Sijui unapata faida gani kwa uongo wa namna hii jamaaa kwao ni mtwara tena ni mmwera sasa huko Rukwa sijui kwa naniKwahiyo aliyefariki basi atakuwa anaitwa Frank Kaloli ( ambaye hata hapa yupo Pichani na ndiyo anayejadiliwa sana kwa Kunenepa Kwake kulikotoka na Kujiachia kwa Kuridhika ) na yawezekana siyo huyo ( huyu ) Wilfred Mwango wako Ndugu? Na nimeambiwa alizikiwa Kwao Rukwa kama aliyenitonya hakukosea au sikumsikia vibaya.
Unateseka na nini Wewe Juha mkubwa?Napataga tabu sana kwa mtu kudanganya tena ukiangalia hakuna faida yeyote anayopata
Just know that Frank Kaloli is no more.Sijui unapata faida gani kwa uongo wa namna hii jamaaa kwao ni mtwara tena ni mmwera sasa huko Rukwa sijui kwa nani
Kafa liniJust know that Frank Kaloli is no more.
Nenda pale PSU Makumbusho ukaulize.Kafa lini
[emoji1]Mimi nitamkumbuka yule askari polisi aliyeua nyoka iringa wakati waziri mkuu akiwa ziara iringa[emoji1602][emoji1602]
Tatizo we unachanganya..Frank Kaloli ni mwingine na Wilfred ni mwingine.Muulize informer wako akupe taarifa vizuri yupi amefariki.Just know that Frank Kaloli is no more.
Anyways awe Kafariki Yeye au huyo Mwingine au wasiotajwa ( na kama akina Wilfred Mwango na Frank Kaloli wako Hai nawaomba sana Radhi kwa Kukosea na kwa wale wote waliopatwa na Usumbufu na Taarifa ) lakini imeshajulikana kuwa kuna Mmoja wa Walinzi ( PSU ) tena wa karibu kabisa wa Marehemu Amefariki ( Amekufa ) na ameshazikwa pia. Na Umauti ulimkutia huko Nairobi nchini Kenya tena kwa Corona hivyo kama mnaficha / inafichwa mtajua ( mtajijua ) Wenyewe.Tatizo we unachanganya..Frank Kaloli ni mwingine na Wilfred ni mwingine.Muulize informer wako akupe taarifa vizuri yupi amefariki.
Frank Frank kaloli ni huyo mwenye salama nyekundu
Nadhani umeshapata majibu.Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao.
Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao anayepanda Ngazi nao Kunenepeana kwa kula Kuku na Mibufee ya maana tu.
Binafsi nitammisi sana tu yule Bonge.
Swadakta.Nadhani umeshapata majibu.
Cc: Mahandazi
Sio kweli, acha ungeseBruce Lee alikuwa mkali kwenye movie tu, kwenye uhalisia alikuwa mweupe kama pamba.
Achana na mataga lazima aharee tu mfyuuu[emoji57][emoji57]Ulishawai muona live anapigana
Hapa nakaziaHuwezi kuwa komando milele ukiendekeza supu na chapati
Acha kupoteza watu bwana, kamanda na komando ni vitu viwili tofauti na wanawake hawawezi kuwa makomando... angalia tu kwenye kupiga TNT kama akibahatika kuwepo utaona anableed na kuvurugwa kabisa mfumo wao wa damu ya mwezi sasa huyu ndo umpeleke komando kweli atamuduUnfortunately there are people who believe and trust you!
Kejeli zako haziondoi ukweli kwamba the World has Women commanders/ (commandos)!!!
Sinse the sweet ugly old days!
BASI TUFANYEN KWA MAMA NTWARA ,KWA BABA RUKWA ILI YAISHE.. 🙃Sijui unapata faida gani kwa uongo wa namna hii jamaaa kwao ni mtwara tena ni mmwera sasa huko Rukwa sijui kwa nani
mhh.!😉Hapa nakazia
da ila jamaa ni true soldier amekufa akimlinda bosi wake kama kiapo chake kilivyomtakaNi kweli ameshafariki na Kuzikwa Kitambo tu. Uko sahihi haitwi Frank kama nilivyoancika Kimakosa bali anaitwa Wilfred Mwango. Nimesikitika na kumbe ni Corona imemfyeka hivyo nakubaliana sasa na BBC pamoja na Al Jazeera hadi Ntv Kenya kuwa Marehemu ( Hayati ) Wetu kaondoka na Corona na hiyo ya Moyo ni kutaka tu Kutokukiri Kimataifa kuwa Tanzania Covid-19 haipo kama tulivyoaminishwa na iliyemfyeka.
Juzi nilikuwa kwao mtwara kwenye ule msiba wa Mama yake Edo Kumwembe na nilipata bahati ya kwenda kumjulia hali yule mama yake pale mtaa wa LIGULA karibu na msikiti wa KIYANGU. hakukuwa na dalili zozote za msiba na mama alikuwa mwenye furaha kuniona maana nilipata kusoma nae yule jamaa.Hajafa huyo jamaa namuona hapa kanisani
Hajafa yupo hapa kanisani angalia kwenye tv unaweza kumuonada ila jamaa ni true soldier amekufa akimlinda bosi wake kama kiapo chake kilivyomtaka