Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
yani.😂😂😂😂 Watanzania tunapenda wote tuwe tunateseka kwa style moja inayofanana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani.😂😂😂😂 Watanzania tunapenda wote tuwe tunateseka kwa style moja inayofanana
Kwani huwa anawatoa wapi Mimi nafikili jeshini na baada ya hapo wanaludi jeshini au ikoje?Frank Ana kazi yake na Ana Taaluma yake, utamuona Tu Mkuu
Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Sio Ngerengere tena?Tena nimedokezwa hivi sasa anakuja na best cream ya Vijana wa CDF Mabeyo kutoka pale Sangasanga ( Kizuka ) Mkoani Morogoro ila wamepata Mafunzo ya kisasa kabisa kutoka nchi zilizoiva Kimedani na Kijasusi pia.
Kati ya vyote hivyo ulivyotaja wapi kuna unafuu maana yale maposho posho ya Per diem enzi za Hayati JPM sio ya mchezo 😌Mara nyingi hupelekwa kuwa RSO's au DSO's au Wakuu wa Idara au hata kuwa Wakufunzi au hutupwa pia kuwa tu Wasimamizi wa Ikulu ndogo za Mikoani na hukaa huko huko tu.
Aliemsaidia sio huyo, ni yule anaemletea maji mara kwa mara akiwa jukwaani, usipike dataHuyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Acha fix mkuu... ni kanali yuleMbona mpambe wa raisi wa zanzibari anacheo cha luteni kanal
Hizo bado ni opinion..Ana sifa zifuatazo:
1. Kunusa Hatari ( Machale )
2. Kujua Chakula chenye Sumu
3. Shabaha kwa umbali wowote
4. Karate Bruce Lee anasubiri
5. Ngumi za Kukudedisha kwa upesi
6. Ameiva kwa Pumzi na Mazoezi
7. Kama Chatu akishiba lazima atasinzia
Kazi kweli kweli ila ana Maadili na Msiri.
Unamaanisha Manjaro au.Hajapewa U DC ( Ukuu wa Wilaya kama usemavyo ) bali amekuwa ni DSO ( Afisa Usalama wa Wilaya ) katika Mkoa Mmoja wenye Watu wanaoipenda na kuijua Hela kuliko Watanzania wengine wote. Na ana Asili ya Uzanzibari ambapo hata Kitaaluma ni Msomi mzuri tu mwenye Masters Degree yake.
Wapi nmesema ivyo?Kwahiyo ulikuwa unataka ndani ya pale Ikulu ( sehemu Nyeti na Muhimu kuliko nyinginezo zote nchini ) 24/7 washike tu Manati na Mawe?
Mlikuwa nae wote Polisi??Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Ongeza nyama mkuu tujifunze,alimsaidia wapi hayati?Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Acha uongo wewe fala. NI TISS wa muda mrefu sana huyo.Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Umezungumza vyema Bro!Yule mpambe arudi kambini.
Samia ana mpambe wake wa Kike.
Wengine waje huku mtaani waje tujumuike kwenye kujiajiri!
Tupe yatokanayo chief,ilikuwaje hiyo siku? Magi alipatwa na nini?Aliemsaidia sio huyo, ni yule anaemletea maji mara kwa mara akiwa jukwaani, usipike data
Upo sahihi kabisa.Mara nyingi hupelekwa kuwa RSO's au DSO's au Wakuu wa Idara au hata kuwa Wakufunzi au hutupwa pia kuwa tu Wasimamizi wa Ikulu ndogo za Mikoani na hukaa huko huko tu.
Kweli kuna mijitu mipuuzi sana, hivi mnadhani PSU ni kikos cha mabaunsa wa Buguruni au Mtogole waliokuja from no where?
SijuiTupe yatokanayo chief,ilikuwaje hiyo siku? Magi alipatwa na nini?
Ni mtoto wa Mzena huyo, Mzena ndo mkurugenzi usalama wa Taifa wa kwanza baada ya uhuru.watu wanadai huyu jamaa ndio kigogo
Unamaanisha Jeshi lipi?Kaaeni kimya ,jeshi ni pana na ina majukumu kibao,na jeshi inaongozwa kwa sheria na utii.wanaomlinda rais anachaguliwa na wanaandaliwa kweli kweli, wako ndani ya jeshi na ni makamanda wenye ujuzi na mafunzo ya hali ya juu sana,narudia mafunzo ya hali ya juu sana na wako Smart kichwani na ni watu wa kusoma hatari na kujua na kuchukua tahadhari haraka sana.