Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Na kweliNi ngumu sana Kuacha , tunapima kwa macho π§π§
π PoleeeeHongera sana mkuu Kwa hilo, wengine fupa tumelishindwa kabisa.
Ninakubaliana na wewe mkuu..asante sanaπ«Άwanawake wenye moyo kama wako ni wachache sana π
Ndio hivyo mkuuAiseeeπ€π€π€
Kama inaonekana na falsafa kwa upande wako siwezi kukuzuia mkuu ni mawazo yako yaheshimiweβοΈHii falsafa mkuu π kama inaiingia vilee π€¨π€¨
kataa ndoa mkuu ni utapeliBado sijaoa mkuu, Nasoma ramani kwanza.
Ni kweli..alinitoa kwenye magumu na kunipa mwanga yule kijana wa watu maskini..Mungu azidi kumfungulia milango ya Baraka na kila analogusa likafanikiwe asione njaa maishani mwake mwoteBila shaka alikutoa kwenye maisha magumu.
KIBUNDA AS USUAL (NGUVU YA PESA)
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
We nae kwamba hujaelewa nilichoandika hapo au ndio ukorofiMkuu, Kwa hiyo EX wako , huwezi kumpa mnofu tena?
Angalia usijewashiwa motoππhivi hakuna sehemu ya kutag wana jf members wote
πππ, safi sana mkuu, wanawake wengine huwa hawakumbuki kabisa,Ni kweli..alinitoa kwenye magumu na kunipa mwanga yule kijana wa watu maskini..Mungu azidi kumfungulia milango ya Baraka na kila analogusa likafanikiwe asione njaa maishani mwake mwote
Tatizo ni kwamba umecoment kwa kukurupuka mkuu.soma comment vizuri,tafakari ndipo utoe mchangoβπ€Kweli alipanda mbegu na mmea ukaota
Kuna vijana watakuja nawaona wanatype watasema kwanini asipande mbegu nyingine ili furaha izidi.
Huna baya mkuu,ukifa hauozi.
Kwahiyo Baba zetu walikuwa wanga. ?NDOA NI UCHAWI
NDOA NI NGUVU ZA GIZA
NDOA NI USHIRIKINA
We utaona ushabiki wa ubaya ila ni ngumu sana tulio achana nao tuwaombee mema mbali na kujutia sana kwa mda uliopeteza na nasaba mlizotengeneza.Tatizo ni kwamba umecoment kwa kukurupuka mkuu.soma comment vizuri,tafakari ndipo utoe mchangoβπ€
Asante mkuu..πππ, safi sana mkuu, wanawake wengine huwa hawakumbuki kabisa,
Unaponza wenzio Huku wewe umeoa.NAKAZIA
Ni kwakuwa tunakuwa wabinafsi.We utaona ushabiki wa ubaya ila ni ngumu sana tulio achana nao tuwaombee mema mbali na kujutia sana kwa mda uliopeteza na nasaba mlizotengeneza.
Ndyo mana nasema huna baya alitengeneza familia nzur ya maombi.