Aikoooo..Chai imekua natangawizi sana. 🤣🤣 Samia alivyoingia, Rts Msata ikapokea intake ya 40, hawakuzidi 3300, ikatapika Oljoo intake 41 hawakuzidi 2300. Ikaja intake ya 42 Rts msata (2023) haikuziidi 3100. Ikaja intake ya 43 (2024) Rts Kihangaiko hawakuzidi 3400. Imemaliza juzi intake ya 44 (2025) hawazidi 3200.Jakaya Kikwete alikuwa anaandikisha wanajeshi elfu nne Kila mwaka na Rais Samia kuna mwaka mmoja kama sio miwili kaandikisha hiyo idadi ya elfu kumi
Wewe ni chawa tu, it's crystal clear hata ujibaraguze vipi. Mtu independent na mwenye akili timamu na ambaye sensible it's easy to tell, fools like you are easy to read.Mnapoishiwa hoja mnakimbilia kwenye uchawa na ule ujinga wa kuwaita watu machoko!.
Jeshi linamlinda kila mtanzania anayeishi ndani ya Tanzania iwe unataka iwe hutaki, hizi hasira zenu za mkizi haziwezi kupunguza chochote katika namna wanavyofanya kazi.
Huyo dada anatoa stori ambayo haiwezi kuaminika, bila ushahidi habari hizi zinakuwa sawa na mazungumzo baada ya habari. Uzushi mtupu.
Watanzania na propaganda za kindezi.Mkuranga hao machoko hawakuwa wakipambana jeshi, waasi wa Mozambique JWTZ walishindwa kwa aibu plus walikuwa joint na jeshi la Zimbabwe lakini wakafeli, mpaka Mozambique ilipoomba misaada wa jeshi la Rwanda ndiyo lilienda likafa ikiwa kuwashinda na kuwadhibiti.
Ungekuwa unawajua wa-Comoro walivyo nyolonyolo wala usingewatolea mfano, kule ni sawa na kwenda kuzuia kitchen party.
I still insist kwamba Nyerere alivyokufa na lile jeshi 'shupavu' lilikufa naye.
Kwa kuwa wewe ni chawa so it's okay kutetea kila kitu inachosemwa au kukosolewa serikali?Just becsuse unaichukia serikali basi unamini kila propaganda unayokutana nayo mitandaoni.
Unaenda mbali zaidi unafungulia hadi uzi.
Unashindwa kabisa kufahamu kuwa tupo kwenye zama za mitandao ya kijamii ambayo mtu hupost chochote kwa ajili ya kupata views na followers!
Unashindwa kabisa kugundua huyo kwenye video ni mtu wa wapi!
Kwamba kila anayekataa kulishwa matango pori ni chawa?Kwa kuwa wewe ni chawa so it's okay kutetea kila kitu inachosemwa au kukosolewa serikali?
Mtu huko kwao ndiyo sasa tukatae asemayo tusikilize yako ukiwa mitaa ya Buguruni hata huko panapoongelewa haujawahi hata kufika? Tulishaona clips za hapo nyuma askari wetu waliotekwa wanavyosachiwa lakini hatukuwahi kufahamishwa waliendaje so kwa kuwa serikali inaficha mengi ngoja tusikilize walioamua kutokutuficha yanayojiri.
Kabla ya jeshi la Rwanda kwenda kulikuwa na jeshi la TZ na Zim and things escalated.Watanzania na propaganda za kindezi.
JWTZ walishindwa wapi Msumbiji?
Soma hii tariifa ya mwaka huu rais wa Maumbiji akiomba waendelee kubaki.
View attachment 3548879
Hufahamu chochote, wewe endelea kumezeshwa matango pori.Kabla ya jeshi la Rwanda kwenda kulikuwa na jeshi la TZ na Zim and things escalated.
Ashukuriwe Kagame, nenda Cabo Delgado(Mocimboa da Prais na Macomia) ukapate first hand information from the locals on the ground.
You're missing the point, point ni usiri hivyo panapopatikana habari(wewe endelea kuziita matango pori) we stick with it.Kwamba kila anayekataa kulishwa matango pori ni chawa?
Askari walitekwa au walitumia mpaka wa Rwanda kurudi Tanzania?
Upite kwenye nchi ya watu usisachiwe umekuwa nani?
Au mnadhani kila mtu anaweka siasa za kipuuzi kwenye kila kitu?
usiseme hvo hao wanao pelekwa vitan hawana hatia, watoto wa watu wanachukuliwa mitaan kwa kigezo cha nafasi za jeshi wajiunge.Safi sana! Na wafe wengi tu.
Wanajeshi wa Tanzania ni maadui wa Watanzania.
Siwapendi kabisa mimi hao watu.
Heko M23. Endeleeni kuwaua hao takataka.
You know you can argue there na wala haufamu chochote kuhusu huko, no wonder mnatumika na vibaka mafisadi.Hufahamu chochote, wewe endelea kumezeshwa matango pori.
Tuna marafiki wapo huko tunawasiliana nao na tunapiga nao story.You know you can argue there na wala haufamu chochote kuhusu huko, no wonder mnatumika na vibaka mafisadi.
I visit Mozambique a lot and I'm fluent in Portuguese, najua nonachokiongea.Tuna marafiki wapo huko tunawasiliana nao na tunapiga nao story.
Hayo masiasa yenu ya kishamba ya kutaka kila mtu aongee story za uongo kisa anaichukia serikali bakini nazo huko.
Yes we hate the Gov but sio tiketi ya kueneza propaganda na kusambaza hoja nyepesi zisizo na mashiko.
Waache wafe ni watoto wa baba zao viongozi wa chama haramu cha ccm!! Waache wamalizwe hawana msaada kwa wananchi if anything wanachelewesha mabadiliko nchini!Safi sana! Na wafe wengi tu.
Wanajeshi wa Tanzania ni maadui wa Watanzania.
Siwapendi kabisa mimi hao watu.
Heko M23. Endeleeni kuwaua hao takataka.
Don’t care!usiseme hvo hao wanao pelekwa vitan hawana hatia, watoto wa watu wanachukuliwa mitaan kwa kigezo cha nafasi za jeshi wajiunge.
wanawapigisha mazoez kadhaa na kuwatupa kule wawe front line.
Walitekwa,hii Kagame aliiongea,akasema siku wakirudia tena watarudi kwenye mifuko,akaongeza kuna dada zetu na kaka zetu majirani wameshindwa kutumia akiliKwamba kila anayekataa kulishwa matango pori ni chawa?
Askari walitekwa au walitumia mpaka wa Rwanda kurudi Tanzania?
Upite kwenye nchi ya watu usisachiwe umekuwa nani?
Au mnadhani kila mtu anaweka siasa za kipuuzi kwenye kila kitu?
Mnapenda story za vijiweni kujifariji.Walitekwa,hii Kagame aliiongea,akasema siku wakirudia tena watarudi kwenye mifuko,akaongeza kuna dada zetu na kaka zetu majirani wameshindwa kutumia akili
Mwenye mawazo tofauti na nyinyi mnamuita chawa!, nyinyi ni chawa wa nani?.Wewe ni chawa tu, it's crystal clear hata ujibaraguze vipi. Mtu independent na mwenye akili timamu na ambaye sensible it's easy to tell, fools like you are easy to read.