figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #101
Huwezi kukataza watu kusema. Umepitwa na wakati wewe kaa kwa kutulia..Just becsuse unaichukia serikali basi unamini kila propaganda unayokutana nayo mitandaoni.
Unaenda mbali zaidi unafungulia hadi uzi.
Unashindwa kabisa kufahamu kuwa tupo kwenye zama za mitandao ya kijamii ambayo mtu hupost chochote kwa ajili ya kupata views na followers!
Unashindwa kabisa kugundua huyo kwenye video ni mtu wa wapi!
Mamla zijibu ni kweli au si kweli. Kuna taasisi Tanzania haina kitengo cha habari? Kwanini hutaki wafanye kazi? Fk?