Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Nitammisi huyu jamaa

1616091513394.png
 
Kwanza Rais Hana Walinzi Bali Ana Wasaidizi na Wale Wasaidizi wake unaowaona ni watu wenye Taaluma Zao, Kuna wachumi, Kuna wanasheria, Kuna waandishi Wa Habari, Kuna wahasibu, Psu chini Ya Wambura iko Imara sana.
Hapa ndipo wengi tunapafurahia, "wengine waje huku mtaani tujumuike kwenye kujiajiri"

Tunatamani wengine waumie ili tufurahi, dude fanya kazi...
 
Ana sifa zifuatazo:

1. Kunusa Hatari ( Machale )
2. Kujua Chakula chenye Sumu
3. Shabaha kwa umbali wowote
4. Karate Bruce Lee anasubiri
5. Ngumi za Kukudedisha kwa upesi
6. Ameiva kwa Pumzi na Mazoezi
7. Kama Cbatu akishiba lazima atasinzia

Kazi kweli kweli ila ana Maadili na Msiri.
Wote hao mbele ya manati ya mzungu Wana smoke sulphur any minutes, na ku hit the ground, mzungu fundi.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Raisi mpya anakuja na safu mpya ya ulinzi.....tegemea sura mpya...
Tena nimedokezwa hivi sasa anakuja na best cream ya Vijana wa CDF Mabeyo kutoka pale Sangasanga ( Kizuka ) na Ngerengere Mkoani Morogoro ila wamepata Mafunzo ya kisasa kabisa kutoka nchi zilizoiva Kimedani na Kijasusi pia.
 
Back
Top Bottom