Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

Jakaya Kikwete alikuwa anaandikisha wanajeshi elfu nne Kila mwaka na Rais Samia kuna mwaka mmoja kama sio miwili kaandikisha hiyo idadi ya elfu kumi
Aikoooo..Chai imekua natangawizi sana. 🤣🤣 Samia alivyoingia, Rts Msata ikapokea intake ya 40, hawakuzidi 3300, ikatapika Oljoo intake 41 hawakuzidi 2300. Ikaja intake ya 42 Rts msata (2023) haikuziidi 3100. Ikaja intake ya 43 (2024) Rts Kihangaiko hawakuzidi 3400. Imemaliza juzi intake ya 44 (2025) hawazidi 3200.

Sasa hiyo intake ya Ts Elfu kumi ni ipi? Uwanja Gani, na mwaka Gani ?
 
Just becsuse unaichukia serikali basi unamini kila propaganda unayokutana nayo mitandaoni.
Unaenda mbali zaidi unafungulia hadi uzi.
Unashindwa kabisa kufahamu kuwa tupo kwenye zama za mitandao ya kijamii ambayo mtu hupost chochote kwa ajili ya kupata views na followers!
Unashindwa kabisa kugundua huyo kwenye video ni mtu wa wapi!
 
Mnapoishiwa hoja mnakimbilia kwenye uchawa na ule ujinga wa kuwaita watu machoko!.

Jeshi linamlinda kila mtanzania anayeishi ndani ya Tanzania iwe unataka iwe hutaki, hizi hasira zenu za mkizi haziwezi kupunguza chochote katika namna wanavyofanya kazi.

Huyo dada anatoa stori ambayo haiwezi kuaminika, bila ushahidi habari hizi zinakuwa sawa na mazungumzo baada ya habari. Uzushi mtupu.
Wewe ni chawa tu, it's crystal clear hata ujibaraguze vipi. Mtu independent na mwenye akili timamu na ambaye sensible it's easy to tell, fools like you are easy to read.
 
Mkuranga hao machoko hawakuwa wakipambana jeshi, waasi wa Mozambique JWTZ walishindwa kwa aibu plus walikuwa joint na jeshi la Zimbabwe lakini wakafeli, mpaka Mozambique ilipoomba misaada wa jeshi la Rwanda ndiyo lilienda likafa ikiwa kuwashinda na kuwadhibiti.
Ungekuwa unawajua wa-Comoro walivyo nyolonyolo wala usingewatolea mfano, kule ni sawa na kwenda kuzuia kitchen party.
I still insist kwamba Nyerere alivyokufa na lile jeshi 'shupavu' lilikufa naye.
Watanzania na propaganda za kindezi.
JWTZ walishindwa wapi Msumbiji?
Soma hii tariifa ya mwaka huu rais wa Maumbiji akiomba waendelee kubaki.
1772054454767.jpeg
 
Just becsuse unaichukia serikali basi unamini kila propaganda unayokutana nayo mitandaoni.
Unaenda mbali zaidi unafungulia hadi uzi.
Unashindwa kabisa kufahamu kuwa tupo kwenye zama za mitandao ya kijamii ambayo mtu hupost chochote kwa ajili ya kupata views na followers!
Unashindwa kabisa kugundua huyo kwenye video ni mtu wa wapi!
Kwa kuwa wewe ni chawa so it's okay kutetea kila kitu inachosemwa au kukosolewa serikali?
Mtu huko kwao ndiyo sasa tukatae asemayo tusikilize yako ukiwa mitaa ya Buguruni hata huko panapoongelewa haujawahi hata kufika? Tulishaona clips za hapo nyuma askari wetu waliotekwa wanavyosachiwa lakini hatukuwahi kufahamishwa waliendaje so kwa kuwa serikali inaficha mengi ngoja tusikilize walioamua kutokutuficha yanayojiri.
 
Kwamba kila anayekataa kulishwa matango pori ni chawa?
Askari walitekwa au walitumia mpaka wa Rwanda kurudi Tanzania?
Upite kwenye nchi ya watu usisachiwe umekuwa nani?
Au mnadhani kila mtu anaweka siasa za kipuuzi kwenye kila kitu?
 
Watanzania na propaganda za kindezi.
JWTZ walishindwa wapi Msumbiji?
Soma hii tariifa ya mwaka huu rais wa Maumbiji akiomba waendelee kubaki.
View attachment 3548879
Kabla ya jeshi la Rwanda kwenda kulikuwa na jeshi la TZ na Zim and things escalated.
Ashukuriwe Kagame, nenda Cabo Delgado(Mocimboa da Praia na Macomia) ukapate first hand information from the locals on the ground.
 
