Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

Jwtz ina askari na maafisa 33k tu so kama banyamulenge ni 100k then wanawazidi mara 3 na zaidi assumming wote wanaweza kushika silaha

Anakudanganya nani hiyo idadi ya elfu thelathini na tatu? Ipo miaka ambayo wanajeshi wapya tu wanaoandikishwa jeshini ni elfu kumi ndani ya mwaka mmoja na Kila mwaka wanaandikishwa wanajeshi wapya jeshini mind you ipo miaka wanajeshi wapya elfu tatu wanaandikishwa na miaka mingine wanajeshi wapya elfu nne
 
Nmekua na nimeishi humo, hakuna mwaka hata mmoja tangu jw imeanzishwa iliandikisha askari zaidi ya 2000 kwa mwaka, hii ni maximum na ilishawahi kutokea mara 1 tu, kwa sasa strategy ni kureplace wastaafu na wanaotoka kwa njia zingine tu sio kukuza jeshi, labda ikijakutokea vita ndio level hiyo ya recruitment inaweza kufanyika na endapo watahitajika!
 
Anakudanganya nani hiyo idadi ya elfu thelathini na tatu? Ipo miaka ambayo wanajeshi wapya tu wanaoandikishwa jeshini ni elfu kumi ndani ya mwaka mmoja na Kila mwaka wanaandikishwa wanajeshi wapya jeshini mind you ipo miaka wanajeshi wapya elfu tatu wanaandikishwa na miaka mingine wanajeshi wapya elfu nne
Chumvi nyingi hii, hakuna mwaka wamewahi kuandikisha watu elfu kumi
 
Lakini kwa taarifa za haraka kama sikusikiliza vibaya,Kiongozi wa M23 amejeruhiwa vibaya mno Salum Nganga,na msemaji wa kikundi ameuawa kwa drone (taarifa ya DW na BBC)!
Inaonekana Majeshi ya Congo,Burundi,Tanzania,nk wanapigana kurudisha maeneo yaliyotekwa na M23!
So huenda hizo taarifa za huyo mdada wa Kinyamulenge ni za kweli au ni za kulaamu huenda M23 ndiyo inapelekewa moto.
 
JWTZ wameanza kuwepo mipakani kabla ya tarehe 29 October, labda uwe umezaliwa miaka hii ya 2000 lakini jeshi limekuwepo tangu mwaka 1964 lilipoundwa na operesheni zote limeweza kushiriki.
Amiri Jeshi wao alisema watu wakitoka Kenya kufanya vurugu ndani ya TANZANIA
Wao walikuwa wanafnaya Nini

Jeshi lenye uzalendo haliwezi kuruhusu raia wauwawe kama kuku majumbani

Hilo lipo kulinda viongozi waovu sio wananchi
 
Tatizo wengi wetu humu kwa sababu ya umri tunaanza kufuatilia masuala ya jeshi miaka ya karibuni.

JWTZ walikwenda wakaikomboa Comoro wakati wa JK, waliwatuliza waasi kule Msumbiji.

JPM aliua wapuuzi 1200 kule Mkuranga mwaka 2016 hakuna aliyewapongeza wanajeshi kwa kuilinda amani.

Wakiwa wanashinda mje na taarifa zao sio mnatafuta taarifa za wao kuuwawa ili mzifurahishe nafsi zenu zilizoingia unyonge baada ya yale machafuko ya October 29.
Mkuranga hao machoko hawakuwa wakipambana jeshi, waasi wa Mozambique JWTZ walishindwa kwa aibu plus walikuwa joint na jeshi la Zimbabwe lakini wakafeli, mpaka Mozambique ilipoomba misaada wa jeshi la Rwanda ndiyo lilienda likafa ikiwa kuwashinda na kuwadhibiti.
Ungekuwa unawajua wa-Comoro walivyo nyolonyolo wala usingewatolea mfano, kule ni sawa na kwenda kuzuia kitchen party.
I still insist kwamba Nyerere alivyokufa na lile jeshi 'shupavu' lilikufa naye.
 
