Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Utafiti wako umeufanyia wapi? Ni utafiti uliozingatia kanuni zote za kisayansi au ni wa Kiswahili Swahili tu?Ni muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION, SAIKOSISI, STROKE N.K
Madhanio wakati wa utafiti ni kuwa je wanaume wasio katika ndoa je wanashambuliwa sana na magonjwa haya ya kufisha kama cohort wao walio katika ndoa? Hatimaye ikabainika kuwa wasio katika ndoa ni wachache sana karibu na hamna ila walio kwenye ndoa ni wote, kama sio aina moja ni nyingine. Hitimisho likawa wanawake huchangia vifo vya mapema vya wanaume katika ndoa.
Je, ni kwanini? Hii ni sehemu nyingine wazi ya utafiti.
Je. kuna aliyefanya utafiti binafsi kuhusu hili na nini hatima yake?
Nawakilisha!
Baadhi ya wanaume wanakufa kwa stress za kujitakia...wanagubu...vinyongo visivyoisha...kutoweza kusamehe...kuweka vitu moyoni(wanajidai wana siri sana hawataki kuelezea matatizo yao). Kwa mtindo huo magonjwa ya moyo na mengineyo lazima yakuandame.
duu,,,,,, haya mama. mwanaume anagubu, kinyongo kisichoisha, kutosamehe na kuweka vitu moyoni..........................lol huyo mwanaume atakuwa na mke jeuri au mgawaji sana.Baadhi ya wanaume wanakufa kwa stress za kujitakia...wanagubu...vinyongo visivyoisha...kutoweza kusamehe...kuweka vitu moyoni(wanajidai wana siri sana hawataki kuelezea matatizo yao). Kwa mtindo huo magonjwa ya moyo na mengineyo lazima yakuandame.
duu,,,,,, haya mama. mwanaume anagubu, kinyongo kisichoisha, kutosamehe na kuweka vitu moyoni..........................lol huyo mwanaume atakuwa na mke jeuri au mgawaji sana.
N
1.mara nying kwenye ndoa wanaume ni wakubwa kiumri kuliko wanawake kwa hiyo huwa muda wetu wa kufa (life expectancy)hufika kabla ya wake zetu
2.stress za maisha kuwaza jinsi ya kutunza familia husababisha magonjwa kama presha,kisukari nk
3.kufanya kazi za risk,kukwea minazi ili kutungua nazi,kujenga majengo marefu,kuendesha bodaboda,ujambazi,kuzamia migodini ,udereva,wanajeshi kufia vitani hizo ni kazi zenye risk kubwa na nyingi hufanyawa wanaume na zinakula roho zetu sana
4.kurogwa,au kuuliwa na wake zetu ili warithi mali,wale wanawake toka kule mkoa wenye mlima mrefu wananielewa
Study yako ni ya kweli lakini si kwa mazingira yetu ya Tz na Africa kwa ujumla.Utafiti wako umeufanyia wapi? Ni utafiti uliozingatia kanuni zote za kisayansi au ni wa Kiswahili Swahili tu?
Nasema hivi kwa sababu tafiti nyingi sana tangulizi zimeonyesha kwamba wanaume waliooa actually huishi maisha marefu kuliko walio single. Single wana risk behavior nyingi mno zinazotokana na kuishi maisha kama macho man kwa sababu hawana majukumu yo yote.
Ngoja nitakutumia research papers zinazoongelea jambo hili pamoja na utafiti mzuri sana uliofanywa Japan kuhusu ishu ya wanaume kufa mapema.
Kwetu sisi mbali na genetic factors lakini pia wanaume tuna risk behavior nyingi sana zikiwemo kuvuta sigara, kuendesha magari mwendo kasi, kutokwenda hospital for physical check up mpaka ugonjwa unakaribia kukuua ndo unaenda, of course nyumba ndogo na uzinzi etc...
Ni muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION, SAIKOSISI, STROKE N.K
Madhanio wakati wa utafiti ni kuwa je wanaume wasio katika ndoa je wanashambuliwa sana na magonjwa haya ya kufisha kama cohort wao walio katika ndoa? Hatimaye ikabainika kuwa wasio katika ndoa ni wachache sana karibu na hamna ila walio kwenye ndoa ni wote, kama sio aina moja ni nyingine. Hitimisho likawa wanawake huchangia vifo vya mapema vya wanaume katika ndoa.
Je, ni kwanini? Hii ni sehemu nyingine wazi ya utafiti.
Je. kuna aliyefanya utafiti binafsi kuhusu hili na nini hatima yake?
Nawasilisha!
=========
Chris Mauk anasemaje?
kuoa mke aliyekuzidi umr inachangia kuzeeka haraka sanaUMENENA. MIMI MWENYEWE MKE WANGU KANIPITA 4YRS, LAKINI WATU WANANIAMKIA YEYE HAWAMUAMKII. YAANI MTU WA 45 ANANIAMBIA SHIKAMOO. NINAONEKANA MZEE KULIKO WIFE. THIS WORLD.
HaisaidiiBora kuwa bachela tu, hamna namna
Hahahaaah kuna ukweli kiasikuoa mke aliyekuzidi umr inachangia kuzeeka haraka sana
It is a demographic fact that mortality among males tends to be higher than among females; not only for humans but for all living species. it is not necessarily due to abuse by the female genre but just a natural demographic phenomenon. Therefore life expectancy in societies all over the world tends to be higher for females than for males. That is why we have more widows than widowers. However, in general if we look at life expectancy by marital status, that of marrieds tends to be higher than that of singles. This is because the married people tend to take care of each other; e.g. in feeding patterns and when one is in ill health. A single male coming from work at 5 pm would pass by a pub; have a beer or two and go to sleep without having eaten a proper meal. On the contrary the married one will find food at home.Hatimaye ikabainika kuwa wasio katika ndoa ni wachache sana karibu na hamna ila walio kwenye ndoa ni wote, kama sio aina moja ni nyingine. Hitimisho likawa wanawake huchangia vifo vya mapema vya wanaume katika ndoa.
Je, ni kwanini? Hii ni sehemu nyingine wazi ya utafiti.
Je. kuna aliyefanya utafiti binafsi kuhusu hili na nini hatima yake?