Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

Huwezi kukataza watu kusema. Umepitwa na wakati wewe kaa kwa kutulia..

Mamla zijibu ni kweli au si kweli. Kuna taasisi Tanzania haina kitengo cha habari? Kwanini hutaki wafanye kazi? Fk?
 
punguza jina lako refu sana halipendezi humu
 
Tumekujengea na sanamu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…