Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Wanaume wengi wanakuwa wakubwa kuliko wake zao so naturally watatangulia kufa mf mandela na winnie na graca,
wanaume wanatoa stress mara chache kuliko wake zao,wake wanalia nk,mwanaume kavu
wanaume ndo wataftaji wakuu wanachoka haraka,
 
biological mwanamke anaafya na kinga nyingi kuliko mwanaume.
social..mwanamke ana mtandao mkubwasana kwenye jamii kuliko mwanaume mfano vikundi vya kinamama.vicoba.chama cha kufa na kuzikana. hali inayompelekea kuwahuru kuongea matatizo mbalimbali na kupata suluhisho kuliko mwaume wanao kaanalo moyoni .mpaka wanapata magonjwa ya moyo.pia kwenye sex affairs wanaume wanapoteza nguvu nyingi na protein wakati mwanamke anapokea vitu hivyo....
 
Ah hebu nisiharibu siku yangu mie....
Sijui ntahuzunikaje bora tu nife mie mwanzo.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wanaume wengi wanakuwa wakubwa kuliko wake zao so naturally watatangulia kufa mf mandela na winnie na graca,
wanaume wanatoa stress mara chache kuliko wake zao,wake wanalia nk,mwanaume kavu
wanaume ndo wataftaji wakuu wanachoka haraka,

Shosti kufa hakutegemei umri...
Kichanga kinazaliwa baada ya dakika 2 kinakufa na kumuacha mzee wa miaka 90..
Sote tutakufa kwa siku ambazo muumbaji wetu ametupangia kuchukua roho zake.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Source ni wewe mwenyewe,
Weka picha tuamini.
 
Hiyo takwimu inaweza kua sahihi bt si rasmi...hata yale mambo yetu kule MMU inaweza kua ni sababu wanaume kutangulia...
 
Shosti kufa hakutegemei umri...
Kichanga kinazaliwa baada ya dakika 2 kinakufa na kumuacha mzee wa miaka 90..
Sote tutakufa kwa siku ambazo muumbaji wetu ametupangia kuchukua roho zake.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

ni kweli my dear,i just considered couples chache ambao wanaish vzur wote tl uzee hv
 
unataka kumaanisha wanandoa wasipendane?
Halafu unakuta ndo wale wanaopendana saaanaaa na wake zao..ila wale ambao kukicha hawaongei
.hawaongozani...hawalali pamoja.kila siku ugomvi. ndio huishi maisha marefu mpk uzee wao
 

Nimekuelewa sana japo hauzungumzii mada iliyolengwa na mhusika.
 

umri wa kuoana unatofautiana baina ya mwanamke na mwanaume mara nyingi wanawake wanakuwa na umri mdogo kuliko mwanaume.
 
Nimekuelewa sana japo hauzungumzii mada iliyolengwa na mhusika.

...mkuu! Asante kwa kusema ukweli kuwa umenielewa! Ila sema kuwa unataka uchambuzi na dadadua zaidi bandiko langu!

'kwanza soma kwa umakini hii simulizi ya watoto, waliokuwa wanapanga nani atakufa wa kwanza katika familia yao!'

"siku moja watoto wa familia moja walikuwa wanapanga nani atatangulia kufa! Jibu alikuwa ni baba wa familia, atafuata mama yao, na baadaye mtoto aliyezaliwa wa kwanza hadi wa mwisho..."

(a) watoto walipataji jibu haraka sana, kuwa kwa vile baba yao ndiye mwenye umri mkubwa ktk familia yao' NDIYE ATAKAYE KUFA WA KWANZA, kabla ya mama yao!

kwahiyo moja kwa moja, unaona kuwa baba ktk NDOA ndiye wa kwanza kufa kwa sababu ndiye mwenye umri mkubwa kuliko mama yao!

"tukirudi kwa muanzisha Thread" yeye kajifanya kama vile hajui kuwa katika familia (NDOA) zilizo nyingi, WANAUME NDIYO WENYE UMRI MKUBWA KULIKO WAKE ZAO.

"ktk ndoa, utakuta mwanaume ana mzidi mkewe zaidi ya miaka 10 au zaidi" na kufa lazima afe wa kwanza.


Na mfano mwingine nilioutoa niwa MAANDISHI KUTOKA KATIKA KITABU KITATIFU, na sababu za kufanya mwanadamu afe mapema...

"kwahiyo siyo sawa kuwa wanaume walio kwenye ndoa, ndiyo uanza kufa..."
 
 

Uliowataja hapo ndio wanafikisha hiyo asilimia 75 -90?
 

Kwani umri wa kufa ni miaka mingapi?
 
 
Last edited by a moderator:
Mi naona hii hutokana na tofauti ya umri kati ya mume na mke. mara nyingi wanaume wengi hupenda kuoa wanawake ambao wamewazidi umri tena zaidi ya miaka kumi. na tukitazama kanuni ya fifo ni automatikali mwanaume atatangulia tu kufa.
 
Katika mikoa mbalimbali niliyofaniki kuishi na pia wakati nikisoma shule nimegundua kua familia nyingi ambazo zimepoteza mzazi mmoja mara nyingi anakua ni wa kiume.Tatizo ni nini?

Tujadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…