Je, waliooana wanakula bata sana kuliko sisi tunaolala kama baiskeli imepaki? Uzoefu wenu tafadhali

Mzee we unawenge la ngono...ukilala mwenyewe kipindi Hiko mbona ndio Raha...na kabaridi unaenjoy shuka linakuwa limepoa hakuna joto...full burudani yani...Kula kiasi...haswa.matunda kunywa maji yako ...tazama move za kutisha haswa zombie's zile patwa usingizi nenda kalale...full burudani yani
 
Ooooh sawa mkuu AKILI TATU
 
Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
Wengine hawajui hata kulala.

Kuna videm vinajidai vitoto vya mjini ila usiku sasa vinalala kama kuku, badala ya ku-cuddle inakua fujo tu yan
 
Back
Top Bottom