yule Bonge.
Ni kweli huyo Wilfred Mwango ( wengi tumekosea kumuita Frank ) ameshafariki na Kuzikwa Wiki Moja iliyopita. Wa ndani huko Kanihakikishia na sasa nimeamini kuwa hata Boss wake Marehemu ( Hayati ) kumbe nae Corona ndiyo ime.fyeka na siyo huo Moyo na Betri yake aliyokuwa nayo.Mbona wanasema nae kaungana na Boss wake huko kwa Mawingu
Pale central police alikuwa sergeant kama sikoseiNa alikuwa penetrated pale Mwanza Police.
Daah! Kumbe bodyguard bonge nae amedead [emoji17], nilikua siamini ila kwakuwa umethibitisha basi sina budi kuamini maana taarifa zako sinaga mashaka nazoSiku Nne ( 4 ) tu zilizopita Mtu Mmoja wa Kitengo alinidokeza kuwa huyu Alifariki ( Amefariki ) Corona tena akiwa Nairobi nchini Kenya nikawa bado mgumu Kuamini ila muda si mrefu nimehakiki mahala na Kuamini kuwa huyu Frank ( Pichani ) hatunaye tena duniani na kwamba alishazikwa Siku nyingi Kwao Mkoani Rukwa ( kama sijakosea )
R.I.P Frank ila Kifo chako kilichotokana na Corona kimenifanya sasa niamini kuwa hata Kifo cha Bosi wako uliyekuwa Ukimlinda na aliyekuwa akikuamini mno na Kukupenda sana kimetokana na Corona na hiyo Moyo ni Kutuzuga tu. Jamani tafadhali naomba tuvae Barakoa na tujilinde zaidi kwani Corona ipo. Na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Wewe vaa Barakoa tafadhali kwani hatutaki mfululizo wa Misiba kwa sasa Tanzania.
Ameshafariki Ndugu na Kuzikwa few days ago.yule bonge hata miye nitammis kishezi!
labda sasa hv nitaweza kuiweka picha yake kama profile pic,maana kuna kipindi niliiweka humu mods wakainyofolewa mbali!
Wewe ni mzima wa akili lakini. NAHISI WW NI YULE JAMAA AJULIKANAYE KAMA POPOMA.Unauliza Mavuzi sehemu za Siri Ndugu?
Ni kweli ameshafariki na Kuzikwa Kitambo tu. Uko sahihi haitwi Frank kama nilivyoancika Kimakosa bali anaitwa Wilfred Mwango. Nimesikitika na kumbe ni Corona imemfyeka hivyo nakubaliana sasa na BBC pamoja na Al Jazeera hadi Ntv Kenya kuwa Marehemu ( Hayati ) Wetu kaondoka na Corona na hiyo ya Moyo ni kutaka tu Kutokukiri Kimataifa kuwa Tanzania Covid-19 haipo kama tulivyoaminishwa na iliyemfyeka.Daah! Kumbe bodyguard bonge nae amedead [emoji17], nilikua siamini ila kwakuwa bwana mkubwa umethibitisha basi sina budi kuamini maana taarifa zako sinaga mashaka nazo
Hivi jina lake ni frank au wilfred?
Nifundishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] are you really serious Chief!
Una mengi ya kujifunza wallaih!
Mengi mno!!!
[emoji1787][emoji1787]haki you really made me crack!
Komando Jide 😂Komandoo wa kike duniani ni Ladyjayee tu.
Ko Kuna brigade Ipo chini ya mwanamke?
- 5 × infantry brigade
- 1 × tank brigade
- 3 × artillery battalion
- 2 × air defence artillery battalion
- 1 × mortar battalion
- 2 × anti-tank battalion
- Ila hii ni ya kitambo kidogo
Sijaona Brigade iliyo chini ya mwanamke. Mabrihedia wengi wanawake wanakuwaga pale MMJ tu kama wakurugenzi wa vitengoKo Kuna brigade Ipo chini ya mwanamke?