Jwtz ina askari na maafisa 33k tu so kama banyamulenge ni 100k then wanawazidi mara 3 na zaidi assumming wote wanaweza kushika silaha
Anakudanganya nani hiyo idadi ya elfu thelathini na tatu? Ipo miaka ambayo wanajeshi wapya tu wanaoandikishwa jeshini ni elfu kumi ndani ya mwaka mmoja na Kila mwaka wanaandikishwa wanajeshi wapya jeshini mind you ipo miaka wanajeshi wapya elfu tatu wanaandikishwa na miaka mingine wanajeshi wapya elfu nne
Chumvi nyingi hii, hakuna mwaka wamewahi kuandikisha watu elfu kumiAnakudanganya nani hiyo idadi ya elfu thelathini na tatu? Ipo miaka ambayo wanajeshi wapya tu wanaoandikishwa jeshini ni elfu kumi ndani ya mwaka mmoja na Kila mwaka wanaandikishwa wanajeshi wapya jeshini mind you ipo miaka wanajeshi wapya elfu tatu wanaandikishwa na miaka mingine wanajeshi wapya elfu nne
Chumvi nyingi hii, hakuna mwaka wamewahi kuandikisha watu elfu kumi
Jakaya Kikwete alikuwa anaandikisha wanajeshi elfu nne Kila mwaka na Rais Samia kuna mwaka mmoja kama sio miwili kaandikisha hiyo idadi ya elfu kumiChumvi nyingi hii, hakuna mwaka wamewahi kuandikisha watu elfu kumi
Acha uongo. Unatuona wote Watoto humu?Jakaya Kikwete alikuwa anaandikisha wanajeshi elfu nne Kila mwaka na Rais Samia kuna mwaka mmoja kama sio miwili kaandikisha hiyo idadi ya elfu kumi
Amiri Jeshi wao alisema watu wakitoka Kenya kufanya vurugu ndani ya TANZANIAJWTZ wameanza kuwepo mipakani kabla ya tarehe 29 October, labda uwe umezaliwa miaka hii ya 2000 lakini jeshi limekuwepo tangu mwaka 1964 lilipoundwa na operesheni zote limeweza kushiriki.
Elfu kumi unaifahamu kweli?..Jakaya Kikwete alikuwa anaandikisha wanajeshi elfu nne Kila mwaka na Rais Samia kuna mwaka mmoja kama sio miwili kaandikisha hiyo idadi ya elfu kumi
Mkuranga hao machoko hawakuwa wakipambana jeshi, waasi wa Mozambique JWTZ walishindwa kwa aibu plus walikuwa joint na jeshi la Zimbabwe lakini wakafeli, mpaka Mozambique ilipoomba misaada wa jeshi la Rwanda ndiyo lilienda likafa ikiwa kuwashinda na kuwadhibiti.Tatizo wengi wetu humu kwa sababu ya umri tunaanza kufuatilia masuala ya jeshi miaka ya karibuni.
JWTZ walikwenda wakaikomboa Comoro wakati wa JK, waliwatuliza waasi kule Msumbiji.
JPM aliua wapuuzi 1200 kule Mkuranga mwaka 2016 hakuna aliyewapongeza wanajeshi kwa kuilinda amani.
Wakiwa wanashinda mje na taarifa zao sio mnatafuta taarifa za wao kuuwawa ili mzifurahishe nafsi zenu zilizoingia unyonge baada ya yale machafuko ya October 29.
Inategemea na hali halisi ya siku husika, yale yalikuwa machafuko yenye lengo la kufanya Coup De Tat.Amiri Jeshi wao alisema watu wakitoka Kenya kufanya vurugu ndani ya TANZANIA
Wao walikuwa wanafnaya Nini
Jeshi lenye uzalendo haliwezi kuruhusu raia wauwawe kama kuku majumbani
Hilo lipo kulinda viongozi waovu sio wananchi
Wakati wanajeshi wetu wakiwa wanawauwa hao wanajeshi wa kigeni wakumbuke pia kututaarifu yanayotokea huko.Taangu lini ukajulishwa vifo vya wanajeshi wao ndo kazi walioichagua na wanafahamu wanafanya kazi frontline kufa kwa mwanajeshi hata frontline ni kawaida kwao ni kazi ambayo waliichagua
Jeshi linailinda nchi usiku na mchana lazima tuliheshimu hata kama hatupendi namna lilivyokataa ule ujinga wa machafuko ya October 29 mwaka jana.Mkuranga hao machoko hawakuwa wakipambana jeshi, waasi wa Mozambique JWTZ walishindwa kwa aibu plus walikuwa joint na jeshi la Zimbabwe lakini wakafeli, mpaka Mozambique ilipoomba misaada wa jeshi la Rwanda ndiyo lilienda likafa ikiwa kuwashinda na kuwadhibiti.
Ungekuwa unawajua wa-Comoro walivyo nyolonyolo wala usingewatolea mfano, kule ni sawa na kwenda kuzuia kitchen party.
I still insist kwamba Nyerere alivyokufa na lile jeshi 'shupavu' lilikufa naye.
Link ya nini?Mkuu jina la huyu dem ana link
Mllugaluga naona unaserereka Kama upo shambani mnachunga ndege wasile mazaoJakaya Kikwete alikuwa anaandikisha wanajeshi elfu nne Kila mwaka na Rais Samia kuna mwaka mmoja kama sio miwili kaandikisha hiyo idadi ya elfu kumi
Wana hasira baada ya wanajeshi kutouunga mkono ule upuuzi wa October 29 2025.Kamalaya kapumbavu na nyumbu wanaamini huu upumbavu
Jeshi limlinde nani, they can't even defend themselves. Endelea ku-survive kwa uchawa because that's the only way you can survive.Jeshi linailinda nchi usiku na mchana lazima tuliheshimu hata kama hatupendi namna lilivyokataa ule ujinga wa machafuko ya October 29 mwaka jana.
Nyinyi kula kulala mnaoshinda mnakunywa spirit ndani ya Liquor Store mpaka alfajiri hamuwezi kuwa na shukrani hata kidogo.
Mnapoishiwa hoja mnakimbilia kwenye uchawa na ule ujinga wa kuwaita watu machoko!.Jeshi limlinde nani, they can't even defend themselves. Endelea ku-survive kwa uchawa because that's the only way you can survive.
Talking of spirits, that's your wagon and don't expect anyone sensible to jump in.
Shukrani ukiwa nayo wewe kwa kuwa wanakulisha, kukuvisha and it's obvious hata pa kulala unategemea fadhila kwa huo uchawa wako.
Hao kenge wako hawajawahi na wala hawatawahi kuwa na faida yoyote kwangu, hayo maisha ya uchawa na kuramba matako ya viongozi endelea nayo hayohayo. You can't survive outside TZ kwani huku hakuna uchawa, unaishi kwa kufanya kazi(iwe umeajiriwa au umejiajiri) and you pay all the required bills fully.
Endelea kuramba matako ya hao majizi na mafisadi ili usife njaa