MaliShambani
Member
- Jun 25, 2014
- 55
- 19
Katika mikoa mbalimbali niliyofaniki kuishi na pia wakati nikisoma shule nimegundua kua familia nyingi ambazo zimepoteza mzazi mmoja mara nyingi anakua ni wa kiume.Tatizo ni nini? Tujadili
Stress za maisha hupunguza umri wa mtu wa kuishi, bread winner wa familia huwa katika risk zaidi, mara nyingi ni mzazi wa kiume.
WANAWAKE wengi ni wachawi(baadhi) hushiriki ktk kuwapoteza waume zao ili kukamatia mali.
#kwa wenyeji wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro nadhani watakua mashahidi wa hili.
Hiyo ni kweli mkuu hapa Mwanza asilimia kubwa ya wanawake wa kichagga ni wajane!
Namnukuu Dr Izack Ndodi,alisema sababu kubwa Men kufa mapema ni kila unapofunga bao moja ktk mechi anapunguza cku za kuishi.
Life span ya mwanaume ni ndogo zaidi kuliko ya mwanamke..