Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Kuna tofauti kubwa ya lililokuwa jeshi la wananchi na hili jeshi la UvccmPia nataka nijue hao wanajeshi wanaoenda vitani ni wale qualified au maana kufa kama nzi ni uwongo mbna majamaa wetu wapo vizri kwa jeshi la ardhini
Wangewasaidia tarehe 29 October katika kupindua nchi leo hii wangekuwa marafiki zenu wa damu kabisa!.Kuna tofauti kubwa sana kati ya waandamanaji wa M29 na M23, wacha wakufe tu.
nonsense,Salaam Wakuu,
Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo.
Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli?
Sasa kwanini Wananchi ambao ndo wahusika wa Jeshi hatuambiwi?
Waziri wa Ulinzi yupo kwenye Sherehe za Futari na kufuturu huko Tunguuu Zanzibar..
Je, kuna Familia za Wananjeshi zenye taarifa?
Sisi ambao ndugu zetu wapo huku, hizi habari zinatushotusha na Serikali inaonekana haijali.
Kama wanajeshi wetu hawana mafunzo au zana za kisasa za kivita, kwanini Wasirudi tu? Wanafanya nini huko?
View attachment 3547971
Hawa wanakulinda wewe usiye na shukrani, wakati umelala na demu wako usiku wao wanakesha bunduki mkononi huko mipakani!.Kuna tofauti kubwa ya lililokuwa jeshi la wananchi na hili jeshi la Uvccm
Wangewalinda waliuwawa majumbani Kwa mamia ya wasio na hatiaHawa wanakulinda wewe usiye na shukrani, wakati umelala na demu wako usiku wao wanakesha bunduki mkononi huko mipakani!.
Labda akili za kitoto zinawasumbua hawa watoto wa Gen Z.
Hilo ni jeshi la kulinda viongozi waovu na kuwaacha raia wakitekwa na kuuwa ovyo majumbaniHawa wanakulinda wewe usiye na shukrani, wakati umelala na demu wako usiku wao wanakesha bunduki mkononi huko mipakani!.
Labda akili za kitoto zinawasumbua hawa watoto wa Gen Z.
Mbona tarehe 9 na 25 Desemba hakufa mtu hata mmoja?.Wangewalinda waliuwawa majumbani Kwa mamia ya wasio na hatia
Kama watu walioko nyumbani wanauwawa mbele ya macho Yao wakiwa Doria huko nje ndo wataweza
Mliingizwa chaka na hao wanaharakati mkiambiwa nyinyi ingieni barabarani hao JWTZ watawakuta huko!.Hilo ni jeshi la kulinda viongozi waovu na kuwaacha raia wakitekwa na kuuwa ovyo majumbani
Halina credibility ya kuitwa jeshi la wananchi Tena
Zamani ndo walikuwa vizuri. Jeshi la sasa ni Teknolojia sio kuvvunja nazi kwa Ugoko.Pia nataka nijue hao wanajeshi wanaoenda vitani ni wale qualified au maana kufa kama nzi ni uwongo mbna majamaa wetu wapo vizri kwa jeshi la ardhini
Wapo vzr kwenye kuteka na kuua watanzania kama walivyofanya 29 & 30 October ila kwenye uwanja wa vita, uso kwa uso na adui mwenye silaha, JW n mbu tuuPia nataka nijue hao wanajeshi wanaoenda vitani ni wale qualified au maana kufa kama nzi ni uwongo mbna majamaa wetu wapo vizri kwa jeshi la ardhini
Sasa kama hatuna shukrani wanaendelea kulinda ili iweje?Hawa wanakulinda wewe usiye na shukrani, wakati umelala na demu wako usiku wao wanakesha bunduki mkononi huko mipakani!.
Labda akili za kitoto zinawasumbua hawa watoto wa Gen Z.
Nimekuuliza Tarehe 29 walikuwa Doria na wananchi wakuwawa majumbuni kwao bila hatiaMbona tarehe 9 na 25 Desemba hakufa mtu hata mmoja?.
JWTZ linailinda katiba ya nchi, Samia hajavunja kipengele chochote cha katiba.
Topic ni jamaa analalamika usiri ilhali Waswahili wenzake wanakufa kama nzi, tusihamishe magoli.Huyo demu ni banyamulenge pure. Bahima empire.