Upo sawa wake kubana vichenji na kuwatumia wazazi wao, ni kwasababu waume zao budget zao huwatumia wazazi wao tu lakini si kwa upande wa mkewe na husahau kuwa mke naye kazaliwa na anawazazi pia.Unajua kwann,coz mwanaume ana familia mbili mke na watoto wanakusubiria kipato nacho kidogo, watoto wa kike wengi ni rahisi kulisha watoto viporo na kutuma kwa wazazi wao.Kiasili wanawake wengi awakosi akiba au miundombinu,we Mia 5 utaacha change wao hata hamsini ni lzm wadai.Ujibanabana Hadi wanapata za kuwatumia wazazi
upo sahihi mkuu
Raha ya haya mambo ni kwamba.
Hao watoto ambao hawampigii baba zao simu, na kuwaita baba zao nyumbani kwao nao wakiwa wababa wazee, historia inajirudia. Watoto zao watapenda mama zao. Na watoto wao watasikiliza mama zao.
Hao watapigiwa simu sikukuu kwa sikukuuu. Na hela ni hadi mama aulizwe kama kweli wampe baba yao hela au lah.
Asante Mungu baba yangu nipo nae karibu sana, ni kama rafiki kwangu. Mama yangu nipo nae karibu pia ni kama rafiki kwangu. Nikipigia simu wazazi wangu naongea hata masaa mawili na sichoki.
unakuta baba ambae kakojolea kishimo cha mama na kuendelea na mishe zake, anakuandikia ujumbe kama huu kisa umemwambia hela sinaNa wababa wahivyo ni wasumbufu hakuna mfano, na wengi wanalalamikia watoto wao,
ukirudi nyumba waliwaterekeza watoto sasa ili wasitengwe wanakuja na hilo lakutengwa
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Ni vitimbi au vitimbwi?
Pole sana, wababa wengi hukimbilia hayo wanasahau walivyofanya, hakuna laana za hivyo aanze kwanza kuzipata yeye kwa maana aliterekeza familia yake, kuna wengine anakuwa na waoto wakubwa lakini anaoa kabinti na anataka apewe pesa na watoto alioterekeza wampe pesa akatumie na kamchepuko kake [emoji23][emoji23][emoji23], hii sio sawa mie namshukuru sana Mungu nilikuwa na baba bora sana, hata aliko apumzike kwa amani, sie tulivyokuwa kila kitu lazima apewe baba hata kama ni nguo ya mama anakabidhiwa baba ndiye ampe mkewe walitulea hivyounakuta baba ambae kakojolea kishimo cha mama na kuendelea na mishe zake, anakuandikia ujumbe kama huu kisa umemwambia hela sina
"Tambueni kuwa, kama unao uwezo, na mzazi wako akahisi kwamba unao huo uwezo halafu ukaacha kumwondolea machungu au shida zinayomsibu unaweza ukajikuta unakumbana na matukio yafuatayo:-
* unaweza ukajikuta fedha nyingi pamoja na vitu vingine muhimu vinapotea kwa wakati moja bila kutatajia
* Matukio makubwa kama maradhi ya mara kwa mara yatakayokugharimu fedha nyingi yakajitokeza.
* Ukajikuta mtafaruku unaibuka ghafla kati yako na mwenzako (mkeo) hata kwa jambo dogo na kupelekea kukimbilia mahali pa kuondoa maudhi kwenye unywaji wa pombe, wanawake au vyote kwa pamoja.
* Ukajikuta umejiingiza kwenye urafiki na makundi ya vijana waovu au kamari na kujikuta unafuja fedha njingi bila kujitambua.
* Ukajikuta jeuri au uwezo wa kifedha unakuwa wa kujionyesha zaidi ili utukuzwe au kujipatia sifa kutoka kwa watu hao wakati wazazi wako wako tayari kuridhika kwa kiasi kidogo sana na kukuacha ujishughulishe zaidi na mambo yako mwenyewe. Wekeni kumbukumbu hizi kwa ajili ya kuwapa mafundisho watoto wenu watakapokuwa wakubwa.
Ni mimi Baba yenu."
hayo maneno nimeambiwa na baba yangu mzazi ambae hakujihusisha na mimi kwa lolote lile maishani mwangu. na hela za mafao alizopewa na mfuko alienda kuongeza mwanamke mwingine na kumuacha mke wake wa ndoa.
Leo hii anaandika ujumbe kama huo analialia nimtumie hela ila azitumie na huyo mwanamke wake.
huo upuuzi sifanyi na lolote halinipati maana hata Mungu ameona.
