Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Juzi nilikuwa kwao mtwara kwenye ule msiba wa Mama yake Edo Kumwembe na nilipata bahati ya kwenda kumjulia hali yule mama yake pale mtaa wa LIGULA karibu na msikiti wa KIYANGU. hakukuwa na dalili zozote za msiba na mama alikuwa mwenye furaha kuniona maana nilipata kusoma nae yule jamaa.
Ni kweli yupo hai mm nipo hapa kanisani na nimemuona wakati wanaingia na mwili wa marehemu
 
Mnaosema mlinzi wa Rais amefariki kwa taarifa yenu Yupo Msibani

Unajua humu kuna chai sana sometimes ile credibility ya JF imeshuka sana..
 
Ni kweli ameshafariki na Kuzikwa Kitambo tu. Uko sahihi haitwi Frank kama nilivyoancika Kimakosa bali anaitwa Wilfred Mwango. Nimesikitika na kumbe ni Corona imemfyeka hivyo nakubaliana sasa na BBC pamoja na Al Jazeera hadi Ntv Kenya kuwa Marehemu ( Hayati ) Wetu kaondoka na Corona na hiyo ya Moyo ni kutaka tu Kutokukiri Kimataifa kuwa Tanzania Covid-19 haipo kama tulivyoaminishwa na iliyemfyeka.
Ww ni fala.....
20210320_084633.jpg
 
Hajafa huyo jamaa namuona hapa kanisani
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Juzi nilikuwa kwao mtwara kwenye ule msiba wa Mama yake Edo Kumwembe na nilipata bahati ya kwenda kumjulia hali yule mama yake pale mtaa wa LIGULA karibu na msikiti wa KIYANGU. hakukuwa na dalili zozote za msiba na mama alikuwa mwenye furaha kuniona maana nilipata kusoma nae yule jamaa.
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Hajafa yupo hapa kanisani angalia kwenye tv unaweza kumuona
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Ni kweli yupo hai mm nipo hapa kanisani na nimemuona wakati wanaingia na mwili wa marehemu
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Tukiangalia muvi tunajifunza kuwa hao jamaa (mawakala wa usalama);

1.Wanaweza kufake kifo kumbe yu hai
2.Wanaweza kufake kuwapo kumbe alishakufa
3.Wanaweza kuangamizwa/ kuuawa kwajili ya usalama wa taifa

Kwahiyo wakisema Mshkaji kafa naamini na
Wakisema yupo hai naamini pia

Lengo la kufake ni kwamba wanakuwa na siri nyingi nzito za kiongozi/nchi kwahiyo huenda wabaya (pengine hata wazuri) wakaanza kumfuata fuata kufukunyua mambo kwahiyo ili asifuatiliwe tena ni kuaminisha watu kuwa kafa

Kuhusu hayo majina mnayopata nayo tabu hapa ni kawaida hao jamaa kuwa na (kufahamika kwa) majina mengi na hivyo kujua majina yao halisi labda wazazi na watu wake wa karibu
 
Acha kupoteza watu bwana, kamanda na komando ni vitu viwili tofauti na wanawake hawawezi kuwa makomando... angalia tu kwenye kupiga TNT kama akibahatika kuwepo utaona anableed na kuvurugwa kabisa mfumo wao wa damu ya mwezi sasa huyu ndo umpeleke komando kweli atamudu

Kuhusu huyo jamaa anayekushambulia na yeye ndo walewale tu kwani siyo tu vijembe na kejeli bali ana matusi haswa kwa mtu aliyemkosoa au mtu aliyeandika kinyume na ajuavyo yeye... mpaka huwa najiaminisha huyo atakuwa ni yule aliyekuwa akijulikana kama Gentamycine
Kuna siku nilikuwa na wife nikakutana na Comando mmoja ambaye ni mshkaji wangu niliwahi soma nae miaka hiyo

Nikamtambulisha kuwa huyu ni comnando

Wife akamtania akamwambia vipi na yeye anaweza kuingia u commando??

Comando akasema ni haiwezekani na kwamba Duniani hakuna Comando mwanamke

Kwa maana Special forces
Na sababu ni maumbile yao hayaruhusu mazoezi ya commando

Kwamba yapo mafunzo ambayo yakifanyika mwanamke anaingia kwenye siku zake automatically so ni ngumu sana kwa wanawake

Na hata Duniani huwezi kuta Navy Seals, Great barrett, Spetsnaz mwanamke

ILA kinachofanyika kwa wanawake ni hupitia mafunzo ya kawaida tu ya kijeshi etc ila sio mafunzo ambayo wanapitia ni ya kikomando

So mtu akikwambia kuna mwanamke Comando ujue ni Fix ya kiwango cha juu
 
Hii njemba ipo Gado, mapema leo Asubuhi nimemuona tena kakaa mbele kanisani
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Dah! Sijui watu wanapata faida gani kuzushia wengine kifo!
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Kuna siku nilikuwa na wife nikakutana na Comando mmoja ambaye ni mshkaji wangu niliwahi soma nae miaka hiyo

Nikamtambulisha kuwa huyu ni comnando

Wife akamtania akamwambia vipi na yeye anaweza kuingia u commando??

Comando akasema ni haiwezekani na kwamba Duniani hakuna Comando mwanamke

Kwa maana Special forces
Na sababu ni maumbile yao hayaruhusu mazoezi ya commando

Kwamba yapo mafunzo ambayo yakifanyika mwanamke anaingia kwenye siku zake automatically so ni ngumu sana kwa wanawake

Na hata Duniani huwezi kuta Navy Seals, Great barrett, Spetsnaz mwanamke

ILA kinachofanyika kwa wanawake ni hupitia mafunzo ya kawaida tu ya kijeshi etc ila sio mafunzo ambayo wanapitia ni ya kikomando

So mtu akikwambia kuna mwanamke Comando ujue ni Fix ya kiwango cha juu
Nimeshalisema na Kulisisitiza hili hapa ila bado nikabishiwa tu hivyo labda Wewe kwa huu Ufafanuzi wako sasa watakuelewa Ndugu.
 
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Mnaosema mlinzi wa Rais amefariki kwa taarifa yenu Yupo Msibani

Unajua humu kuna chai sana sometimes ile credibility ya JF imeshuka sana..
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Nimeon kigogo kakausha anasema mwanangu kaloli yupo fit

Back
Top Bottom