Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Mara nyingi hupelekwa kuwa RSO's au DSO's au Wakuu wa Idara au hata kuwa Wakufunzi au hutupwa pia kuwa tu Wasimamizi wa Ikulu ndogo za Mikoani na hukaa huko huko tu.
Kati ya vyote hivyo ulivyotaja wapi kuna unafuu maana yale maposho posho ya Per diem enzi za Hayati JPM sio ya mchezo 😌
 
Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Aliemsaidia sio huyo, ni yule anaemletea maji mara kwa mara akiwa jukwaani, usipike data
Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
 
Hizo bado ni opinion..
 
Unamaanisha Manjaro au.
 
Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Ongeza nyama mkuu tujifunze,alimsaidia wapi hayati?
 
Unamaanisha Jeshi lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…