Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Hapo hakuna mlinzi. Ni mpambe na PA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hakuna mlinzi. Ni mpambe na PA
Sidhani kama wanapoteza mkuu, Ila wengi wanatamani iwe hivyo ili mtaani tusote wote.kwani wanapoteza kazi moja kwa moja??
Hapa ndipo wengi tunapafurahia, "wengine waje huku mtaani tujumuike kwenye kujiajiri"
Tunatamani wengine waumie ili tufurahi, dude fanya kazi...
👊 👏 👏Frank Ana kazi yake na Ana Taaluma yake, utamuona Tu Mkuu
Wote hao mbele ya manati ya mzungu Wana smoke sulphur any minutes, na ku hit the ground, mzungu fundi.Ana sifa zifuatazo:
1. Kunusa Hatari ( Machale )
2. Kujua Chakula chenye Sumu
3. Shabaha kwa umbali wowote
4. Karate Bruce Lee anasubiri
5. Ngumi za Kukudedisha kwa upesi
6. Ameiva kwa Pumzi na Mazoezi
7. Kama Cbatu akishiba lazima atasinzia
Kazi kweli kweli ila ana Maadili na Msiri.
Mh
Yule mlinzi wa Samia ni wa kutoka usalama kwa kuwa mama yetu cheo kimepanda na anakuwa amiri jeshi mkuu lazima atakuwa na mpambe wa kutoka jeshini ila atakuwa wa kikeYule mpambe arudi kambini.
Samia ana mpambe wake wa Kike.
Wengine waje huku mtaani waje tujumuike kwenye kujiajiri!
Taaluma yake imebezi kwenye nini mkuuFrank Ana kazi yake na Ana Taaluma yake, utamuona Tu Mkuu
Bonge yupi huyo mkuuBinafsi nitammisi sana tu yule Bonge......ALAFU YULE BONGE NDO NUKSI MWENYEWE
[emoji28]Anapenda sana Kufinyafinya tumacho twake tule sijui ndiyo sehemu yake ya Ulinzi na Kumbaini Adui kwa haraka au hapana. Na akishiba akiwa zamu mara nyingi akikaa tu lazima asinzie na akishtuka ghafla hukakamaa kana kwamba hakusinzia vile.
[emoji3][emoji3]watu akili zimechoka kuwaza.Kweli kuna mijitu mipuuzi sana hivi mnadhani PSU ni kikos cha mabaunsa wa buguruni au mtogole waliokuja from no where?
Tena nimedokezwa hivi sasa anakuja na best cream ya Vijana wa CDF Mabeyo kutoka pale Sangasanga ( Kizuka ) na Ngerengere Mkoani Morogoro ila wamepata Mafunzo ya kisasa kabisa kutoka nchi zilizoiva Kimedani na Kijasusi pia.Raisi mpya anakuja na safu mpya ya ulinzi.....tegemea sura mpya...
Mnenepaji na Mpenda kula Nyama hovyo?
Hapana mfuatilie vizuriMnenepaji na Mpenda kula Nyama hovyo?
TissTaaluma yake imebezi kwenye nini mkuu
Hadi wanaokufa!?PSU wana majukumu mengi, na usifikirie kukutana nao vijiweni!