Ni kweli yupo hai mm nipo hapa kanisani na nimemuona wakati wanaingia na mwili wa marehemuJuzi nilikuwa kwao mtwara kwenye ule msiba wa Mama yake Edo Kumwembe na nilipata bahati ya kwenda kumjulia hali yule mama yake pale mtaa wa LIGULA karibu na msikiti wa KIYANGU. hakukuwa na dalili zozote za msiba na mama alikuwa mwenye furaha kuniona maana nilipata kusoma nae yule jamaa.
Ww ni fala.....Ni kweli ameshafariki na Kuzikwa Kitambo tu. Uko sahihi haitwi Frank kama nilivyoancika Kimakosa bali anaitwa Wilfred Mwango. Nimesikitika na kumbe ni Corona imemfyeka hivyo nakubaliana sasa na BBC pamoja na Al Jazeera hadi Ntv Kenya kuwa Marehemu ( Hayati ) Wetu kaondoka na Corona na hiyo ya Moyo ni kutaka tu Kutokukiri Kimataifa kuwa Tanzania Covid-19 haipo kama tulivyoaminishwa na iliyemfyeka.
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.Hajafa huyo jamaa namuona hapa kanisani
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.Juzi nilikuwa kwao mtwara kwenye ule msiba wa Mama yake Edo Kumwembe na nilipata bahati ya kwenda kumjulia hali yule mama yake pale mtaa wa LIGULA karibu na msikiti wa KIYANGU. hakukuwa na dalili zozote za msiba na mama alikuwa mwenye furaha kuniona maana nilipata kusoma nae yule jamaa.
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.Hajafa yupo hapa kanisani angalia kwenye tv unaweza kumuona
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.Ni kweli yupo hai mm nipo hapa kanisani na nimemuona wakati wanaingia na mwili wa marehemu
Kuna siku nilikuwa na wife nikakutana na Comando mmoja ambaye ni mshkaji wangu niliwahi soma nae miaka hiyoAcha kupoteza watu bwana, kamanda na komando ni vitu viwili tofauti na wanawake hawawezi kuwa makomando... angalia tu kwenye kupiga TNT kama akibahatika kuwepo utaona anableed na kuvurugwa kabisa mfumo wao wa damu ya mwezi sasa huyu ndo umpeleke komando kweli atamudu
Kuhusu huyo jamaa anayekushambulia na yeye ndo walewale tu kwani siyo tu vijembe na kejeli bali ana matusi haswa kwa mtu aliyemkosoa au mtu aliyeandika kinyume na ajuavyo yeye... mpaka huwa najiaminisha huyo atakuwa ni yule aliyekuwa akijulikana kama Gentamycine
Hii njemba ipo Gado, mapema leo Asubuhi nimemuona tena kakaa mbele kanisaniNaskia na uyo komandoo nae kadepa so hawawezi kuhamia anaitwa somebody KALOLIView attachment 1729572
Dah! Sijui watu wanapata faida gani kuzushia wengine kifo!Kuna mtu kapiga picha katuma kwenye group langu la WhatsApp nao walisema amekufa huyo hapoView attachment 1729849
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.Hii njemba ipo Gado, mapema leo Asubuhi nimemuona tena kakaa mbele kanisani
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.Dah! Sijui watu wanapata faida gani kuzushia wengine kifo!
Nimeshalisema na Kulisisitiza hili hapa ila bado nikabishiwa tu hivyo labda Wewe kwa huu Ufafanuzi wako sasa watakuelewa Ndugu.Kuna siku nilikuwa na wife nikakutana na Comando mmoja ambaye ni mshkaji wangu niliwahi soma nae miaka hiyo
Nikamtambulisha kuwa huyu ni comnando
Wife akamtania akamwambia vipi na yeye anaweza kuingia u commando??
Comando akasema ni haiwezekani na kwamba Duniani hakuna Comando mwanamke
Kwa maana Special forces
Na sababu ni maumbile yao hayaruhusu mazoezi ya commando
Kwamba yapo mafunzo ambayo yakifanyika mwanamke anaingia kwenye siku zake automatically so ni ngumu sana kwa wanawake
Na hata Duniani huwezi kuta Navy Seals, Great barrett, Spetsnaz mwanamke
ILA kinachofanyika kwa wanawake ni hupitia mafunzo ya kawaida tu ya kijeshi etc ila sio mafunzo ambayo wanapitia ni ya kikomando
So mtu akikwambia kuna mwanamke Comando ujue ni Fix ya kiwango cha juu
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.Ww ni fala.....View attachment 1729853
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.Mnaosema mlinzi wa Rais amefariki kwa taarifa yenu Yupo Msibani
Unajua humu kuna chai sana sometimes ile credibility ya JF imeshuka sana..
Matajiri kuishi kama nini vile !!??Unaonekana ni mtu unaetamani kila mtu aishi kwa shida. Hiyo ni roho ya kichawi
Nimeon kigogo kakausha anasema mwanangu kaloli yupo fitHii njemba ipo Gado, mapema leo Asubuhi nimemuona tena kakaa mbele kanisani
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.Nimeon kigogo kakausha anasema mwanangu kaloli yupo fit
Wachawi haoDah! Sijui watu wanapata faida gani kuzushia wengine kifo!