(Mimi najitambua) haaa haaa kwa hiyo unajitoa kwenye umbumbumbu [emoji2][emoji2][emoji2]Wanaume tufunguke akili, maisha ya ujanani na mkeo ni tofauti sana mkizeeka. Ni kweli wanaume wanakufa mapema. Shida wanaume wengi hawajitambui (mi najitambua), mwanamke akiwa na uchumi hutamani kuishi peke yake, wakati mwanaume anatamani kumlemba mke wake na familia yake, lakini hela ikiisha mkeo sio mwenzio atachusanya watoto wake na kukutosa. Hapa nazungumzia mama akiwa na uwezo kuliko baba. Usipokuwa mwangalifu utakufa vilevile. Mjini humu utakuta akina mama wengi ndiyo wanamiliki najumba waume zao walishakufa! Sijui niyataje naeneo hayo ili mfunguke maana wengine wamejisahau kweli... utasikia ningejua! Huwezi kujua kama waliotangulia kuona maisha wanakusaidia kujua wewe unajidai dk love! Mungu alisema muishi nao kwa akili, vijana mtakwisha! Wanawake wanasema wanapenda pesa hapendwi mtu, wengine wanaambiwa watembee na mbwa wapewe hela wanakubali, wewe una kazana mke wangu ananipenda... una uhakika?
Juzi katoka kuniomba nimnunulie viatu vipya vya kanisani viatu vyake vimetoboka.Pole sana, wababa wengi hukimbilia hayo wanasahau walivyofanya, kuna wengine anakuwa na waoto wakubwa lakini anaoa kabinti na anataka apewe pesa na watoto alioterekeza wampe pesa akatumie na kamchepuko kake [emoji23][emoji23][emoji23], hii sio sawa mie namshukuru sana Mungu nilikuwa na baba bora sana, hata aliko apumzike kwa amani, sie tulivyokuwa kila kitu lazima apewe baba hata kama ni nguo ya mama anakabidhiwa baba ndiye ampe mkewe walitulea hivyo
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Pole sana, ukiwa nacho mpe tu hata kidogo ndivyo walivyo,juzi katoka kuniomba nimnunulie viaty vipya vya kanisani viatu vyake vimetoboka.
huyu mzee hakutaka kujua maendeleo yangu yoyote kielimu, hajawahi kutoa hata buku la ada. na hajui kuomba hela hata kiunyenyekevu anaomba kama analazimisha, kana kwamba yeye pekee ndio mwenye famili hapa duniani.
Chief, hasira zinakaribia kupanda. anazingua sana huyu mzee.
Pole sana, ukiwa nacho mpe tu hata kidogo ndivyo walivyo,
ila hapo atakuwa anamlaumu mama yenu kuwa kawalisha maneno mmtenge
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Unaweza kujenga nyumba mkawa mnagombania Kodi na mke wako.Nyumba ninayokaa wapangaji tunapigwa mkwala hatujui tunampa nanicha msingi ni kuinvest tu. jenga nyumba au nunua hata mbili. uzeeni unakua unakusanya kodi tu.
unampa uliempa wakati unahamia.Unaweza kujenga nyumba mkawa mnagombania Kodi na make wako.Nyumba ninayokaa wapangaji tunapigwa mkwala hatujui tunampa nani
Na wanavyojua kukimbilia laana hao, wakati wenyewe walishindwa kutunza familia na hawaja ambiwa laana na mtumkuu nakuunga mkono kabisa, hapo hamna laana
Ndiyo hivyo lawama zinatatutiwa wakafa nazo, wakati njaa mmelala nayo je hapo watoto wameambiwa na mama? Kuna watoto wakiume walikuwa wanaongea mmoja anamwambia mwenzake baba yako huwa namuona nyumba ile na sahizi pikipiki yake ipo pale, halafu yule mama nanihii kuna kipindi alikuwa anatembea na baba yangu yaani tulikuwa tunahangaika kweli, piga picha hapo!vingine vinaonekana bila hata ya kuambiwa Chief. nitamkumbuka nafsi ikitaka nifanye hivyo, ila kwa sasa sina uchungu nae kabisa.
Hata mchepuko ni sehemu ya majukumuMzazi aliyetuchukua majukumu yake kwa ukamilifu sizani kama watoto wanaweza mtenga mzazi, kina baba wengi hutumbua mali zao na michepuko nakushindwa majukumu kutimiza majukumu yake,wengi hupokea matunda ya ulezi wake mbovu, ushauri tunzeni familia yenu kwa ukamilifu mtavuna mema ya watoto na mke
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app