Uzuri Jukwaa hill hata vilaza wenye account fake full kujitutumua! Wewe Kubali tu hao sio level zako!!Wangekuwa wananizidi wasingeenda kutetemekea ajira za kujipendekeza. Mbona Mimi kwangu Niko vizuri kiasi sioni haja ya kujipendekeza kwa yoyote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri Jukwaa hill hata vilaza wenye account fake full kujitutumua! Wewe Kubali tu hao sio level zako!!Wangekuwa wananizidi wasingeenda kutetemekea ajira za kujipendekeza. Mbona Mimi kwangu Niko vizuri kiasi sioni haja ya kujipendekeza kwa yoyote?
Ni kweli sio level yangu, maana wao wanaweza kujipendekeza ili wapate maisha, lakini Mimi sitamani hata.Uzuri Jukwaa hill hata vilaza wenye account fake full kujitutumua! Wewe Kubali tu hao sio level zako!!
Kwani kujiona First class na kujitutumua ni kosa kisheria?Unajua kuna watu wanaojiona first Class full kujitutumua!
Upo sahihi kila jamii ipambane kwa njia inazozijua.Maisha hayana mbabe wake na kila jamii Inapambana kivyake!
Kweli wewe ni mtu wa ajabu .. kichwa cha mada yako ni hiki !Kuna mchungaji wao Kimaro alikuja Mwanza akaanza kusifia watu wa Mwanza mara anataja Wahaya wana akili sana mara Wakerewe wanamaprofesa na ndo maana Mwanza ni sehemu nzuri!
Hakudiriki kutaja wasukuma maana ndo threat yao kubwa
Kama huo muda wewe Msukuma ulianzisha na kuamini kuwa bila kanda ya ziwa hakuna kitakachoenda basi sawa.Mda wao Ulishaisha na bila kuwa na?mzizi kanda ya Ziwa chama Chao Watasubiri sana!
Ni wivu tu unawasumbua pia lake zone inaonekana kuwa tushio kwenye medalii za kisiasa, kwa sasaKwanini wanasiasa kutoka kanda ya ziwa wanashambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii. Je, kuna chuki dhidi yao au kuna agenda maalumu asitokee mwanasiasa mwenye nguvu kutawala siasa kanda ya ziwa kama wanavyofanya Zitto Kabwe kule Kigoma, Freeman Mbowe kanda ya kaskazini au alivyokuwa marehemu Maalim Seif alivyokuwa anatawala siasa za Zanzibar?
Au kuna agenda maalum ya baadhi ya wanasiasa kuitumia kanda ya ziwa kwa manufaa yao ya kisiasa kwa kuwaathiri wanasiasa wanaotokea kanda ya ziwa?
Kwasababu tumeona alivyoteuliwa Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati na Paulo Makonda kuwa mwenezi wa CCM kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na nyuzi mbalimbali za kuwashambulia na wanaofanya kazi hiyo ni wale wale waliotumika kushambulia utawala wa hayati Rais Magufuri kwa viongozi walioteuliwa kutoka kanda ya ziwa.
Ukiangalia mitandao ya kijamii kama X(tweeter) asilimia kubwa za nyuzi zinazofunguliwa ni vita dhidi ya wanasiasa wa kanda ya ziwa sio Makonda na Dotto pekee bali wanasiasa wote wanatokea kanda ya ziwa wanaoonekana wana nguvu fulani ya kisiasa.
Ndio maana nauliza kuna ajenda mahususi kwa ajili ya kuwadhoofisha wanasiasa wanaotokea kanda ya ziwa?
Kwanini wanasiasa wanatokea kanda ya ziwa ndio wanaonekana wabaya?
Na watu wanaotumika ni wale wale wanajificha kwenye kichaka cha kutetea demokrasia lakini ukifuatilia kwa makini nyuzi zao zitawahusu wanasiasa wa kanda ya ziwa kuwadhoofisha kisiasa wasipate nguvu.
Una element na DNA za ushoga tako la mwanaume mwenzako unatesekea nalo la nini? tako lake linazuia kuwa kiongozi bora? Nyie watu mna shida gani?
90% ya wanaoponda ukichunguza vizuri wametoka kaskazini.
Punguzeni chuki na ubinafsi dhidi ya jamii fulani hata humu watu walio comment negative wote ni wachaga, chuki hazitawasaidia.
Nyinyi mara na kagera mi manority! Kwa mpole! Na huku kanda ya ziwa wanaume ni wasukuma na Wakurya kisiasa na kiuchumi!Halagu tofautusha Kanda ya Ziwa na Usukumani. Kanda ya Ziwa ni kubwa Sana. Itoe Mara na Kagera kwenye huyo ujinga wenu
Ni wivu tu unawasumbua pia lake zone inaonekana kuwa tushio kwenye medalii za kisiasa, kwa sasa
Hivi wewe uko na ubongo kweli? Ukizungumza kanda ya ziwa unaongelea Wasukuma kwanza hao Kagera na Mara hawana ushawishi wa kubena kanda ya ziwa!Mmerudi na ukanda wa Ziwa. Mbona kwenye uchaguzi ilibidi muibe kura?. Kama Kanda ya Ziwa ndio tegemeo lenu?. Mnaongea vitu ambavyo sio halisia. Kwenye maukabila yenu iondoeni mara na Bukoba.
Nyinyi mara na kagera mi manority! Kwa mpole! Na huku kanda ya ziwa wanaume ni wasukuma na Wakurya kisiasa na kiuchumi!
Kanda ya ziwa ni sawasawa na maji. Usipoyaoga utayanywa tu na hata kuyanawa. Ni wengi mno na bila kupata kura zao huwezi kutoboa. Ndiyo maana mama anahangaika japo kwa Biteko sidhani kama itamsaidia maana jamaa hana bashasha (charisma) kabisa. Afadhali hata angempa Dr. Kalemani au Luhaga Mpina....Hata wakipiga kelele ,kanda ya ziwa haizuiliki
Wezi,wazulumati na vibaka wa taifa katika ubora wenu, Cha ajabu mna tukana kina ngosha huku mmejificha nyuma ya keyboard
Hao mnao watukana pengine wamewazidi Kila kitu katika maisha
Nyie ni vinara wa kutukana huku mmejificha
Kuna kabila hapo umeona limetanjwa?Mmerudi na ukanda wa Ziwa. Mbona kwenye uchaguzi ilibidi muibe kura?. Kama Kanda ya Ziwa ndio tegemeo lenu?. Mnaongea vitu ambavyo sio halisia. Kwenye maukabila yenu iondoeni mara na Bukoba.
Hivi wewe uko na ubongo kweli? Ukizungumza kanda ya ziwa unaongelea Wasukuma kwanza hao Kagera na Mara hawana ushawishi wa kubena kanda ya ziwa!
Kuna kabila hapo umeona limetanjwa?