Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Ni wachache wameambiwa ukweli kuwa kila unapofanya mapenzi na mwanamke kwa mara ya mwanza ni tayari ndoa. Ila haikusajiriwa.
Je, una ndoa ngap?
Hayo ni maneno ya kwenye vitabu, kama mbususu tumekula nyingi sana.
 
NAKAZIA kuna ex ambao huwa wanabaki kuwa watu wa karibu ambao mnaweza hata kushirikishana katika masuala mbalimbali hata kusaidiana kwenye changamoto kadha wa kadha. Na katika hili yatupasa kuheshimu mahusiano yaliyopita ili yasivuruge mahusiano yaliyopo.
 
Bila kusahau kunyanduana, pale tu Anatomy zikisisimka..
 
Sorry mkuu but Unadate makahaba ,level up to decent women
Hapana mkuu siyo makahaba, kuachana na ex ni ngumu sana, Kati ya ma Ex 10, ni mmoja tu ndo mnaweza kuachana milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…