Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Kwanza Rais Hana Walinzi Bali Ana Wasaidizi na Wale Wasaidizi wake unaowaona ni watu wenye Taaluma Zao, Kuna wachumi, Kuna wanasheria, Kuna waandishi Wa Habari, Kuna wahasibu, Psu chini Ya Wambura iko Imara sana.
Hapa ndipo wengi tunapafurahia, "wengine waje huku mtaani tujumuike kwenye kujiajiri"

Tunatamani wengine waumie ili tufurahi, dude fanya kazi...
 
Wote hao mbele ya manati ya mzungu Wana smoke sulphur any minutes, na ku hit the ground, mzungu fundi.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Raisi mpya anakuja na safu mpya ya ulinzi.....tegemea sura mpya...
Tena nimedokezwa hivi sasa anakuja na best cream ya Vijana wa CDF Mabeyo kutoka pale Sangasanga ( Kizuka ) na Ngerengere Mkoani Morogoro ila wamepata Mafunzo ya kisasa kabisa kutoka nchi zilizoiva Kimedani na Kijasusi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…