Amiri Jeshi wao alisema watu wakitoka Kenya kufanya vurugu ndani ya TANZANIA
Wao walikuwa wanafnaya Nini

Jeshi lenye uzalendo haliwezi kuruhusu raia wauwawe kama kuku majumbani

Hilo lipo kulinda viongozi waovu sio wananchi
Inategemea na hali halisi ya siku husika, yale yalikuwa machafuko yenye lengo la kufanya Coup De Tat.

Walitaka kuiga yale ya Sri Lanka wapindue nchi kwa kigezo cha maandanano yaliyojaa machafuko wakawahiwa njiani, baada ya kuthibitiwa wamekuja na ujanja wa kutia huruma kwa ICC na media za kimataifa mpaka wameweza kumdanganya yule mstaafu wa Botswana.
 
Taangu lini ukajulishwa vifo vya wanajeshi wao ndo kazi walioichagua na wanafahamu wanafanya kazi frontline kufa kwa mwanajeshi hata frontline ni kawaida kwao ni kazi ambayo waliichagua
Wakati wanajeshi wetu wakiwa wanawauwa hao wanajeshi wa kigeni wakumbuke pia kututaarifu yanayotokea huko.

Hawa wanasumbuliwa na chuki kutokana na ukweli kwamba JWTZ hawakuunga mkono ule upuuzi wao wa October 29 waliupinga ushenzi ule.
 
Mkuranga hao machoko hawakuwa wakipambana jeshi, waasi wa Mozambique JWTZ walishindwa kwa aibu plus walikuwa joint na jeshi la Zimbabwe lakini wakafeli, mpaka Mozambique ilipoomba misaada wa jeshi la Rwanda ndiyo lilienda likafa ikiwa kuwashinda na kuwadhibiti.
Ungekuwa unawajua wa-Comoro walivyo nyolonyolo wala usingewatolea mfano, kule ni sawa na kwenda kuzuia kitchen party.
I still insist kwamba Nyerere alivyokufa na lile jeshi 'shupavu' lilikufa naye.
Jeshi linailinda nchi usiku na mchana lazima tuliheshimu hata kama hatupendi namna lilivyokataa ule ujinga wa machafuko ya October 29 mwaka jana.

Nyinyi kula kulala mnaoshinda mnakunywa spirit ndani ya Liquor Store mpaka alfajiri hamuwezi kuwa na shukrani hata kidogo.
 
Jakaya Kikwete alikuwa anaandikisha wanajeshi elfu nne Kila mwaka na Rais Samia kuna mwaka mmoja kama sio miwili kaandikisha hiyo idadi ya elfu kumi
Mllugaluga naona unaserereka Kama upo shambani mnachunga ndege wasile mazao
 
Jeshi linailinda nchi usiku na mchana lazima tuliheshimu hata kama hatupendi namna lilivyokataa ule ujinga wa machafuko ya October 29 mwaka jana.

Nyinyi kula kulala mnaoshinda mnakunywa spirit ndani ya Liquor Store mpaka alfajiri hamuwezi kuwa na shukrani hata kidogo.
Jeshi limlinde nani, they can't even defend themselves. Endelea ku-survive kwa uchawa because that's the only way you can survive.
Talking of spirits, that's your wagon and don't expect anyone sensible to jump in.
Shukrani ukiwa nayo wewe kwa kuwa wanakulisha, kukuvisha and it's obvious hata pa kulala unategemea fadhila kwa huo uchawa wako.
Hao kenge wako hawajawahi na wala hawatawahi kuwa na faida yoyote kwangu, hayo maisha ya uchawa na kuramba matako ya viongozi endelea nayo hayohayo. You can't survive outside TZ kwani huku hakuna uchawa, unaishi kwa kufanya kazi(iwe umeajiriwa au umejiajiri) and you pay all the required bills fully.
Endelea kuramba matako ya hao majizi na mafisadi ili usife njaa
 
Mnapoishiwa hoja mnakimbilia kwenye uchawa na ule ujinga wa kuwaita watu machoko!.

Jeshi linamlinda kila mtanzania anayeishi ndani ya Tanzania iwe unataka iwe hutaki, hizi hasira zenu za mkizi haziwezi kupunguza chochote katika namna wanavyofanya kazi.

Huyo dada anatoa stori ambayo haiwezi kuaminika, bila ushahidi habari hizi zinakuwa sawa na mazungumzo baada ya habari. Uzushi mtupu.
 
Back
Top Bottom