Je, waliooana wanakula bata sana kuliko sisi tunaolala kama baiskeli imepaki? Uzoefu wenu tafadhali

Kwamba hujawahi kusikia wanaolia kunyimwa unyumba hadi kupelekana madawati ya jinsia na kwa viongozi wao wa dini? Wengine wameoana na unyumba wsnausikia kwa jirani tena kila mmoja na chumba chake
 

[emoji1787][emoji1787]akili 3
 
Wazungu waliposema "the grass is greener on the other side" unadhani walikosea?
Tafadhali nielezee maana ya kauli hiyo mkuu... sikuwahi kuelewa hata siku moja maana ya maneno hayo na wala sikuwahi kujihangaisha kujua.

Mara ya kwanza kulijua na kusoma neno hilo ni kwenye nyimbo moja ilikuwa pendwa sana kwa upande wangu ingawa yeye alisema "grass ain't greener" ya bwana mmoja akiitwa "Chris brown" 😁👍🏾.... nipe madini mkuu kama hutojali
 
wanafaidi mno, hata ukijaribu na mpenzi wako issa vibe 😍😍
 
Usingo samtaimu ni upuuzi hauna tofauti na panga lililolala nje baridi ni -3000c° na kutu juu.
N.B:Tutafute pesa tuoe.
 
Raha sana....hamna haraka usiku kucha wenu na kesho tena

Masaa mawili touchings
 
Jela kwani?
Utalalaje na mtu usiyempenda?
Sijawahi kusikia jambo hilo.
 
Kwamba hujawahi kusikia wanaolia kunyimwa unyumba hadi kupelekana madawati ya jinsia na kwa viongozi wao wa dini? Wengine wameoana na unyumba wsnausikia kwa jirani tena kila mmoja na chumba chake
Inasikitisha sana. Wanawake wakishaolewa wanatumia mbususu kama silaha ya kuwaadhibu waume zao kwa kuwanyima unyumba.

Halafu cha ajabu kuna mwamba anamega kisela tu yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…