Wanaharakati wanayo haki kuzuia uchaguzi haramu utakaopelekea kuwa na watawala haramu ambao watakuwa wanatawala watu wote ikiwemo wale waliopinga uchaguzi haramu, kwa hiyo kama wanaweza kuzuia ni jambo bora zaidi.Hoja si uchaguzi una maana au hauna maana.
Hata kwenye uchaguzi usio na maana.
Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia watu kupiga kura ikiwa watu wameamua kupiga kura katika uchaguzi usio na maana?
Asante kwa maoni yako. Kamahujapiga bado, naomba upige kura hapo juu kuongeza nguvu msimamo huu kwenye kura.Wanaharakati wanayo haki kuzuia uchaguzi haramu utakaopelekea kuwa na watawala haramu ambao watakuwa wanatawala watu wote ikiwemo wale waliopinga uchaguzi haramu, kwa hiyo kama wanaweza kuzuia ni jambo bora zaidi.
Kwa nini usiuweke hizo records nasi tusikie akisema ana hiyo haki? Kwa nini unatuhadithia ikiwa unaweza kuweka hizo records nasi tukasikia? Na kwa nini unamuita mwahafakati, vipi ikiwa ni teja tu mlevi anaheongea lolote lonalotoka mdomoni?Umetaka jina, nimekupa, umetaka platform, nimekupa.
Ukitaka kujua zaidi mfuatilie Clubhouse yupo kila siku na rekodi za mazungumzo yake zipo mtandaoni Clubhouse.
Huyo ni mmoja mwenye ujasiri wa kusema, lakini kuna wafuasi wake na wengine wengi wenye mawazo kama hayo.
Kwa nini pia unaforce watu kupiga kura kwenye hiyo poll uliyoweka? Hiyo poll uliyoweka inatusaidia nini? Tukishapiga kinafuata nini?Asante kwa maoni yako. Kamahujapiga bado, naomba upige kura hapo juu kuongeza nguvu msimamo huu kwenye kura.
Kwahiyo sasa hivi ata tukimaliza ibada tunaanz akuongelea uchaguzi?Kuna tofauti kati ya kuzuia watu kupiga kura na kushawishi watu kupiga kura.
Shehe amewashawishi watu kupiga kura. Hili halina tatizo.
Wanaharakati wana haki ya kushawishi watu wasipige kura, hilo halina tatizo.
Tatizo linakuja kwenye kulazimisha watu wapige au wasipige kura.
Rekodi ziko public platform Clubhoue. I am not reponible for your lack of knowhow of something that is in the public domain.Kwa nini usiuweke hizo records nasi tusikie akisema ana hiyo haki? Kwa nini unatuhadiyhia ikiwa unaweza kuweka hizo records nasi tukasikia? Na kwa nini unamuita mwahafakati, vipi ikiwa ni teja tu mlevi anaheongea lolote lonalotoka mdomoni?
Na force vipi mtu kupiga kura hapo juu?Kwa nini pia unaforce watu kupiga kura kwenye hiyo poll uliyoweka? Hiyo poll uliyoweka inatusaidia nini? Tukishapiga kinafuata nini?
Mkuu wewe uliyeleta hii habari ulipaswa kuambatanisha na ushahidi. Unaposema huwezi kuweka Ina maana tukuamini bila ushahidi?Rekodi ziko public platform Clubhoue. I am not reponible for your lack of knowhow of something that is in the public domain.
Yani siwezi kukaa hapa nianze kukufundisha kutumia Clubhoue kama hujui. I am sorry that is on you not me.
Huyu ni mtu wa pili naona unamforce akapige kura kwenye hiyo poll yako. Kishatoa maoni yake, umeyaona na kuyaelewa, sasa tena kumuambia akapige kura kwenye poll unakusaidia Nini ikiwa tayari kishakueleza maoni yake?Na force vipi mtu kupiga kura hapo juu?
Siwezi kuforce mtu hata kuja kwenye uzi huu,umekuja mwenyewe hapa.
Si lazima uamini na wala si lazima ubishanebishane na mtu ambaye humuamini.Mkuu wewe uliyeleta hii habari ulipaswa kuambatanisha na ushahidi. Unaposema huwezi kuweka Ina maana tukuamini bila ushahidi?
Kwa nini unalazimisha tukuamini ulichoandika bila kuweka ushahidi?
Huelewi maana ya ku force.Huyu ni mtu wa pili naona unamforce akapige kura kwenye hiyo poll yako. Kishatoa maoni yake, umeyaona na kuyaelewa, sasa tena kumuambia akapige kura kwenye poll unakusaidia Nini ikiwa tayari kishakueleza maoni yake?
Umeleta habari tuliyokua hatuijui, ulipaswa uweke ushahidi ili kila anaesoma aelewe. Ndio maana mimi nakataa hakuna hao wanaharakati, Kama wapo wamesema hivyo weka huo ushahidiSi lazima uamini na wala si lazima ubishanebishane na mtu ambaye humuamini.
Mmejadiliana vizuri kakueleza maoni yake, lakini bado unataka apige. Kwa nini apige kura wakati tayari kishakueleza maoni yake?Huelewi maana ya ku force.
Nimemuomba sijam force. Unachanganya madawa.Mmejadiliana vizuri kakueleza maoni yake, lakini bado unataka apige. Kwa nini apige kura wakati tayari kishakueleza maoni yake?
Nani amezuia watu wasipige kura??Kwa falsafa hii unamaanisha wanaotaka kupiga kura waachiwe wapige kura kwa uhuru wasilazimishwe kutopiga kura na uchaguzi usivurugwe na wanaharakati?
Unekuja na habari umeshindwa kuweka ushahidi wa ulichoandika kuhusu hao wanaharakati.Nimemuomba sijam force. Unachanganya madawa.
Wewe ni troll na nakupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Kiranga ni CCM kwanza haki na Taifa baadaeKwa kifupi kiranga anasema tulinde amani.
Hii nchi karibu kila mtu anaimba nyimbo za CCM.