Kabla ya jeshi la Rwanda kwenda kulikuwa na jeshi la TZ na Zim and things escalated.
Ashukuriwe Kagame, nenda Cabo Delgado(Mocimboa da Prais na Macomia) ukapate first hand information from the locals on the ground.
Hufahamu chochote, wewe endelea kumezeshwa matango pori.
 
Kwamba kila anayekataa kulishwa matango pori ni chawa?
Askari walitekwa au walitumia mpaka wa Rwanda kurudi Tanzania?
Upite kwenye nchi ya watu usisachiwe umekuwa nani?
Au mnadhani kila mtu anaweka siasa za kipuuzi kwenye kila kitu?
You're missing the point, point ni usiri hivyo panapopatikana habari(wewe endelea kuziita matango pori) we stick with it.
 
Safi sana! Na wafe wengi tu.

Wanajeshi wa Tanzania ni maadui wa Watanzania.

Siwapendi kabisa mimi hao watu.

Heko M23. Endeleeni kuwaua hao takataka.
usiseme hvo hao wanao pelekwa vitan hawana hatia, watoto wa watu wanachukuliwa mitaan kwa kigezo cha nafasi za jeshi wajiunge.

wanawapigisha mazoez kadhaa na kuwatupa kule wawe front line.
 
You know you can argue there na wala haufamu chochote kuhusu huko, no wonder mnatumika na vibaka mafisadi.
Tuna marafiki wapo huko tunawasiliana nao na tunapiga nao story.
Hayo masiasa yenu ya kishamba ya kutaka kila mtu aongee story za uongo kisa anaichukia serikali bakini nazo huko.
Yes we hate the Gov but sio tiketi ya kueneza propaganda na kusambaza hoja nyepesi zisizo na mashiko.
 
I visit Mozambique a lot and I'm fluent in Portuguese, najua nonachokiongea.
 
Safi sana! Na wafe wengi tu.

Wanajeshi wa Tanzania ni maadui wa Watanzania.

Siwapendi kabisa mimi hao watu.

Heko M23. Endeleeni kuwaua hao takataka.
Waache wafe ni watoto wa baba zao viongozi wa chama haramu cha ccm!! Waache wamalizwe hawana msaada kwa wananchi if anything wanachelewesha mabadiliko nchini!
 
usiseme hvo hao wanao pelekwa vitan hawana hatia, watoto wa watu wanachukuliwa mitaan kwa kigezo cha nafasi za jeshi wajiunge.

wanawapigisha mazoez kadhaa na kuwatupa kule wawe front line.
Don’t care!

Walisimama na kuangalia Watanzania wakichinjwa!

*** them. Wafe tu.
 
Nakumbuka nilisoma kitabu cha psychiatry siku.
Siyo buku la Doctrine isipokuwa popular books on psychiatry.
Alikuwa anaelezea kuhusu schizophrenia.
Anasema schizophrenic unaweza kumsikiliza anaongea kwa nusu saa usijue anaongea kuhusu nini.
Likewise,vita ya Zaire unaweza kuifuatlia kwenye habari kwa wiki moja na usijue nani anapigana na nani kuhusu nini.
 
Kwamba kila anayekataa kulishwa matango pori ni chawa?
Askari walitekwa au walitumia mpaka wa Rwanda kurudi Tanzania?
Upite kwenye nchi ya watu usisachiwe umekuwa nani?
Au mnadhani kila mtu anaweka siasa za kipuuzi kwenye kila kitu?
Walitekwa,hii Kagame aliiongea,akasema siku wakirudia tena watarudi kwenye mifuko,akaongeza kuna dada zetu na kaka zetu majirani wameshindwa kutumia akili
 
Wewe ni chawa tu, it's crystal clear hata ujibaraguze vipi. Mtu independent na mwenye akili timamu na ambaye sensible it's easy to tell, fools like you are easy to read.
Mwenye mawazo tofauti na nyinyi mnamuita chawa!, nyinyi ni chawa wa nani?.

Chuki zenu zitawamalizeni msipoangalia. JWTZ wanalinda katiba ya nchi walianza shughuli hiyo ngumu mwaka 1964 wataendelea nayo kwa miaka mingi ijayo.

Hawawezi kupoteza heshima yao kwa kuunga mkono akili za kipimbi za kina Mange na MONSTER wa Jamiiforum.
 
Back
Top Bottom